mdada wa Jf, Mbaba mtu mzima anapokutaka kimapenzi unajibu nini??

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, Roseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, sijaolewa bana, lakini mpango wa kumpa kibabu tunda hakuna kabisa,
Ila kanamaudhi sana, kasumbufuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
Haya hayaaaaaaaaaa, du nimecheka hadi watu wakashtuka humu.

Mi nakuletea bastola hapo ukafumulie baioloji yake bana....Vijana wamejaa kibao wana kiu zao we ukawape wazee?
 
mchune wewe
lakin kuwa makin weapon kubwa wanayotegemea ao ni uchawi
 
Am fine mamito wangu,you always make my day,i can not wait to enjoy your pumba day........Love you too!
Nikitongozwa na mbaba nafuata hatua zote ulizosema........nijipatie kiwanja na mie bwana bado thina eti na urembo wote huu,then namwambia umeshamaliza ANNIVERSARY YAKO ACHANA NA MIMI,akining'ang'ania nakimbilia kwako uongee nae najua hakuna unaloshindwa Rose wangu????????LOL

hpful ur duin great mamito..!
apy frday sweeeetie ..today iz ma pumba day so u just wait u wl c!!!!
love yaaaaaaa!!!!
 
umri wake haueleweki unabadilika kutokana na mazingira

You are always there when I need you most! Thanks sweetheart!

Wenye wivu wakajitie kitanzi cha kamba ya mnazi. Na Mungu awahamishie baioloji zao usoni, wavae andawea kwenye nyuso zao.
 
Wengine babu, at least watano hivi, naona watatutosha.

Babu na wajukuu zake:
1. Jenerali Wiselady
2. Meja Jenerali Mwanajamiiwani
3. Luteni Jenerali Maty
4. Kanali Festilady
5. Luteni Kanali Rose1980
6. Meja Afrodenzi
Wanatosha? Kama vipi tutawatuimia na
1. Koplo St,RR
2. Private Bigirita
3. Sajenti Kimey
4. Mgambo Finest

Kibabu kitakuwa marehemu fasta fasta
 
the human mind is the worlds largest filtering device
when used properly it filters out what you perceive as unimportant
and gives you only the information you are looking for at that time.
so be accurately aware of your aim in life........
 
Mi nakuletea bastola hapo ukafumulie baioloji yake bana....Vijana wamejaa kibao wana kiu zao we ukawape wazee?

Duuuuu baiolojia ya kibabu huyu, yaani third leg.
 
Ukiona hivyo na wewe ujue unatamaa na sio sababu kuwa eti kila swali anaouliza anajibu, sema unataka hizo alizokuwa nazo hakuna lolote
Inamaana mdada anamvulia nguo mwanaume kwa kuwa alijibiwa ma swali na kuoneshwa mahela kama unavyofikiria wewe?
kama mtu huna hisia nae za kimapenz hata iweje huwe kumvulia nguo labda wewe ni mfanya biashara au unafata pesa kwa huo umasikin wako
Na umasikin ukiuendekeza utamvulia nguo kila mtu.
NOTE: ACHANA NA UJINGA WAKO
 
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?

Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake.

Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.

Anatizama maslahi, jee huyo mbaba anajiweza au? Kama anaonekana ni ki epa epa, basi atachekewa na kuhudumiwa, akionekana kachoka atasonywa na kubezwa.
 
LD a big NO inamtosha kibabu,,no offence!
wala haiitaji mjadala mrefu,to me ur lyk my dady,my grand pa,we can't make it!simple
Ikibidi mpe na neno la wokovu kdg,,amrudie Bwana aachane na uzinzi.

WL mwenzangu sikia majibu, am neither your biological
dady nor your biological grand pa, what you
Get from young stars is what Ill give you, What's new??? Nani alikudanganya kuna kuokoka?? Mi nashangaa kwanza walokole maskini wakutupwa.
 
mchune wewe
lakin kuwa makin weapon kubwa wanayotegemea ao ni uchawi

Umeona sasa, ndo maana nkasema anaweza haribu maisha yako hiv hiv. Duuu mtu anakuloga unakuwa mjinga kabisa, unawaza kama kibabu cha miaka sabini.
 
Babu na wajukuu zake:
1. Jenerali Wiselady
2. Meja Jenerali Mwanajamiiwani
3. Luteni Jenerali Maty
4. Kanali Festilady
5. Luteni Kanali Rose1980
6. Meja Afrodenzi
Wanatosha? Kama vipi tutawatuimia na
1. Koplo St,RR
2. Private Bigirita
3. Sajenti Kimey
4. Mgambo Finest

Kibabu kitakuwa marehemu fasta fasta

mh!kazi ipo!ghafla umeunda jeshi!
 
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?

Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake.

Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.

Habari yake LD bana,

Kwa upande wangu its a big NO hata kazi atanitimua nina vyeti vyangu na vinauzika I go somewhere else.

Kisa cha kuja kufiwa na kibabu kifua no no no no
 
Ukiona hivyo na wewe ujue unatamaa na sio sababu kuwa eti kila swali anaouliza anajibu, sema unataka hizo alizokuwa nazo hakuna lolote
Inamaana mdada anamvulia nguo mwanaume kwa kuwa alijibiwa ma swali na kuoneshwa mahela kama unavyofikiria wewe?
kama mtu huna hisia nae za kimapenz hata iweje huwe kumvulia nguo labda wewe ni mfanya biashara au unafata pesa kwa huo umasikin wako
Na umasikin ukiuendekeza utamvulia nguo kila mtu.
NOTE: ACHANA NA UJINGA WAKO

Thanks very much, ujinga umekuja mbele yangu, jaribu ndo hilo, shida kweli ninayo, maisha magumu. Nipe njia, nipe maarifa nishende vipi majaribu haya?? Akili yangu imeishia hapo nipe msaada tafadhali. Niache je huu ujinga sasa, show me how please?? I need your help!!
 
Habari yake LD bana,

Kwa upande wangu its a big NO hata kazi atanitimua nina vyeti vyangu na vinauzika I go somewhere else.

Kisa cha kuja kufiwa na kibabu kifua no no no no
Sasa mshiki ungekuwa huna vyeti vinavyouzika ndo ungemkabidhi hicho kikojoleo chako with all your love?
 
WL mwenzangu sikia majibu, am neither your biological
dady nor your biological grand pa, what you
Get from young stars is what Ill give you, What's new??? Nani alikudanganya kuna kuokoka?? Mi nashangaa kwanza walokole maskini wakutupwa.

am not interested with vibabuz,,halafu hata huo muda wakudate nae kumpa nafasi ya mjadala mrefu unatoka wapi,,,mapenzi siyo pesa kama anavyofikiri,is about feelings,true love,commitment etc,,hata kijana asipokupa chochote mwambie ndiye unayemfeel,then kwaheri babu
 
Habari yake LD bana,

Kwa upande wangu its a big NO hata kazi atanitimua nina vyeti vyangu na vinauzika I go somewhere else.

Kisa cha kuja kufiwa na kibabu kifua no no no no

Musuri LF,ha ha ha kufiwa na kibabu kifuani noma sana. Sasa LF unaona vibabu vinavyotupa wakati mgumu ee, yani solution ya mwisho unakuta ni kukimbia. Na ajira zetu za Bongo hizi. Vizee badilikeni bwana.
 
Back
Top Bottom