Mchungaji Rwakatare naye atoa tamko...

I dont want to go too far lakini huyu mama uadilifu wake ni mungu mwenyewe anayeufahamu. Pamoja na dhuluma zote CCM inazofanya sikuwahi kumsikia kamwe akitoa maonyo, I wonder kama kuhubiri uadilifu na kutetetea wanyong ni kanisani tu
 
Huyo mama ni tapeli,hivo vitambaa anavyogawaga ni danganya toto tu.yuko kwenye list ya mafisadi wakubwa nchini,maanaalipewa msaada afungue shule asomeshe watoto yatima bure yeye ametongozwa na wana ccm amejiachia anaenda kusema mbele ya kanisa eti kikwete ni chaguo la mungu kweli huyo mama nimemchoka,hata kanisani kwake siendi tena
 
Kwa mbali nakumbuka yale yaliyosemwa na Bwana mkubwa Yesu, kwamba siku za mwisho kutazuka manabii wa uongo.. Chonde mama Lwakatare
 
Nani asiyemjua huyo mama na siri na shule za St Mary's zilivyoanza na vinavyoendeshwa? aachane na mambo ya siasa aendelee kula mamilion ya sadaka za waumini wake.
 
I hope she listens to these anguished voices and repent to his Almighty God..........
 
Huyu mama vipi??? Au labda anachukua mfano wa Yakobo aliyejitwalia baraka za Esau mzaliwa wa kwanza tena kwa hila na akabarikiwa na Mungu!! Je, Mungu hakuliona hilo?? Mbona hajalikemea?? Au ulikuwa mpango wa Mungu??. Au Biblia ilichakachuliwa na Waandishi??
Kama ndio ndivyo basi licha ya kuwa mwanamke hafai kuwa mchungaji, lakini kama ni kwa mfano huo basi hata wakristo wa leo wanamkubali yakobo mwana wa isaka na ameambatanishwa na kizazi cha Yesu. Na ni kweli mungu alimbariki!!

Huyu mama ni tapeli. Amejificha kwenye ngozi ya kanisa kwa muda mrefu sasa ameona bado haitoshi ameingia kwenye siasa. Utachomwa vibaya siku ya kihama huyo!!
 
Warumi 13:

Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.

Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala.Wal ipeni wote haki zao; mtu wa kodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu.
 
Yule ni msanii hamna kitu, pale anaangalia kukusanya sadaka na kulisha shavu lake tu.
 
Paul here enunciates the principle that all lawful authorities derives from God.
 
1. Huyu mama vipi??? Au labda anachukua mfano wa Yakobo aliyejitwalia baraka za Esau mzaliwa wa kwanza tena kwa hila na akabarikiwa na Mungu!! Je, Mungu hakuliona hilo?? Mbona hajalikemea?? Au ulikuwa mpango wa Mungu??. Au Biblia ilichakachuliwa na Waandishi??
Kama ndio ndivyo basi licha ya kuwa mwanamke hafai kuwa mchungaji, lakini kama ni kwa mfano huo basi hata wakristo wa leo wanamkubali yakobo mwana wa isaka na ameambatanishwa na kizazi cha Yesu. Na ni kweli mungu alimbariki!!
NACHELEA POST ZANGU KUFUTWA KILA MARA NIKIPOST. I REALIZED THAT LONG AGO. LAKINI NATIZAMA MAMBO KIUHALISIA NA KUTOA MAWAZO MBADALA. SUPER INTELLIGENT HUH!! IS WHETHER ADMINISTRATOR LIKE IT OR NOT BUT IF YOU HAVE FREE MIND YOU LIVE FREELY AND HAPPILY!!.
Mkuu Kagumya..naona umekazania swali lako kweli! Mimi ninavyofahamu ni kuwa Jacob alikuwa na tabia ya uchaji tangu utoto wake. Baba yake hakuliona hilo, lakini mama yake alikuwa ameshaliona. Mzee Isaka alifahamu mambo mawili tu, 1. Mzaliwa wake wa kwanza ndio chaguo la Mungu kupokea ahadi aliyopewa baba yake Ibrahim 2. Alimpenda Esau kwa kuwa alikuwa muwindaji. Kila mara alipoua alimpelekea baba yake nyama. Hivyo utamu wa nyama pori ulimfanya mzee kumpenda na kumthamini zaidi Esau bila kuzingatia hali dhaifu ya kiroho aliyokuwa nayo.

