Mchungaji Rwakatare naye atoa tamko...

Huyu mama ha qualify kutoa maoni kwasababu tayari ni mbuinge wa chama cha mafisadi, shule zimemshinda baada ya kushindwa kuendelea na kamchezo ka kuiba mitihani sasa kageukia siasa, kanisa analoendesha lina mashuga mamy ambao wanapenda vijana wadogowadogo haliko safi kama watu wanavyodhani...whoever doubt this should make investigation to prove this
Mchungaji Rwakatare amenakiliwa na gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM akirejea kauli yenye utata ya kuwa JK ni chaguo la Mungu..........kauli hii ni tata ukizingatia upo ushahidi wa ya kuwa NEC haikufuata katiba ya JMT katika kumtangaza JK kuwa ni Raisi wetu..........Ibara ya Na. 41(5) inayoitaka NEC kufuata taratibu za sheria ya uchaguzi haikufuatwa.................................swali kwa kada wa CCM ambaye amejibanza kwenye viti maalumu ni je hivi Mungu anachagua watu ambao wanawadhulumu wapigakura haki yao ya kimsingi ya kuchagua viongozi wawatakao?

Kwa lugha nyingine, je Mwenyezi Mungu anaafiki dhuluma kwenye jamii............huyo ni Mungu wa wapi huyo? Na Mchungaji Rwakatare alikutana lini na Mungu kama siyo anajikomba kwa JK kwa kumkashifu Mwenyezi Mungu pale ambapo anapomwingizia maneno kinywani mwake ambayo hakuyasema.............

Ushauri wangu kwa Rwakatare..........mpe Kaisari yaliyo yake lakini hakikisha kwanza unampa Mwenyezi Mungu yaliyo yake na haya elezea ukweli kuwa ulijitungia..........
 
marketing our LORD JESUS we mama au una PEPO usicheze na MUNGU labda si MUNGU Yule aliye muua mwanaye mpenzi kwa ajili ya DHAMBI basi usipotubu kama utaiona pepo hoyo MUNGU ni babu yako
 
Nafikiri huyu mama yuko sahihi kutokana na neno la Mungu (biblia); "Kila mtu na atii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamuriwa na Mungu." Warumi 13:1

Hivyo kutokana na neno la Mungu whether kiongozi amechaguliwa kwa halali au kuchakachuliwa lakini neno la Mungu linaeleza kwamba tunapaswa kuwatii.

Najua hii inapingana na CHADEMA bible...!
 
Sisi ni wazee wa kunukuu tu!! Hata Idd Amin akitawala ni kutii tu, hata Osama akitawala ni kutii tu, hata Sani Abacha akinyonga akina Ken Saro Wiwa ni kutii tu, hata Botha akibagua watu weusi South Africa ni kutii tu, Hata Hitler akiua Wayahudi kwa sumu ni kutii tu, hata Mafarisayo wakifanya biashara hekaluni Yesu awatii tu, hata watu wakiiba pesa za EPA ni kutii tu, hata watu wakiiba kura ni kutii tu, hata rais akikwambia we ni mshenzi ni kutii tu..... Tuendelee kunukuu tu bila kujiuliza maana yake, tunukuu tu.
 
Tunasoma katika bibilia. yakobo alipora haki ya kaka yake ya mzaliwa wa kwanza na Mungu akambariki yakobo. kwa maana hiyo mibaraka yote ya wana wa yakobo na Yesu akiwemo kulingana na maandiko imetokana na HILA. je, Mungu si alimbariki YAKOBO? Je, Hakuona hila hiyo?? Na je, ni haki??. au je, ulikuwa ni mpango wa mungu? kwa nini iwe hivyo? Tuwe wakweli na tusiufiche ukweli. Ni UNAFIKI kuuficha ukweli. Wengi wa Wana JF sio waungwana.
Mnamshambulia mama Rwakatare bila kuangalia upande wa kulia. wengi wetu akili imelalia Kushoto. Ni ugonjwa!!
binafsi siafiki mwanamke kuwaq mchungaji lakini maandiko ndio tegemeo letu sote. Tuwe waungwana na tuseme maneno ya haki.
 
Mchungaji Rwakatare amenakiliwa na gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM akirejea kauli yenye utata ya kuwa JK ni chaguo la Mungu..........kauli hii ni tata ukizingatia upo ushahidi wa ya kuwa NEC haikufuata katiba ya JMT katika kumtangaza JK kuwa ni Raisi wetu..........Ibara ya Na. 41(5) inayoitaka NEC kufuata taratibu za sheria ya uchaguzi haikufuatwa.................................swali kwa kada wa CCM ambaye amejibanza kwenye viti maalumu ni je hivi Mungu anachagua watu ambao wanawadhulumu wapigakura haki yao ya kimsingi ya kuchagua viongozi wawatakao?

