Mgombea Urais matumizi yaongeza hadi Bil 5

As for 5bnTsh just for election!!!!!!!!!!!people are starving and the government officials are insisting on using that huge amount money on election!!!!!!!!
 
- Hii sheria itakua ni kinyume na Bill of Rights ya Constitution yetu maana sasa unaingilia uhuru wa wananchi kutumia mali zao as they see fit, serikali ingesema inataka kuweka kiwango maalum on hela za kampeni toka serikalini kwa mgombea sawa, lakini huwezi wakataza wananchi kutumia hela zao za mifukoni huo ni simply ujamaa jamaa na mazimio azimio,

Kaka unaweza ukatujuza ni kipengele kipi hicho cha "Bill of Rights" katika katiba yetu kinatoa haki hiyo......

- Tanzania sasa ni nchi ya kibepari hatuwezi kuanza tena tabia za kuhesabiana visoda vya bia kwenye ma-Bar, serikali inatakwia kuwalinda wananchi na mali zao, lakini sio kuwaamulia namna ya kuzitumia mali zao, that is simply pathetic thinking! na wananchi tukatae kwa nguvu zote mawazo haya mgando! na yaliyopitwa na wakati.

Ni lini na wapi ambapo Tanzania kama nchi tuliamua kuwa nchi yetu ni nvhi ya Kibepari? Nijuavyo katiba inasema Tanzania ni nchi inayojenga Ujamaa na Kujitegemea. Wachache mnapojiamulia kujenga ubepari haina maana kuwa ni rasmi nchi yetu ni ya Kibepari. Suala la ubepari katika nchi hii ni suala la matamanio ya kimaslahi yaliyojengwa na wa wachache lakini sio la Watanzania kama raia na wala sio Tanzania na taifa.

- Wakisharuhusiwa kuwaamulia wananchi namna ya kutumia hela zao kwenye siasa, the next thing watahamia kwenye maisha yao hatuhitaji hizi sheria za ki-stone age!

Iko wapi ile spirit ya MASLAHI YA TAIFA KWANZA?

Omarilyas
 
Ilipata kusemwa sheria hii ni nzuri lakini nia yake ni mbaya ni dhahiri sasa uovu wa sheria hii unaonekana waziwazi baada ya kupitisha rasimu ya kanuni kwa maana kama hauna hayo mamillioni hauwezi kuwa kiongozi hata kama unazo sifa stahiki kwa sababu sasa wapiga kura walafi watangoja hizo fedha millioni 50 hata kama hauna. Nia ya kununua uongozi sasa inapewa baraka na sheria. Takukuru kazi kwenu.
 
Back
Top Bottom