Jacob alianza kuwa na wasiwasi kuwa huenda urithi wao kutoka kwa babu yao Ibrahim na baba yao Isaac utapotea kwasababu aliyestahili kurithi ahadi hizo ni huyo kaka yake ambaye hakuonesha kujishughulisha na mambo matakatifu. Jacob akaamua kununua uzaliwa wa kwanza kutoka kwa kaka yake Esau alipokuwa na njaa, naye kama kawaida yake hakujali hata thamani ya uzaliwa wa kwanza, akauuza kwa thamani ya chakula cha njano.

Wakati baba yao alipokaribia kufa, alimtaka Esau, ambae ni mzaliwa kwanza, amtengenezee nyama pori, ale na kufurahi ili apate kumbariki. Mama yao alisikia mazungumzo hayo, ndipo akamwita Jacob na kumtaka Jacob aende alete mwana ndama, ili mama apate kumtengenezea chakula kabla ya Esau kurudi, ampelekee baba yake ili apate kubarikiwa.

Mama huyo alikuwa mwanamke anayejali sana ahadi za Mungu na mambo ya kiroho. Ni muhimu kuoa mwanamke wa jinsi hiyo, kwani anaweza kuwa msaada mkubwa kiroho baba ukionekana kulegalega katika malezi.

Hata hivyo, kosa la Jacob na mama yake, linarandana na kosa la Ibrahim na mke wake pale walipotumia hekima ya kibinadamu kumsaidia Mungu atimize ahadi ya kupata mtoto. Shida kubwa ilimpata Jacob kwani ilibidi amkimbie kaka yake mwenye hasira, akaenda huko Syria kwa Laban, kaka ya mama yao, naye alikaa huko kwa muda wa miaka 20 mbali na wazazi wake. Mama yake alikufa bila kumwona mwanaye Jacob aliyempenda sana.

Sasa sijui kama nitakuwa nimekusaidia. Kama nitakuwa nimesababisha maswali zaidi basi itabidi ufanye uchunguzi zaidi wa habari hiyo. Mimi ninaweza kuendelea kutoa msaada zaidi. Kwahiyo hoja yako unayotaka kuijenga kumtetea mama Lwakatare, haikubaliki.
 
kaka /dada heshima yako
hivi tunapata faida gani kupakaziana , i spoke to mama Rwakatare leo , ata yeye anashangaa kwamba kunamaneno kama hayo . Ushauri wa bure kwa wana jf wote wenye tabia kama yako NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK . I wish tufike mahali tuwe tukisoma habari apo jf tuwe tunauakika nizakweli . to me jf is no longer reliable kwa tabia kama hizi
Mchungaji Rwakatare amenakiliwa na gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM akirejea kauli yenye utata ya kuwa JK ni chaguo la Mungu..........kauli hii ni tata ukizingatia upo ushahidi wa ya kuwa NEC haikufuata katiba ya JMT katika kumtangaza JK kuwa ni Raisi wetu..........Ibara ya Na. 41(5) inayoitaka NEC kufuata taratibu za sheria ya uchaguzi haikufuatwa.................................swali kwa kada wa CCM ambaye amejibanza kwenye viti maalumu ni je hivi Mungu anachagua watu ambao wanawadhulumu wapigakura haki yao ya kimsingi ya kuchagua viongozi wawatakao?

Kwa lugha nyingine, je Mwenyezi Mungu anaafiki dhuluma kwenye jamii............huyo ni Mungu wa wapi huyo? Na Mchungaji Rwakatare alikutana lini na Mungu kama siyo anajikomba kwa JK kwa kumkashifu Mwenyezi Mungu pale ambapo anapomwingizia maneno kinywani mwake ambayo hakuyasema.............

Ushauri wangu kwa Rwakatare..........mpe Kaisari yaliyo yake lakini hakikisha kwanza unampa Mwenyezi Mungu yaliyo yake na haya elezea ukweli kuwa ulijitungia..........
 
kulingana na maandiko matakatifu mama rwakatare siyo mchungaji . Anachofanya mama rwakatare ni kupingana na neno la mungu. Kwa hiyo anachoongea ni pumba tupu. Rais kikwete atakuwaje chaguo la mungu wakti ameingia kwa kura za wizi? Asidanganye watu hapa. Pambaf kabisa! Sina hakika kama ana mume.

