mdada wa Jf, Mbaba mtu mzima anapokutaka kimapenzi unajibu nini??

Simple darling, kwanza hebu nitupie hicho kibabu maana katika zunguka zunguka yangu sijawahi ona ya kibabu lol nipe mimi fasta nikamilishe research yangu.

Kuhusu wewe nilivyoanza kazi bosi alianza dalili za kunitongoza halafu nae ana zaidi ya 50yrs nilichofanya ni hivi nikamwambia mungu naomba umfunge huyu mzee asinitamani anione kama mtoto wake wa kuzaa yaani mawazo yake yote juu yangu yafutike kwa sababu wewe ndio umenipa hii kazi so sihitaji usumbufu mfunge kabisa asithubutu kunitongoza katika jina la yesu naomba na kushukuru amen. Alikua na tabia ya kuninunulia lunch aliacha na akaanza kuniheshimu kama mtoto wake.

Angalizo:
uwe na imani kwamba itakuwa na wewe pia uwe humtamani yeye wala pesa zake halafu utakuja kunipa majibu

Thanks my dear Maty, be blessed and uplifted. Mwenzangu Maty hata hakatamanishi, labda cha kutamani hapo ni mapesa tu. Kuna wakati namwangalia halafu na Imagine vitu fulani fulani, najikuta nacheka tu kimoyomoyo, au napata kichefuchefu gafla.
 
PM lete msaada hapa, mwenzio kababu kananibana huku, kiswahili nimemaliza, kichaga kimeisha, kingereza anajua kuliko mimi! Mmmmm nabaki tu Noooooo. Naulizwa why Noooo??

Mwambie we babu,mbona unataka kunilisha kiporo mie,ujana wako ulikuwa wapi uje umalizie uzee wako kwangu? Hebu nitolee fujo,na kila akiendelea kukufuata hata kabla hajaendelea na maongezi yake unamwambia, Nitolee fujo.........hahahahahaaha
 
Thanks my dear Maty, be blessed and uplifted. Mwenzangu Maty hata hakatamanishi, labda cha kutamani hapo ni mapesa tu. Kuna wakati namwangalia halafu na Imagine vitu fulani fulani, najikuta nacheka tu kimoyomoyo, au napata kichefuchefu gafla.

Hapo jichunge sana mama,naona ushaanza kuingia mtegoni,kama umeanza kukaangalia hako kababu na kuimagine basi uko katika maandalizi ya kukubaliana nako,kama hukataki hata imaginations hazitakuwepo.
 
mzee tu huyo atafanya nini?
nusu round kalala pembeni...

Ningeweza ku apply kale ka msemo ka Risk taker ndo anaefanikiwa mara nyingi lakin mmm. Kuna mengi kanaweza kufia kifuani, kanaweza kumaliza maisha na wewe coz nasikia hawatumii kinga wao. Sasa hiyo nusu Round ya kizee, inikoseshe maisha kweli. Mmmmm kilimo Kwanza, bora nikalime mie.
 
Mwambie we babu,mbona unataka kunilisha kiporo mie,ujana wako ulikuwa wapi uje umalizie uzee wako kwangu? Hebu nitolee fujo,na kila akiendelea kukufuata hata kabla hajaendelea na maongezi yake unamwambia, Nitolee fujo.........hahahahahaaha

Nashukuru kwa haka kaujuzi, nakatumia leoleo. Nitolee fujo babu wewe! Atajua utani kumbe namaanisha
 
The BM ok Mlokole ulobobea lkn yy anamajibu ya huo ulokole kuliko wewe, yani kila jibu lina swali na kila swali lina jibu, ukiangalia sana solution yako ya mwisho ni kumkimbia. Halafu unadhani vibabu ni rahisi umwambie tukapime akubali? Tena nasikia hata kondomu huwa hawatumii.

Bwana Yesu alishasema mwenyewe vita si vyenu bali ni vyangu so why bothering yourself kwa kumjibu na mambo mengine? we kila anachokwambia uwe unatabasamu tu halafu saa 8 ucku unamuamkia unamkabidhi kwa simba wa vita abimbilike nae we vipi bana unaniangusha kuna mambo mengine kwa akili zetu za kibinadamu hatuwezi we mkabidhi kwa huyo aliempa uhai, elimu, ubosi na huo uwezo wa kujibu maswali kwa ufasaha then kwisha habari yake
 
Hapo jichunge sana mama,naona ushaanza kuingia mtegoni,kama umeanza kukaangalia hako kababu na kuimagine basi uko katika maandalizi ya kukubaliana nako,kama hukataki hata imaginations hazitakuwepo.

Mpango wa kumkubalia ni Noo PM wangu, yani hizo imagination, huwa nafikiria tu Naaanza je yani, kibabu hikiiiiiii. Du hata mvuto hakuna, yani daaaaaa, afu ki mtu kinakusumbuaaaaa hadi ukiamka asubuhi unaomba kasije ofisini.
 
