Mchungaji Rwakatare naye atoa tamko...

Ndugu zangu naomba kuwasalimia kwani ndo kwanza naingia humu ndani. Mimi binafsi ni wa upande huo anako amini mama Rwakatare ila imekuwa ikinipa shida mno nikijalibu kumpambanua mchungaji huyu!!! Mimi naamini mungu wetu ni mwanye upendo na siku zote hutuwazia yale yaliyo mema.

Lakini ukiangalia chama alimo mama yetu kimejaa kila aina ya madudu na dhuluma kwa wananchi wa nchi hii na kusababisha waishi kwenye lindi hili la umasikini wa kupindukia, nilliposikia mama kaingia kwenye siasa nilimshukuru mungu kwani nilijua sauti ya mungu itasikika ikiwakemea watawara hawa dhalimu badala yake mama kakaa kimya na kuanza kuwapamba watu hawa.

Mama anashindwa hata na akina mwakwembe, sitta, mama kilango ambao wamejalibu kuwaambia wenzao kuwa wafanyavyo havimpendezi mungu!! Basi sasa ina maana gani ya mama kuwa mchungaji wangu ili hali mimi najinyima na hata sina uhakika wa mlo mmja wa siku na kwenda kanisani na kutoa sadaka kisha yeye halioni hilo badala yake anashiliki na mafisadi!! Basi ni heli mwakyembe na wenzake wale wapiganiao maslahi ya watanzania walio wengi na walio zingilwa na umasiki licha ya kuwa mungu aliwapenda tangia mwanzo akawajalia kila aina ya utajili!!
 
Ndugu zangu naomba kuwasalimia kwani ndo kwanza naingia humu ndani. Mimi binafsi ni wa upande huo anako amini mama rwakatare ila imekuwa ikinipa shida mno nikijalibu kumpambanua mchungaji huyu!!! Mimi naamini mungu wetu ni mwanye upendo na siku zote hutuwazia yale yaliyo mema.

Lakini ukiangalia chama alimo mama yetu kimejaa kila aina ya madudu na dhuluma kwa wananchi wa nchi hii na kusababisha waishi kwenye lindi hili la umasikini wa kupindukia, nilliposikia mama kaingia kwenye siasa nilimshukuru mungu kwani nilijua sauti ya mungu itasikika ikiwakemea watawara hawa dhalimu badala yake mama kakaa kimya na kuanza kuwapamba watu hawa.

Mama anashindwa hata na akina mwakwembe, sitta, mama kilango ambao wamejalibu kuwaambia wenzao kuwa wafanyavyo havimpendezi mungu!! Basi sasa ina maana gani ya mama kuwa mchungaji wangu ili hali mimi najinyima na hata sina uhakika wa mlo mmja wa siku na kwenda kanisani na kutoa sadaka kisha yeye halioni hilo badala yake anashiliki na mafisadi!! Basi ni heli mwakyembe na wenzake wale wapiganiao maslahi ya watanzania walio wengi na walio zingilwa na umasiki licha ya kuwa mungu aliwapenda tangia mwanzo akawajalia kila aina ya utajili!!

Kana ni mfuasi na unaendelea kuwa mfuasi wa mtu ambae humwelewi, basi na wewe mwenyewe hujielewi. Je ni afadhali ungebaki pagani?
 
Wewe sinda, umeongea vizuri sana, kwamba wewe ni mfuasi wa rwakatare. Wengine ni wafuasi wa kakobe, mwingira, na matapeli wengine wanaotumia ulokole na ujinga wa waumini wao kujitajirisha. Hivyo mnamfuata mtu na siyo mungu.

Lakini madhehebu yote yanao matapeli wanaojinufaisha na upeo ndogo wa waumini wao. Hivyo viongozi wa dini siyo watakatifu na ukisoma historia ya nchi nyingi utaona namna dini zinatumika kutekeleza udhalimu dhidi ya binadamu.

Nini kinawapa nguvu watekelezaji wa udhalimu kule Ireland ya kaskazini? Ukanda wa gaza? Rwanda 1994? Alkaida? Alshabab?