Biblia inasema ,''simpi ruhusa ya mwanamke kufundisha wala kumtawala mwanamme............''.....mwanamke na anyamaze katika kanisa..........''kama kuna neno na amwulize mme wake nyumbani maana ni aibu kwa mwanamke kunena ndani ya kanisa.....'' tunasoma biblia takatibu kutoka vitabu vya 1 timotheo 2:11-14 na 1 corinthians 14:34-38...

1 timothy 2:11-15

[11] let the woman learn in silence with all subjection.
[12] but i suffer not a woman to teach, nor to usurp authority over the man, but to be in silence.
[13] for adam was first formed, then eve.
[14] and adam was not deceived, but the woman being deceived was in the transgression.
[15] notwithstanding she shall be saved in childbearing, if they continue in faith and charity and holiness with sobriety.

1 corinthians 14:34-37

[34] let your women keep silence in the churches: For it is not permitted unto them to speak; but they are commanded to be under obedience, as also saith the law.
[35] and if they will learn any thing, let them ask their husbands at home: For it is a shame for women to speak in the church.
[36] what? Came the word of god out from you? Or came it unto you only?
[37] if any man think himself to be a prophet, or spiritual, let him acknowledge that the things that i write unto you are the commandments of the lord.

kaka unataka kuniambia kanisa linalomiliki tv ya atn hicho kifungu hawajakiona?
 
Wengine wengi humu wanamlaumu mama Lwakatare kujiingiza kwenye siasa. Ukisoma kwa makini ni kwasababu huyu mama yupo CCM. Maana oh ya kaizari mara oh dini na siasa! Ni vyema tukimaliza hapa tuhamie kwa mchungaji Msigwa mbunge wa Iringa mjini. Tuanze na hoja za kuchanganya dini na siasa.
 
Mkuu Kagumya..naona umekazania swali lako kweli! Mimi ninavyofahamu ni kuwa Jacob alikuwa na tabia ya uchaji tangu utoto wake. Baba yake hakuliona hilo, lakini mama yake alikuwa ameshaliona. Mzee Isaka alifahamu mambo mawili tu, 1. Mzaliwa wake wa kwanza ndio chaguo la Mungu kupokea ahadi aliyopewa baba yake Ibrahim 2. Alimpenda Esau kwa kuwa alikuwa muwindaji. Kila mara alipoua alimpelekea baba yake nyama. Hivyo utamu wa nyama pori ulimfanya mzee kumpenda na kumthamini zaidi Esau bila kuzingatia hali dhaifu ya kiroho aliyokuwa nayo.

Jacob alianza kuwa na wasiwasi kuwa huenda urithi wao kutoka kwa babu yao Ibrahim na baba yao Isaac utapotea kwasababu aliyestahili kurithi ahadi hizo ni huyo kaka yake ambaye hakuonesha kujishughulisha na mambo matakatifu. Jacob akaamua kununua uzaliwa wa kwanza kutoka kwa kaka yake Esau alipokuwa na njaa, naye kama kawaida yake hakujali hata thamani ya uzaliwa wa kwanza, akauuza kwa thamani ya chakula cha njano.

Wakati baba yao alipokaribia kufa, alimtaka Esau, ambae ni mzaliwa kwanza, amtengenezee nyama pori, ale na kufurahi ili apate kumbariki. Mama yao alisikia mazungumzo hayo, ndipo akamwita Jacob na kumtaka Jacob aende alete mwana ndama, ili mama apate kumtengenezea chakula kabla ya Esau kurudi, ampelekee baba yake ili apate kubarikiwa.

Mama huyo alikuwa mwanamke anayejali sana ahadi za Mungu na mambo ya kiroho. Ni muhimu kuoa mwanamke wa jinsi hiyo, kwani anaweza kuwa msaada mkubwa kiroho baba ukionekana kulegalega katika malezi.

Hata hivyo, kosa la Jacob na mama yake, linarandana na kosa la Ibrahim na mke wake pale walipotumia hekima ya kibinadamu kumsaidia Mungu atimize ahadi ya kupata mtoto. Shida kubwa ilimpata Jacob kwani ilibidi amkimbie kaka yake mwenye hasira, akaenda huko Syria kwa Laban, kaka ya mama yao, naye alikaa huko kwa muda wa miaka 20 mbali na wazazi wake. Mama yake alikufa bila kumwona mwanaye Jacob aliyempenda sana.