Bwana Yesu alishasema mwenyewe vita si vyenu bali ni vyangu so why bothering yourself kwa kumjibu na mambo mengine? we kila anachokwambia uwe unatabasamu tu halafu saa 8 ucku unamuamkia unamkabidhi kwa simba wa vita abimbilike nae we vipi bana unaniangusha kuna mambo mengine kwa akili zetu za kibinadamu hatuwezi we mkabidhi kwa huyo aliempa uhai, elimu, ubosi na huo uwezo wa kujibu maswali kwa ufasaha then kwisha habari yake

Yes Maty, nakupata sawasawa dada angu, na kwa maombi ya usiku wa leo lazima kesho aombe msamaha. Ila pia kwa faida ya wengine nao wapate ujuzi huu, na hawa wababu nao wajue wanatukera bana. Acheni hizooooooooooooo!!!
 
oyaa ld eeh we ka unakuwa hujui bana
hii mizee unakula juu kwa juu siku akitaka mchezo unatimba sehemu ya miadi na mtoto mgongoni
lazima azime sigara tu
 
kinachokukera wewe mwingine chamfurahisha so hawawezi kuacha ili dunia izunguke kwa amani
 
oyaa ld eeh we ka unakuwa hujui bana
hii mizee unakula juu kwa juu siku akitaka mchezo unatimba sehemu ya miadi na mtoto mgongoni
lazima azime sigara tu

Halafu unakafinya hako katoto ili kalie kisha unampa akabembeleze.........
 
Takwimu zinaonyesha kuwa kati ya wadada wanaotembea na watu wazima kuliko hata baba zao kuwazaa ni wengi kuliko maserengeti boys na hii kwa wengi kwa sababu ya kipato na wengine ni tamaa zimewazidi na hapa ndipo wengi humu jamvini mtaanza kutudanganya kuwa hamfanyi hivyo wakati hii tabia imeshakubuhu kila kona na mpaka wanawake wengine huenda kwa waganga kutafuta mbabu ili aweze kuwa na maisha mazuri na kuendesha gari.
NACHUKIA HUU NI ULIMBUKENI NA USHAMBA USIOPIMIKA KUJIDHALILISHA KWA SABABU YA KIPATO NA KUZAWADIWA UKIMWI.
 
oyaa ld eeh we ka unakuwa hujui bana
hii mizee unakula juu kwa juu siku akitaka mchezo unatimba sehemu ya miadi na mtoto mgongoni
lazima azime sigara tu

Mmmmmh anaweza akakushoooot aiseee!!! Wazeee wengine si wakuchezea bana.
 
Takwimu zinaonyesha kuwa kati ya wadada wanaotembea na watu wazima kuliko hata baba zao kuwazaa ni wengi kuliko maserengeti boys na hii kwa wengi kwa sababu ya kipato na wengine ni tamaa zimewazidi na hapa ndipo wengi humu jamvini mtaanza kutudanganya kuwa hamfanyi hivyo wakati hii tabia imeshakubuhu kila kona na mpaka wanawake wengine huenda kwa waganga kutafuta mbabu ili aweze kuwa na maisha mazuri na kuendesha gari.
NACHUKIA HUU NI ULIMBUKENI NA USHAMBA USIOPIMIKA KUJIDHALILISHA KWA SABABU YA KIPATO NA KUZAWADIWA UKIMWI.

vijana wasumbufu mahati bureka, halafu lipi bora uwe na kijana kwanza mariooo halafu kila siku maumivu ya moyo mpaka kuleteana vidonda vya tumbo au uwe na mbabu huku maisha tambarare?
 
Takwimu zinaonyesha kuwa kati ya wadada wanaotembea na watu wazima kuliko hata baba zao kuwazaa ni wengi kuliko maserengeti boys na hii kwa wengi kwa sababu ya kipato na wengine ni tamaa zimewazidi na hapa ndipo wengi humu jamvini mtaanza kutudanganya kuwa hamfanyi hivyo wakati hii tabia imeshakubuhu kila kona na mpaka wanawake wengine huenda kwa waganga kutafuta mbabu ili aweze kuwa na maisha mazuri na kuendesha gari.
NACHUKIA HUU NI ULIMBUKENI NA USHAMBA USIOPIMIKA KUJIDHALILISHA KWA SABABU YA KIPATO NA KUZAWADIWA UKIMWI.

Habari ako Mkuu, lakin sasa uki compare situation si ni afadhali haka kababu kuliko HEARTBREAKER!! No money, no house, no Prado, no vitu vizuri vizuri. But kuchakachuliwa A+++++ then, I think I will not marry you! And am about to find somebody to marry now. Usinifate fate. Ha ha ha
 
Ewaaaaa....mimi ni kibabu....hebu njoo pm tutete ki-mshiki/msasha....
 
Back
Top Bottom