Dini ni nini, na mungu ni nani?
 
hivi shehe MTOPEA yupo wapi?....... mwacheni huyu mama....... mtakusanyika dhidi yake...mtatawanyika kwa njia saba......! mtachimba shimo mumnase mtatumbukia wenyewe....!(HIZI NI AHADI MUNGU ALIWAHAIDI WAMCHAO KWA BIDII)

Ulipata bahati ya kumaliza darasa la Saba?
 
huyu Rwakatalw ni shetani kwasababu, yote anayofanya ni yakishetani hakuna hata moja la kimungu,,
 
Huyu mama ningekuwa na uwezo mimi ninge shusha ngumi tu toka mbinguni halaf tuone hawa waumini wake watak kaa? maana kila anachokisema Huyu mama wao wanafuata tu.. mi nashangaa waha walokole huwa wanapewa Dawa gani mpaka wanakuwa wajinga kiasi hicho
 
Mafisadi, majizi, matapeli yamewazunguka wananchi kila kona, kuanzia kwenye siasa, dini, biashara n.k. na wanatumia umasikini wa fikra za wananchi walio wengi kuunganisha nguvu zao katika wakati huu kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya Tanzania.
Wananchi masikini wa Tanzania ambao ndio wengi wanaelekea kukosa kabisa mtetezi baada ya wanasiasa, viongozi wa dini na wafanyabiashara wakubwa kuunganisha mirija yao ya kuwanyonya walalahoi.
Jambo la muhimu kwa sasa ni kuwakataa kwa nguvu zote viongozi wa dini na wafanya biashara wakubwa wanaotumia dini au biashara zao kujiingiza katika siasa kwani matokeo yake ni wananchi watumwa wao.
 
ETI DOCTA MCHUNGAJI MBUNGE SIJUI NA MKURUGENZI IMO HUMO, MAMA RWAKATARE EE EE, KAZI IPO. ANANITIA WASIWASI HUYU!:peep:
 
hivi shehe mtopea yupo wapi?....... Mwacheni huyu mama....... Mtakusanyika dhidi yake...mtatawanyika kwa njia saba......! Mtachimba shimo mumnase mtatumbukia wenyewe....!(hizi ni ahadi mungu aliwahaidi wamchao kwa bidii)

naona ndivyo alivyokudanganya kama sio kukukremishisha huo mstari ili uwe unamtetea, mungu sio wa hivyo kama hujui, sisi wakristo tunasema mungu hadanganyiki wala hadhiakiwi so hicho kimstari chako alikokuroga nacho naomba ukamwambie haya " kila unachopanda ndico utakacho vuna'! Pambafu, unajigonga nini wewe!!
 
kaka /dada heshima yako
hivi tunapata faida gani kupakaziana , i spoke to mama rwakatare leo , ata yeye anashangaa kwamba kunamaneno kama hayo . Ushauri wa bure kwa wana jf wote wenye tabia kama yako no research no right to speak . I wish tufike mahali tuwe tukisoma habari apo jf tuwe tunauakika nizakweli . To me jf is no longer reliable kwa tabia kama hizi

hujalazimishwa kurely kwenye jf unaweza kurely hata michuzi
 
Nafikiri huyu mama yuko sahihi kutokana na neno la Mungu (biblia); "Kila mtu na atii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamuriwa na Mungu." Warumi 13:1

Hivyo kutokana na neno la Mungu whether kiongozi amechaguliwa kwa halali au kuchakachuliwa lakini neno la Mungu linaeleza kwamba tunapaswa kuwatii.

Najua hii inapingana na CHADEMA bible...!
UNAELEWA UNACHOSOMA KWENYE BIBLE AU UNAROPOKA TU, HATUONGELEI UTII HAPO WEWE, ISSUE NI KUTUAMBIA KWAMBA MCHAKACHUAJI, NA RAFIKI WA MAFISADI NI CHAGUO LA MUNGU, LABDA KAMA NI MUNGU SHETANI BUT OUR 'ALMIGHTY GOD', I SAY NO! NO! NO!:nono::nono::nono: MSIPENDE QUOTE VIFUNGU KWENYE MAANDIKO MATAKATIFU BILA KUJUA MAANA YAKE. SHHIIIIIIIIIII!!!!!:tape: STOP:blah::blah:
 
Ungekuwa karibu yangu ningekutoa japo dinner the way am happy for your answers...
 
Kila mtu na atii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamuriwa na Mungu." Warumi 13:1

Nakubaliana na wewe kwa maneno hayo,ila Mungu anapomuweka mtu madarakani, kuna mawili:
1. Kama ni mbaya (fisadi, mwizi, n.k.)
Makusudi yake watu wake (wanaomwamini Mungu) wapate kuomba/kumuombea ili aache au abadilike, ili ufalme wake udhihirike kuwa anawasikia wamuombao.
2. Kama ni mzuri
Pamoja na kumuombea (asjiekengeuka), basi apate kutukuzwa.
MY TAKE: Au amewekwa na Mungu au vinginevyo, ni jukumu letu sisi kumuombea. Mimi si mfuasi wala mwanachama wa CCM, kwa maana hiyo sikumpigia kura. Tunachopaswa kufanya sasa ni kumuomba Mungu atufunulie kama haya "Mamlaka" ni kweli yametoka kwake au kwa shetani!
 