Sasa sijui kama nitakuwa nimekusaidia. Kama nitakuwa nimesababisha maswali zaidi basi itabidi ufanye uchunguzi zaidi wa habari hiyo. Mimi ninaweza kuendelea kutoa msaada zaidi. Kwahiyo hoja yako unayotaka kuijenga kumtetea mama Lwakatare, haikubaliki.

kaka kwa maelezo yako, kumbe ni halali kwa mtu au chama kutoa kitu cha kumuliwaza mtu mwingine hasa kwa kuangalia udhaifu alionao ili nia fulani ya yule mtoaji itimie na kwa mungu si kosa. ANGALIA hapo kwenye RED, Kwa hiyo rushwa za Chumvi, nyama, pesa kama book 10,na ningine vingi wanavyopewa wanaviji ni halali kwa mujibu wa sentensi hiyo yenye RED. Na kwa maana hiyo mungu hakuthubutu kutoa hukumu kwa yakobo kwa kuwa alimdanganya. Naomba ufafanuzi. Hiyo si dhuruma kweli? je dhuruma si dhambi?
 
Mchungaji Rwakatare amenakiliwa na gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM akirejea kauli yenye utata ya kuwa JK ni chaguo la Mungu..........kauli hii ni tata ukizingatia upo ushahidi wa ya kuwa NEC haikufuata katiba ya JMT katika kumtangaza JK kuwa ni Raisi wetu..........Ibara ya Na. 41(5) inayoitaka NEC kufuata taratibu za sheria ya uchaguzi haikufuatwa.................................swali kwa kada wa CCM ambaye amejibanza kwenye viti maalumu ni je hivi Mungu anachagua watu ambao wanawadhulumu wapigakura haki yao ya kimsingi ya kuchagua viongozi wawatakao?

Kwa lugha nyingine, je Mwenyezi Mungu anaafiki dhuluma kwenye jamii............huyo ni Mungu wa wapi huyo? Na Mchungaji Rwakatare alikutana lini na Mungu kama siyo anajikomba kwa JK kwa kumkashifu Mwenyezi Mungu pale ambapo anapomwingizia maneno kinywani mwake ambayo hakuyasema.............

Ushauri wangu kwa Rwakatare..........mpe Kaisari yaliyo yake lakini hakikisha kwanza unampa Mwenyezi Mungu yaliyo yake na haya elezea ukweli kuwa ulijitungia..........
Nasema kuwa huyu mama namfaham sn kwani tumekuwa kanisa moja wakati ule kabla ya kwenda US nakuanzisha NGO yake ya.......to the need, ukweli ni kada wa sisiem na siyo kweli anayosema, km ni mchungaji anaweza sema ametumia neno gani kwenye bilia inayoonyesha JK ni chaguo la Mungu? namuonya aache kujpendekeza kwa mafisadi ataacha MUngu mwema aondoe mkono wake wenye huduma yake.
 
Nimekuwa najiuliza sana juu ya uteuzi wa Mchungaji, Dr. Lwakatare............. nchi hii ina wachungaji wangapi?? ah nsiseme sana mie MwanajamiiOne:whoo:
 
Mchungaji Rwakatare amenakiliwa na gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM akirejea kauli yenye utata ya kuwa JK ni chaguo la Mungu..........kauli hii ni tata ukizingatia upo ushahidi wa ya kuwa NEC haikufuata katiba ya JMT katika kumtangaza JK kuwa ni Raisi wetu..........Ibara ya Na. 41(5) inayoitaka NEC kufuata taratibu za sheria ya uchaguzi haikufuatwa.................................swali kwa kada wa CCM ambaye amejibanza kwenye viti maalumu ni je hivi Mungu anachagua watu ambao wanawadhulumu wapigakura haki yao ya kimsingi ya kuchagua viongozi wawatakao?

Kwa lugha nyingine, je Mwenyezi Mungu anaafiki dhuluma kwenye jamii............huyo ni Mungu wa wapi huyo? Na Mchungaji Rwakatare alikutana lini na Mungu kama siyo anajikomba kwa JK kwa kumkashifu Mwenyezi Mungu pale ambapo anapomwingizia maneno kinywani mwake ambayo hakuyasema.............

Ushauri wangu kwa Rwakatare..........mpe Kaisari yaliyo yake lakini hakikisha kwanza unampa Mwenyezi Mungu yaliyo yake na haya elezea ukweli kuwa ulijitungia..........

Mimi siku zote nawasifu watu ambao wakiona wanafaa kwenye siasa wanaachana na mambo ya dini,huku kulitaja bure jina la Mungu jamani sijui tutasemaje hiyo siku ikifika
 
Back
Top Bottom