mdada wa Jf, Mbaba mtu mzima anapokutaka kimapenzi unajibu nini??

the human mind is the worlds largest filtering device
when used properly it filters out what you perceive as unimportant
and gives you only the information you are looking for at that time.
so be accurately aware of your aim in life........

Lete msaada basi, hivi vingereza bana, aah na mi ndo wale tulosoma st Weruweru, st Mkwawa enzi hizo. Shule tunaongea kingereza ukimuona mwenye kibao cha speek english anakuja.
 
am not interested with vibabuz,,halafu hata huo muda wakudate nae kumpa nafasi ya mjadala mrefu unatoka wapi,,,mapenzi siyo pesa kama anavyofikiri,is about feelings,true love,commitment etc,,hata kijana asipokupa chochote mwambie ndiye unayemfeel,then kwaheri babu

Na kinachosumbua sana ni mazingira WL, kuna mazingira mengine unakuta lazima kibabu kitapata nafasi ya kuongea ongea tu. Mara akuite nimefungua yahoo haijafunguka, ooh nataka kusign out lakini siioni sign out, ooh hi dcment yangu haifunguki, ili mradi tu, anapata kaupenyo kakutoa sound.
 
hapa kwa wadada nawashauri wawe na mawasiliano na tamwa mapema kabisa au kuna mashirika mengi tu ya kutetea haki zao ...najua haya mambo yapo sana ila yanawapata wasiojua haki zao na waoga
Ivuga....
usichekeshe watu....Kila mtu ana akili kichwani mwake..unadhani wasichana wanalazimishwa? Kuna wenye kuwatongoza hao wababa na kuwaweka kwenye kona usiombe maana hizi ni zama nyingine za sexual revolution Bongo!
wengine pesa ya mbaba wanaitaka ila haiji for nothing.Wanataka waipate lakini wakwepe kulipa gharama.

Back kwa mtoa - msichana ukishaanza biashara na hawa watu ujue utabakia huko huko kuwa nyumba ndogo.JIBU UNALO KWA MAANA WEWE NDIO UNAJUA UNACHOKITAKA.UNATAKA PENZI LA MBABA AU MKWANJA WAKE AU HUTAKI HATA KIMOJA.

Kwa zile genuine cases za bughudha za maboss... unaweza kukataa politely , very firmly lakini uhakikishe kazi zako unazifany akwa uhakika; akiendelea tafuta kazi sehemu nyingine hasa kama una vyeti madhubuti na unajiamini kikazi.
 
Ha ha ha kaka habari yako, unamuona mshiki anapata tabu ee, hebu mpe maarifa atatoka je hapa.

Hebu mtafute kungwi Rose.....she is an expert........
Caution: Kibabu cha kukupa mafao yako bila nanhii hakipo...
 
Am fine mamito wangu,you always make my day,i can not wait to enjoy your pumba day........Love you too!
Nikitongozwa na mbaba nafuata hatua zote ulizosema........nijipatie kiwanja na mie bwana bado thina eti na urembo wote huu,then namwambia umeshamaliza ANNIVERSARY YAKO ACHANA NA MIMI,akining'ang'ania nakimbilia kwako uongee nae najua hakuna unaloshindwa Rose wangu????????LOL
apa hakuna linaloshndikana
labda liwe linahusisha MATHEMATICS ndo itakuwa ngumu!!!!!
 
Hebu mtafute kungwi Rose.....she is an expert........
Caution: Kibabu cha kukupa mafao yako bila nanhii hakipo...

kwaiyo na wewe ni kungwi wa kiume?
bichau kungwi
mzee small pia kungwi!!!
 
Hebu mtafute kungwi Rose.....she is an expert........
Caution: Kibabu cha kukupa mafao yako bila nanhii hakipo...

