SINDA
New Member
- Nov 22, 2010
- 3
- 0
Ndugu zangu naomba kuwasalimia kwani ndo kwanza naingia humu ndani. Mimi binafsi ni wa upande huo anako amini mama Rwakatare ila imekuwa ikinipa shida mno nikijalibu kumpambanua mchungaji huyu!!! Mimi naamini mungu wetu ni mwanye upendo na siku zote hutuwazia yale yaliyo mema.
Lakini ukiangalia chama alimo mama yetu kimejaa kila aina ya madudu na dhuluma kwa wananchi wa nchi hii na kusababisha waishi kwenye lindi hili la umasikini wa kupindukia, nilliposikia mama kaingia kwenye siasa nilimshukuru mungu kwani nilijua sauti ya mungu itasikika ikiwakemea watawara hawa dhalimu badala yake mama kakaa kimya na kuanza kuwapamba watu hawa.
Mama anashindwa hata na akina mwakwembe, sitta, mama kilango ambao wamejalibu kuwaambia wenzao kuwa wafanyavyo havimpendezi mungu!! Basi sasa ina maana gani ya mama kuwa mchungaji wangu ili hali mimi najinyima na hata sina uhakika wa mlo mmja wa siku na kwenda kanisani na kutoa sadaka kisha yeye halioni hilo badala yake anashiliki na mafisadi!! Basi ni heli mwakyembe na wenzake wale wapiganiao maslahi ya watanzania walio wengi na walio zingilwa na umasiki licha ya kuwa mungu aliwapenda tangia mwanzo akawajalia kila aina ya utajili!!