Una uhakika na haya....................labda ndiyo maana aona heri afanye hizi kufuru ili JK na serikali yake ya kifisadi isije kumgeuzia kibao.............

Alitoa bahasha zenye elfu hamsini ndania yake kama rushwa akidai ni kwa ajili ya Easter (Pasaka). Ni mtoaji rushwa nr 1
 
Mimi namsikitikia mama Lwakatare anakokwenda siko. Nami kama muumini najitolea kumuombe aili ajue njia ya kweli maana anaenda upotevuni. Maana misingi ya Biblia anayo iamini haifuati.
Mathalani Biblia inasema huwezi kutumikia Mabwana wawili maana utampenda huyu na kumuacha huyu...Huwezi kutumikia Mungu na Male Sasa yeye sijui yuko wapi hapo. Tensa Mwanamke amepewa utaratibu wa kuenenda. Sasa hapo napo sijui tusemeje?
Ushauri wangu kwa mama Lwakatare..........ampe Kaisari yaliyo yake na Mwenyezi Mungu yaliyo yake

Huyu mama (dr/mch/mh/...) nilikuwa sijamfahamu vizuri, ila nazidi kumfahamu kuwa ni HATARI hata kwa maisha ya baadhi ya watu.
1. Baadhi ya waumini wake ni Majambazi/Matapeli/Wadhulumu/... Tena wanatukuzwa hapo kanisani kwa kutengewa viti maalum. Mfano ni Mama mmoja chotara nadhani anaitwa Faudhia wa Masaki. Wenye data zake zaidi wazimwage.
2. Ni mchungaji sawa, ni mfanyabiashara sawa, ana marafiki na maadui sawa: ulinzi wake unadhihirisha amewadhulumu wengi. Muda wote ana Bastola kwenye pochi yake, na amewageuza baadhi ya wanajeshi wastaafu kuwa watu muhimu kanisani. For what?
3. Watumishi/waalimu katika shule zake ambazo zinaongozwa na Wakenya karibu zote hawana mikataba ya kazi. Lengo ni nini?
4. Huwa haishi kwenda Nigeria ila anawadanganya waumini kuwa anaenda USA. Nigeria kunani?

Naomba mwenye zaidi amwage.
 
Kila mtu na atii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamuriwa na Mungu." Warumi 13:1

Nakubaliana na wewe kwa maneno hayo,ila Mungu anapomuweka mtu madarakani, kuna mawili:
1. Kama ni mbaya (fisadi, mwizi, n.k.)
Makusudi yake watu wake (wanaomwamini Mungu) wapate kuomba/kumuombea ili aache au abadilike, ili ufalme wake udhihirike kuwa anawasikia wamuombao.
2. Kama ni mzuri
Pamoja na kumuombea (asjiekengeuka), basi apate kutukuzwa.
MY TAKE: Au amewekwa na Mungu au vinginevyo, ni jukumu letu sisi kumuombea. Mimi si mfuasi wala mwanachama wa CCM, kwa maana hiyo sikumpigia kura. Tunachopaswa kufanya sasa ni kumuomba Mungu atufunulie kama haya "Mamlaka" ni kweli yametoka kwake au kwa shetani!

.
Mungu afunue vipi tena? Kwa sababu aliyefunika ni binadamu yaani Jk na nec yake na atakaefunua ni binadamu pia kama ambavyo amefunua Dr Slaa kwa mifano michache ya jimbo la Geita, karatu na Hai. Mungu humtumia mtu katika maswala yawahusuo watu, halikadhalika na shetwani vivyo hivyo. Usihangaike kuomba ufunuo wa mambo yalio bayana. CHUKUA HATUA!!!

.
 
Huyu mama ni mwekezaji na moja ya sheria za nchi hii (japo siyo public), ukishakuwa katika hiyo state ili ufanikiwe lazima useme ndio mzee mda wote na pia kutoa sifa za kijinga kwa wenye mamlaka na nchi hii.

Huyu mama mie simwamini hata kidogo, kwani yeye na viongozi wengine watatu wanaoendesha makanisa kwa mfumo kama wake wamekuwa kama waimba taarabu, huyu akihubiri hili leo, mwingine analijibu next week. Mfano kwenye uchaguzi kuna mmoja aliwahimiza watu wake kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi, mwingine akaja akawakataza wafuasi wake.
 
Back
Top Bottom