Umeonaaaaa mapesa yanamwagwa hapo mdada unayaona, mmmh kuyachukua noma maana unajua kabisa mwisho wa siku, uzalendo utakushinda tu. Hata roho wa shetani atakusuta wewe umechukua pesa zake afu unamdanganya kila siku?? Ahiii ndo unaingia mkenge hapo. Mungu tupe Roho mtakatifu tushinde vishawishi vya dunia hii.
 
Ivuga....
usichekeshe watu....Kila mtu ana akili kichwani mwake..unadhani wasichana wanalazimishwa? Kuna wenye kuwatongoza hao wababa na kuwaweka kwenye kona usiombe maana hizi ni zama nyingine za sexual revolution Bongo!
wengine pesa ya mbaba wanaitaka ila haiji for nothing.Wanataka waipate lakini wakwepe kulipa gharama.

Back kwa mtoa - msichana ukishaanza biashara na hawa watu ujue utabakia huko huko kuwa nyumba ndogo.JIBU UNALO KWA MAANA WEWE NDIO UNAJUA UNACHOKITAKA.UNATAKA PENZI LA MBABA AU MKWANJA WAKE AU HUTAKI HATA KIMOJA.

Kwa zile genuine cases za bughudha za maboss... unaweza kukataa politely , very firmly lakini uhakikishe kazi zako unazifany akwa uhakika; akiendelea tafuta kazi sehemu nyingine hasa kama una vyeti madhubuti na unajiamini kikazi.

Na solution ya mwisho kwa haka kababu ni kutafuta kazi sehemu nyingine, lakini sasa kazi za bongo hizi mpaka nije kuipata si naweza nikajuta kumkimbia babu, labda kuna njia ingine zaidi ya kumkimbia lkn nakuwa sitimizi matakwa yake?? Na ni wapi nipeleke vyeti nipate kazi fasta. Hapo ofisini kwenu vipi??
 
LD, je ukipata wa chini ya miaka 60 utakubali? yaani 40s

Alaaa Edo, haka nako si kababu tuuuuu!! Ishu hapa vinasumbua tunashindwa kufanya kazi bana. Si nitakawa nyumba ndogo, afu no kuolewa, na mi hapa nasubiri mume mwema.
 
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?

Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake.

Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.

LD kwani ukimkatalia atafanya nini ,lazima huyo mbaba anajua kuna kukubaliwa au kukataliwa ,
unamwambia tu ukweli your not interested hawezi kukufanya lolote
 
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?

Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake.

Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.

Mh.....!!
Duuuuu baiolojia ya kibabu huyu, yaani third leg.

Mweh..!!

Lete msaada basi, hivi vingereza bana, aah na mi ndo wale tulosoma st Weruweru, st Mkwawa enzi hizo. Shule tunaongea kingereza ukimuona mwenye kibao cha speek english anakuja.

mpe
 
Mh.....!!

Mweh..!!

PM lete msaada hapa, mwenzio kababu kananibana huku, kiswahili nimemaliza, kichaga kimeisha, kingereza anajua kuliko mimi! Mmmmm nabaki tu Noooooo. Naulizwa why Noooo??
 
Simple darling, kwanza hebu nitupie hicho kibabu maana katika zunguka zunguka yangu sijawahi ona ya kibabu lol nipe mimi fasta nikamilishe research yangu.

Kuhusu wewe nilivyoanza kazi bosi alianza dalili za kunitongoza halafu nae ana zaidi ya 50yrs nilichofanya ni hivi nikamwambia mungu naomba umfunge huyu mzee asinitamani anione kama mtoto wake wa kuzaa yaani mawazo yake yote juu yangu yafutike kwa sababu wewe ndio umenipa hii kazi so sihitaji usumbufu mfunge kabisa asithubutu kunitongoza katika jina la yesu naomba na kushukuru amen. Alikua na tabia ya kuninunulia lunch aliacha na akaanza kuniheshimu kama mtoto wake.

Angalizo:
uwe na imani kwamba itakuwa na wewe pia uwe humtamani yeye wala pesa zake halafu utakuja kunipa majibu
 
Back
Top Bottom