Kwa lugha nyingine, je Mwenyezi Mungu anaafiki dhuluma kwenye jamii............huyo ni Mungu wa wapi huyo? Na Mchungaji Rwakatare alikutana lini na Mungu kama siyo anajikomba kwa JK kwa kumkashifu Mwenyezi Mungu pale ambapo anapomwingizia maneno kinywani mwake ambayo hakuyasema.............

Ushauri wangu kwa Rwakatare..........mpe Kaisari yaliyo yake lakini hakikisha kwanza unampa Mwenyezi Mungu yaliyo yake na haya elezea ukweli kuwa ulijitungia..........

Nchi imeisha. Wanyonge hawana pa kukimbilia. Hata wanaojiita viongozi wa dini lao moja tu 'kuchumia tumbo'. Anachofanya huyo mama ni kulipa fadhira tu ya kujumuishwa kwenye 'viti maalum', hana lolote. Huko mbeleni mengi tutasikia na kushuhudia tutakapopata rais mzalendo mwenye uchungu na wananchi na nchi kwa ujumla.
 
ni kweli, kwa mujibu wa Biblia hafai kuwa mchungaji. huyu anajifurahisha mwenyewe. halafu Mungu hachagui rais kwa kuwa MUNGU HAPIGI KURA. Bila shaka mama huyu kachanganyikiwa
 
naomba tusiendelee kujadili habari iliyotoka katika gazeti la CCM. kwa mujubu wa sheria zangu hicho si chanzo halali cha habari
 
Lazima tufike sehemu tukubali ya kuwa dini siku hizi ni biashara...
 
Nashangazwa na kitu kimoja tu kutoka kwa huyu mama.
Siasa na Uchungaji ni vitu viwili tofauti lakini yeye sijui vp!!

Huyu mama ni mfanyabiashara halali na haramu; hiyo mambo ya dini ni cover-up ilil mambo yake yaende sawa basi!!
 
hapo hakuna walokole nasikia wanawake wa hilo kanisa wanavizia waume za wenzao huko kanisani na wanawafuatilia maofisini kuomba misaada wakiwa wamejipamba bila kuwajulisha wake zao. Hawajitambui kwa lolote

Mbona hata yeye maza rwaka anajichubua, je uumbaji wa Mungu anaona haumtoshi au?? Lile likofia lake analong'ang'ania lina maua na alama ya jicho ambayo mwanga mwenzie sheikh yahya alisema ni alama ya freemasons. Vipi wale watoto walioanguka ktk paa la kanisa lake wakati ule walinaswa na sumaku gani kama sio naye chama moja... Mbona alienda kumpigia debe abdul mkeketa mabaye ni mzinzi gwiji..... Aache kabisa kumchokoza Mungu wetu tutampaka mavi sisi, chupi yake.
 
Ndugu casava. naanza kuamini ndani ya JF kuna baadhi ya vichwa - superintelligent. Big up kwa hekima zako. ubarikiwe na Mola akuzidishe. akupe ufalme wa mbingu na maisha ya baada ya haya. sometimes its wise to be clear!. Na si vizuri kumhukumu mtu ati tu kwa sababu ametoa mawazo tofauti na watu wengi wanavyotaka.

ndugu SN 2139. nashukuru kwa kukubaliana na mimi.
Na mimi naona vyovyote iwavyo, mungu asingeruhusu Muhuni yule - ambaye ameasi kumtumikia yeye na kibaya zaidi akasimama hadharani kunadi kutembea na wake za watu - kupewa nchi ambayo kuna ndani yake watu watukufu wanaomtukuza usiku na mchana. Afadhali dhambi ikitendwa kwa siri kwani madhara ni kwa wale watendaji. ikifikia kutangawa hadharani na watu wakaafiki uchafu huobasi subiri laana na mateso yasiyoisha yawakute. Yanayowapata Somalia leo si tunayaona??. Raisi wao kama sikosei Siad Bare alikamata baadhi ya masheikh na kuwapandisha ndani ya ndege kisha kuwarusha chini wakafa wote. mmeona madhara yake hadi leo??.
Ninyi mnakitetea msichokijua bali sisi tunakitetea tukijuacho!! Yapime hayo akilini na au ukipenda yafute wasomaji wasiyaone.
sisi tuko nje tunayaona lakini pia hata walioko ndani wameyaona na ndio maana wanaanza kujitoa mmoja mmoja.
 
