Je, unaweza kumpigia kura mgombea wa chama kingine aliye na uwezo na sera bora kuliko Mgombea wa Chama chako?

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,568
1709710834370.png

Niaje Wadau,

Uchaguzi umetaradadi, Majimboni kunazidi kuwaka moto. Wanasiasa wanaonekana saana.

Kumekuwa na tamaduni za watu wengi kwenye jamii yetu kuwalinda na kuwaunga mkono wagombea wa vyama vyao hata kama hawana uwezo na sera zenye tija. Baadhi ya watu wanalazimika kutetea hata mabaya na madhaifu ya Mgombea fulani kwakuwa tu ni wa Chama chake.

Nikirudi kwenye swali langu sasa, ikiwa wewe ni Mwanachama wa Chama X unaweza kumpigia kura Mgombea wa chama kinginge ambaye anaonekana ana uwezo wa kuongoza na sera bora kuliko Mgombea wa chama chako?
 
Back
Top Bottom