Sijakuelewa
Je kuna kosa Rostam kugawa mchele kila familia jimboni kwake??
Sijakuelewa
Chukulia Rostam na mi pesa yake ya wizi sijui halali, akiamuwa akanunua mchele kila familia jimboni kwake , si anatumia fedha zake bwana kuna kosa hapo??
pamoja na fedha ni zako, lakini kuna mazingira ambayo serikali inabidi kulimiti utumiaji na namna unavyozitumia fedha
Kama sio ufisadi nadhani hapa Poland wanaingilia uhuru wa mtuMfano Poland ukimpa fedha omba omba hawa ma homeless polisi wakikuotea unampa pesa umekwisha.
Huna uhakika kwa sababu sheria hii ni mbovu! Ingekua nzuri isingekua na utataKila tendo lina namna yake ya kulitafsiri hata kama mali ni yako.Japo sina uhakika kabisa fedha ni ya serikali ama mtu anayeimiliki.
Ni kosa kama lengo la kugawa mchele ni kununua uongozi
Ndiyo maana wenye akili walifuta takrima........kila nchi na sheria zake ya Poland waachie wa Polishsasa hiyo utaipima je? kama alitaka kwa ajili ya uongozi ama alitaka kusaidia kwa fedha zake masikini?? maana masikini wanaohitaji msaada wapo wakati wote wakati wa kampeni na wakati usio kampeni.
Kifupi tunahitaji sheria inayoenda mbali zaidi ya kudhibiti hata matumizi ya mtu binafsi.
inatakiwa sheria kwenda mbali zaidi isiishie hapo tu kwenye mambo ya uchaguzi, na napendekeza sheria iingie ndani zaidi hata mtu akijenga nyumba inabidi apeleke ankara jinsi alivyopata fedha hizo na jinsi alivyolipa kodi.
Nimekupa mfano Poland ukimpa fedha homless na polisi wakikuotea umekwisha. Na ukiwa na kiwanda cha mikate ukaamuwa hiyo mikate kuwagawia watu itakubidi uilipie ushuru mikate yote uliyogawa.
inatakiwa sheria kwenda mbali zaidi isiishie hapo tu kwenye mambo ya uchaguzi, na napendekeza sheria iingie ndani zaidi hata mtu akijenga nyumba inabidi apeleke ankara jinsi alivyopata fedha hizo na jinsi alivyolipa kodi.
Hii sasa ni rushwa!
Isipokua mazingira ya ufisadi, au rushwa sio haki kumlimiti mtu kwa mfano kununua muda wa kujinadi kwenye TV ni rhuksa hata zaidi 1 bil.
Kama sio ufisadi nadhani hapa Poland wanaingilia uhuru wa mtu
Huna uhakika kwa sababu sheria hii ni mbovu! Ingekua nzuri isingekua na utata
Ndiyo maana wenye akili walifuta takrima........kila nchi na sheria zake ya Poland waachie wa Polish
Hapa unazungumzia kama fedha ni halali zimepatikana kihalali na kodi imelipwa...Hii ni sawa kabisa lakini si kuthibit matumizi . Sheria ilipaswa kuchunguza kama hizo fedha zimepatikana kihalali basi na sio za EPA or Kagoda!
Je, nikiwa na magari yangu binafsi matano (yenye thamani ya zaidi ya TSh.100,000,000) nikayatumia katika kampeni zangu za ubunge, nitakuwa nimevunja hii sheria au la?! Wanatumia kigezo gani kusema gharama zote za uchaguzi ni milioni 40?kumbuka hiyo elfu 20 inajumlisha matangazo, malipo ya watendaji, vitendea kazi n.k ! Nyie subirini kutawaka moto huko hadi mshangae. Sasa kitakachofanyika ni kuwa, wale wenye uwezo sasa hivi wataandaa vitendea vyao vya kazi sasa hivi, yaani wataingia gharama yote sasa hivi! wale wenzangu na miye sasa watakaotaka kusubiri muda maalumu ndio watajikuta wanazidiwa 100:1 halafu watalalamika "sheria ile ya gharama ya uchaguzi mbaya".. mimi nitakuwa nimeshika popcorn yangu na togwa!
Je, nikiwa na magari yangu binafsi matano (yenye thamani ya zaidi ya TSh.100,000,000) nikayatumia katika kampeni zangu za ubunge, nitakuwa nimevunja hii sheria au la?! Wanatumia kigezo gani kusema gharama zote za uchaguzi ni milioni 40?
Nafikiri hawahesabu hivo,
gharama za kuedeshea mfano kununua mafuta, matengenezo n.k.
wewe ukiwa na chopa lako la bilion 100 ok. lakini lisinywe mafuta ya thamani ya bilioni moja na zaidi.
Itabidi tununue machopa yanayotumia Solar na Upepo.
Magari yanayotumia umeme/Gas. Sijui watafahamu vipi gharama zake?
(inataja vitu mbalimbali)7.-(1) The term "election expenses" means all funds
expended or expenses incurred in respect of the conduct and
management of nomination process, election campaign and
election by a political party, candidate or Government and·
include
Ina maana gharama za TOT ni sehemu ya Gharama za uchaguzi!(2) All funds used for promotional art groups for
purposes of presentation of a candidate to voters including the
cost of providing food, drinks, accommodation or ~portation
which has been reasonably incurred by a candidate for members
of his campaign team shall be deemed to constitute election
expenses.
(2) The term "funds" as used in subsection (1) shall be
construed to include:
(a) money;
(b) a motor vehicle;
(c) an aircraft;
(d) transportation;
(e) T-shirts;
(f) a flag;
(g) printing, publication or distribution of leaflets,
brochures or any other publications;
(h) broadcasting, radio or television equipment;
(i) provision of food or drinks;
(j) promotional art groups; and
(k) any other thing intended to be used for furtherance
of election campaigns.
14.-(1) All expenses to be incurred during the nomination
process within the political parties shall be borne out by a political
party concerned.
(2) For the purpose of this section, the Minister shall, in
consultation with the Registrar and political parties with full
registration, make uniform regulations which shall be observed
during the nomination process by all political parties.
Sasa pia mkumbuke kuwa sheria hii inabana zaidi baadaye (siku tisini) lakini kabla ya hapo mtashuhudia CCM ikifanya fundraising kubwa n.k Kila ninavyoangalia ninachoona ni kuwa sheria hii itaiumiza CCM zaidi na hasa wagombea wapya ambao majina yao hayajulikani sana.