huyo mama watu wengi hawajamfuatilia tu, lakini ni product ya ufisadi iliyojificha kwa mgongo wa kanisa.
1. Shule zake za saint mary's anawadanganya wafadhili kwamba anawasomesha watoto yatima wakati sio kweli, hao watoto yatiama idaadi yao na misaada anayopewa ulaya havilingani.
2. Ni mtumishi wa mungu gani huyu!? Kama sio kumkufuru mungu? Uliza mtu yeyote aliyekuwepo morogoro wakati wa kura za maoni za viti maalum upande wa ccm, hichi kimama ndio kilikuwa kinaongoza kwa kutoa rushwa wazi wazi. Huu sio udaku ni fact.
hitimisho: Huyu mama si mtumishi wa mungu bali shetani na kazi. Lile kanisa na zile shule hizo ni ngo zake full stop.

huyu mama nais mshirikina...mkwere amechaguliwa na mungu wa mashetani labda.. huyu mhttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/angry.pngama kwanza sifa yake kubwa ni kukamata wachawi ( kakobe kuponya, ndodi..na wahubiri wengine hawasifiki kwa hili )......kimsingi sifa za huyu mama na sheiki yahaya zinashabiiana na matamko yao kuhusu kikwete ni yana maana karibu sawa....... TUMDHARAU JAMANI HUYU FISADI ALIYEJIPACHIKA DINI
 
Ndugu casava. naanza kuamini ndani ya JF kuna baadhi ya vichwa - superintelligent. Big up kwa hekima zako. ubarikiwe na Mola akuzidishe. akupe ufalme wa mbingu na maisha ya baada ya haya. sometimes its wise to be clear!. Na si vizuri kumhukumu mtu ati tu kwa sababu ametoa mawazo tofauti na watu wengi wanavyotaka.

ndugu SN 2139. nashukuru kwa kukubaliana na mimi.
Na mimi naona vyovyote iwavyo, mungu asingeruhusu Muhuni yule - ambaye ameasi kumtumikia yeye na kibaya zaidi akasimama hadharani kunadi kutembea na wake za watu - kupewa nchi ambayo kuna ndani yake watu watukufu wanaomtukuza usiku na mchana. Afadhali dhambi ikitendwa kwa siri kwani madhara ni kwa wale watendaji. ikifikia kutangawa hadharani na watu wakaafiki uchafu huobasi subiri laana na mateso yasiyoisha yawakute. Yanayowapata Somalia leo si tunayaona??. Raisi wao kama sikosei Siad Bare alikamata baadhi ya masheikh na kuwapandisha ndani ya ndege kisha kuwarusha chini wakafa wote. mmeona madhara yake hadi leo??.
Ninyi mnakitetea msichokijua bali sisi tunakitetea tukijuacho!! Yapime hayo akilini na au ukipenda yafute wasomaji wasiyaone.
sisi tuko nje tunayaona lakini pia hata walioko ndani wameyaona na ndio maana wanaanza kujitoa mmoja mmoja.

Ndugu,

Hivi uwaga unafikiri kabla ya kuanza kutype?
 
Warumi 13:

Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.

Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala.Wal ipeni wote haki zao; mtu wa kodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu.

.
Mkuu mamlaka inayotakiwa kuheshimiwa ni ile tu yenye kutokana na watu na kusimamia haki na yenye kuyafundisha maadili ya Mungu kwa watu wake kivitendo.
Ebrania 13:7 'wakumbukeni walewaliokuwa wakiwaongoza waliowaambia neno la Mungu, tena kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao'
Sasa utawala wa mkwere ni wa kuchakachua. Mwanzoni watu walimwamini na kumuingiza madarakani kwa asilimia 82, lakini baada ya kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wake wakagundua ni rafiki wa mafisadi na ndipo walipomnyima kura, ila pamoja na kuchakachua imejisimika madarakani kwa asilimia 61 ambazo ni pungufu ya asilimia 20 ya zile za mwanzo. Mama Rwekatare kwa kutuambia kwamba JK ni chaguo la Mungu ni sawa kwa mungu wa mama na wala sii kwa Mungu muumba (Yehova) wa biblia. Kwani biblia haimtambui mama kama mchungaji, pili hana uadilifu katika jamii kuweza kuwa kinywa cha Mungu maana ni mtu wa matengano kaachana na mme. Tatu ni mfanya biashara na mwanasiasa aliyejifichia kwenye kusanyiko analoliita kanisa. Nne anapokea mshahara wa milioni 7 kwa mwezi wakati katika nchi yake hiyo hiyo kuna mfanyakazi anaelipwa laki 1 na nusu wala hakemei hiyo hali na kumtetea huyu mnyonge bali ameshikamana na mafisadi na katika karamu zao za usiku huwashughudia kwamba ukwasi walio nao ni ishara ya mibaraka kutoka kwa mungu aliowabariki dhidi ya mafukara wengi waliowazunguka. Mama rushwa imempofush
 
