mdada wa Jf, Mbaba mtu mzima anapokutaka kimapenzi unajibu nini??

Jamani na mimi mnikumbuke kwenye maombi yenu. This is not a Joke guyz, usiombe ikakupata nibora uskie kwa mwingine utaomba asubuhi isifike ili tu usiende ofsn, tena ukute kama ni boss ambae hana boss wake yeye ndo head of the mission yani huna wa kumshtakia kwa hapo ofsn, then awe na roho mbaya na visasi, na haelewi utajuta kuzaliwa. Im in the same boat jamani na mimi mnikumbuke. Mimi bosi wangu anataka awe na mimi jmos kwa dinner jpili kwa lunch nimeshadanganya kila uongo dunia hii, mara weekend kuna wageni hm mara hivi, nilipojaribu kumtolea uvivu alinipiga warning kwanza kwakuto mtii akaniambia asinione job week then nilivorudi akasema umejifikiria nikamwambi i came here to work. Then akaagiza asione gari kwa parking ya ofice ujue pa kupark, poa akaninunia miezi mitatu. Guyz huyo nimzee kishenzi.
 
jamani na mimi mnikumbuke kwenye maombi yenu. This is not a joke guyz, usiombe ikakupata nibora uskie kwa mwingine utaomba asubuhi isifike ili tu usiende ofsn, tena ukute kama ni boss ambae hana boss wake yeye ndo head of the mission yani huna wa kumshtakia kwa hapo ofsn, then awe na roho mbaya na visasi, na haelewi utajuta kuzaliwa. Im in the same boat jamani na mimi mnikumbuke. Mimi bosi wangu anataka awe na mimi jmos kwa dinner jpili kwa lunch nimeshadanganya kila uongo dunia hii, mara weekend kuna wageni hm mara hivi, nilipojaribu kumtolea uvivu alinipiga warning kwanza kwakuto mtii akaniambia asinione job week then nilivorudi akasema umejifikiria nikamwambi i came here to work. Then akaagiza asione gari kwa parking ya ofice ujue pa kupark, poa akaninunia miezi mitatu. Guyz huyo nimzee kishenzi.

pole sana mamushka, huyo mlete kwangu atashika adabu.
 
Hapo kwenye bluu umeongea kama mtoto anayejifunza kuongea....Huachi vituko!!

Hahahahahahaha ...................Masaki we acha tu......happy new year best maridadi.

Wajua weye u mpenzi wangu wa maisha ati.............. najuta kutokukuzingatia lol
 
sasa shida ipo wapi kula dinner au lunch?
kwani ameomba kamchezo?

Jamani na mimi mnikumbuke kwenye maombi yenu. This is not a Joke guyz, usiombe ikakupata nibora uskie kwa mwingine utaomba asubuhi isifike ili tu usiende ofsn, tena ukute kama ni boss ambae hana boss wake yeye ndo head of the mission yani huna wa kumshtakia kwa hapo ofsn, then awe na roho mbaya na visasi, na haelewi utajuta kuzaliwa. Im in the same boat jamani na mimi mnikumbuke. Mimi bosi wangu anataka awe na mimi jmos kwa dinner jpili kwa lunch nimeshadanganya kila uongo dunia hii, mara weekend kuna wageni hm mara hivi, nilipojaribu kumtolea uvivu alinipiga warning kwanza kwakuto mtii akaniambia asinione job week then nilivorudi akasema umejifikiria nikamwambi i came here to work. Then akaagiza asione gari kwa parking ya ofice ujue pa kupark, poa akaninunia miezi mitatu. Guyz huyo nimzee kishenzi.
 
si unajua hizi suruali za kubana wanazovaa "mabinti",
yaani nyingine unaona kabisa sehemusehemu imetuna.
akiacha hapo wanahizi t-shirt zao zinazovutika mpaka mapajani
yaani zinaonyesha makalio yalivyokaa vizuri hapo mzee mzima
lazima aombe lol

Hivi unajiwekajewekaje mpaka mbaba mtu mzima anakusogelea khaaa.
 
