Mchungaji Rwakatare naye atoa tamko...

:hug:Huyo mama sio mchungaji ni Dubu,kwanza nasikia ni mpiga wine mzoefu,shule hakuna kichwani sifuri kabisa ingawa ana mashule sio siri,yeye ni bendela fuata upepo Dini na siasa wapi na wapi?
 
kaingia dini ili akusanye hela za wajinga maana wako wengi, alimwacha mume wake Baba KOKU na kuzamia Marekani na baadaye kaja na kuibuka na dini , Mume kaachwa wakati ndiye aliyempeleka akasome kwa kuwa kabila la waaya walipendelea asome ili a;ingane nao, basi akarudi na dini ya Assemble of God, sasa hivi anausemi kwamba kwao hawaitaji maskini maana Mungu apendi umaskini, sasa ni dini gani haipendi maskini uukienda kwake ana ghorofa kama nne shule za ujanja ujanza zidi ya wamereka amabzo ni Kenton na nyinginezo, uo uchungazi gani ambao dalili za ufisadi wa kila aina upo, ata magari anayomiliki wakati waumini wake wanakufa njaa, angalia shule zate kama una million 1-2 hata 3 ujasoma pale, hawa hawa ndio wanaokataza serikali kutopunguza gharama za mashule yao, ndio mwisho wa dunia sasa kwani manabii wa uongo wameishaanza, kuna mtu anajitangaza kumrudisha AC duniani eti naye mchungaji jamanii
 
Huyu rwakatale anataka kujiweka pahala pa zuri zaidi kwa kupenda maburungutu ya noti. Lakini akae akijua pesa ndio iliyo muua YUDA. Akae akijua kuwa Mungu anaona dhamira yake maana anapenda hela kuliko Mungu.
 
hapo hakuna walokole nasikia wanawake wa hilo kanisa wanavizia waume za wenzao huko kanisani na wanawafuatilia maofisini kuomba misaada wakiwa wamejipamba bila kuwajulisha wake zao. Hawajitambui kwa lolote

Sio vyema kufanya generalization ya walokole wote, kama kuna mmoja alianguka, itakuwa kivyake. Na sio wote wanaoenda kwenye makanisa ya walokole wameokoka, wengine wanaenda kuvizia, ukienda kichwa kichwa unajisifu nimepata mlokole......
 
Sio vyema kufanya generalization ya walokole wote, kama kuna mmoja alianguka, itakuwa kivyake. Na sio wote wanaoenda kwenye makanisa ya walokole wameokoka, wengine wanaenda kuvizia, ukienda kichwa kichwa unajisifu nimepata mlokole......

Very true............................
 
Huyo hawezi kuwa mchungaji ila mganga njaa tuu maana hata bibilia hairuhusu mwanamke kusimama mbele ya mimbari je akiwa kwenye siku zake aweze ccmama? je siasa na dini tangu lini? je kama yeye ni mchungaji vipi shule zake zi ghali hivyo? anaweza saidiaje watoto wanao ishi ktk mazingira magumu? hivyo aende zake kwenye biashara zake tu aache uongo
Sikubaliani nawe kuwa mchungaji hawezi kuwa mwanamke lakini nakubaliana nawe kuwa mchungaji hawezi kusimama upande wa waonevu na wezi wa nchi.
Naweza kumwamini mchungaji au sheikh kuwa mwanasiasa kama yuko upande wa wanaodhulumiwa sio wanaodhulumu kama alivo Tesmond Tutu wa Afrika Kusini. Huyu mama kama kuna watu siwaamini ni hawa wanaojifanya watumishi kumbe ni kwa ajili ya tu ya kujipata nafasi na sifa kwenye jamii. Shame on you Mama Lwakatare. Yesu anayejifanya ni mtumish wake alikuwa mwanaharakati aliyetetea haki na kufungua wanaoonewa. Vipi leo mtu ajiite mchungaji wa Yesu huku anakula bakuli la kuomba makuu kwa wezi wanaoangamiza nchi yetu?
 
KULINGANA NA MAANDIKO MATAKATIFU MAMA RWAKATARE SIYO MCHUNGAJI . ANACHOFANYA MAMA RWAKATARE NI KUPINGANA NA NENO LA MUNGU. KWA HIYO ANACHOONGEA NI PUMBA TUPU. RAIS KIKWETE ATAKUWAJE CHAGUO LA MUNGU WAKTI AMEINGIA KWA KURA ZA WIZI? ASIDANGANYE WATU HAPA. PAMBAF KABISA! SINA HAKIKA KAMA ANA MUME.

BIBLIA INASEMA ,''SIMPI RUHUSA YA MWANAMKE KUFUNDISHA WALA KUMTAWALA MWANAMME............''.....MWANAMKE NA ANYAMAZE KATIKA KANISA..........''KAMA KUNA NENO NA AMWULIZE MME WAKE NYUMBANI MAANA NI AIBU KWA MWANAMKE KUNENA NDANI YA KANISA.....'' TUNASOMA BIBLIA TAKATIBU KUTOKA VITABU VYA 1 TIMOTHEO 2:11-14 NA 1 CORINTHIANS 14:34-38...

1 TIMOTHY 2:11-15

[11] Let the woman learn in silence with all subjection.
[12] But I suffer not a woman to teach, nor to usurp authority over the man, but to be in silence.
[13] For Adam was first formed, then Eve.
[14] And Adam was not deceived, but the woman being deceived was in the transgression.
[15] Notwithstanding she shall be saved in childbearing, if they continue in faith and charity and holiness with sobriety.

1 CORINTHIANS 14:34-37

[34] Let your women keep silence in the churches: for it is not permitted unto them to speak; but they are commanded to be under obedience, as also saith the law.
[35] And if they will learn any thing, let them ask their husbands at home: for it is a shame for women to speak in the church.
[36] What? came the word of God out from you? or came it unto you only?
[37] If any man think himself to be a prophet, or spiritual, let him acknowledge that the things that I write unto you are the commandments of the Lord.
Itasemwa: Kanisa Anglikana kiongozi wake ni Malkia, Itasemwa tena Mwanzilishi wa Kanisa la wasabato ni Mwanamke haitotosha itasema kwa sauti kuu "huo ni ubaguzi wa kijinsia na unyanyasaji... haitotosha - watasema: Makubaliano ya Beijing yameanza kutekelezwa!"
 
Back
Top Bottom