=Kagumyamuheto, ......Afadhali dhambi ikitendwa kwa siri kwani madhara ni kwa wale watendaji. ikifikia kutangawa hadharani na watu wakaafiki uchafu huobasi subiri laana na mateso yasiyoisha yawakute. Yanayowapata Somalia leo si tunayaona??. Raisi wao kama sikosei Siad Bare alikamata baadhi ya masheikh na kuwapandisha ndani ya ndege kisha kuwarusha chini wakafa wote. mmeona madhara yake hadi leo??.
Napata wasiwasi kidogo juu yako ndugu yangu Kagumyamuheto, na kwasababu hiyo naomba niwaase sana wanaJF wenzangu juu ya watu kama hawa. nimepitia kila comment ndani ya hii thread imenilazimu niliangalie hili kwa jicho la tofauti kidogo ili kuwaasa walio wengi.

Ndugu yangu Kagumyamuheto, amepost kitu kimoja zaidi ya mara saba (7) katika thread hii, amepost comment no. 21, 31, 57, 59, 67 (akai_underline kuonesha msisitizo). Mkuu Sn2139 anaamua kuijibu hoja ya Kagumyamuheto baada ya kukerwa nayo hii ni katika post number 73, Cassava naye anachangia hoja ileile katika post number 77.

Katika post number 85, Kagumyamuheto, anatoa kile kilicho moyoni kwake, yaani kile alichokusudia kukishabikia, ila anakitoa kwa kufichaficha na kwa kusitasita, hii ina maana kuwa alichokusudia kukiweka hapa jamvini si kitu kizuri hata kidogo (Mtazamo wangu binafsi). Hali haiishii hapo katika post number 92 anachangia hoja iliyojibiwa na Cassava ndani ya post number 77 na anaendeleza ufafanuzi wake juu ya kile kilicho moyoni kwake.

Moral and Ethics of it:
Inawezekana kabisa watu wakawa wanasafiri lakini katikati yao kuna baadhi ya watu ambao nia yao si kusafiri bali shida yao kubwa ni kuona safari haifanikiwi. Hawa ni sawa na Mbwa mwitu waliovaa ngozi ya kondoo katikati ya kundi la kondoo. Nalazimika kusema hivi kwa sababu moja kubwa. Kuna wakati watu hufanya kitu pengine kwa kutegemea matokeo fulani, lakini kwa kuwa hawakuwa makini katika kufanya upembuzi yakinifu juu ya Athari ya kitu chenyewe wanaishia katika kusababisha chuki, Ufa, Mpasuko Machungu na Masikitiko makubwa kwa watu wasio na hatia.

Nijuavyo mimi, binadamu wote ni sawa mbele za Mungu aliyeumba mbingu na nchi bila kujali Dini, Rangi wala Kabila. Hivyo kuwagawa watu kwa misingi ya Udini, Rangi na Kabila ni kosa kubwa. Onyo langu kwa wanaJF wote ni kuwaogopa sna watu wa namna hii maana kupitia mitazamo yao wanaweza kutufikisha mahali pabaya sana. Nakumbuka Mwl Nyerere alisema "........misingi ya nchi yetu si katika udini wala ukabila wala rangi zetu....., misingi ya nchi yetu ni katika Upendo amani, mshikamano na utulivu.... waogopeni kama UKOMA wale wote wanaoonekana kutaka kuwagawa kwa misingi ya dini zenu, kabila zenu na rangi zenu......"
Ndio maana baadhi yetu tunamchukia sana JK kwa sababu ndiye aliyekuwa kinara wa siasa za udini ambazo leo hii tunaona zikipata wafuasi kila kona. Tathimin ya athari zake ni mungu tu ndiye anajua.

God bless our country Tanzania, and keep us away from Ufisadi.
 
Kuna mtu yeyote mwenye taarifa na FAILI ya huyu mama tangu huko alikotoka na FEDHA ZA WATOTO YATIMA hadi sasa hivi anapojaribu KUNYOOSHA biashara zakekupitia Sisiem ???????????
 
huwa sometimes ninawaangalia wale wanaume kwenye lile kanisa lake halafu nashindwa kuwaelewa.......
 
Back
Top Bottom