Mwambie kwa sasa unatumia ARV's na kwamba huruhusiwi kufanya ngono mara kwa mara manake una vidonda (fungus) kweye sehemu za siri...! Vikipona tu utampa afanye mpk achoke, manake hata wewe unahamu nae sana...!

Nauhakika hata rudia tena kuomba...!
 
Jamani na mimi mnikumbuke kwenye maombi yenu. This is not a Joke guyz, usiombe ikakupata nibora uskie kwa mwingine utaomba asubuhi isifike ili tu usiende ofsn, tena ukute kama ni boss ambae hana boss wake yeye ndo head of the mission yani huna wa kumshtakia kwa hapo ofsn, then awe na roho mbaya na visasi, na haelewi utajuta kuzaliwa. Im in the same boat jamani na mimi mnikumbuke. Mimi bosi wangu anataka awe na mimi jmos kwa dinner jpili kwa lunch nimeshadanganya kila uongo dunia hii, mara weekend kuna wageni hm mara hivi, nilipojaribu kumtolea uvivu alinipiga warning kwanza kwakuto mtii akaniambia asinione job week then nilivorudi akasema umejifikiria nikamwambi i came here to work. Then akaagiza asione gari kwa parking ya ofice ujue pa kupark, poa akaninunia miezi mitatu. Guyz huyo nimzee kishenzi.

Daaaa, pole sana, Kitu chochote kama mtu hajapitia hawezi kuelewa, but thanks God coz atatupa neema ya kushinda na zaidi ya kushinda.
 
Hivi unajiwekajewekaje mpaka mbaba mtu mzima anakusogelea khaaa.

Mmmm shosti, kama halijakukuta tulia tu tuombee sisi, manake ni ngumu kulielewa, hatutanii, wala hatuchekeshi tunamaanisha.
Kama una msaada tusaidie, kama huna nyamaza tu, hakuna kinachoharibika.

BARIKIWA.
 
Mwambie kwa sasa unatumia ARV's na kwamba huruhusiwi kufanya ngono mara kwa mara manake una vidonda (fungus) kweye sehemu za siri...! Vikipona tu utampa afanye mpk achoke, manake hata wewe unahamu nae sana...!

Nauhakika hata rudia tena kuomba...!

ILi linaweza kuwa moja ya jibu, ya kusogeza sogeza muda wa kuondoka.
 
Mwambie kwa sasa unatumia ARV's na kwamba huruhusiwi kufanya ngono mara kwa mara manake una vidonda (fungus) kweye sehemu za siri...! Vikipona tu utampa afanye mpk achoke, manake hata wewe unahamu nae sana...!

Nauhakika hata rudia tena kuomba...!

akatafute hivyo vidonge halafu amvizie bosi akiingia ofisini ajifanye ndio ametoka kumeza na ahakikishe bosi anaviona bila kuoneshwa kwa kidole.
 
Huu nao ujuzi mwingine, manake sasa tunapigana kiroho na kimwili sas, maombi sana, na maujuzi kama haya.
 
Jameni mie nna myaka 74 mwezi ujao. Nyie kina dada warembo, babi zenu wa kibalojia mwawajua?

Mmmmm chabutwa wataka tuambia ni? Hata kama hatuwajui, ndo tufanye je....?
 
Daaaa, pole sana, Kitu chochote kama mtu hajapitia hawezi kuelewa, but thanks God coz atatupa neema ya kushinda na zaidi ya kushinda.

Thank you my dear, kwa kunielewa na mungu ndo msaada wetu bila yeye ningum sana.
 
Mmmm shosti, kama halijakukuta tulia tu tuombee sisi, manake ni ngumu kulielewa, hatutanii, wala hatuchekeshi tunamaanisha.
Kama una msaada tusaidie, kama huna nyamaza tu, hakuna kinachoharibika.

BARIKIWA.

I wish mtu kama huyu inamtokea kidogo tu nadhani angepata jibu.
 
Nimepewa muda wa Ku Re-Think about it.
Sasa ndo na Re-think.
Want to ask the same thing! Mh mshiki post zote hizi bado hujapata kitu cha kumfanyia kababu? Btw mzima wewe?
 
Back
Top Bottom