Mchumba wangu anatoka na baba yake mzazi, nifanyeje?

Mpe Mimba na wewe uwe historia ya kuwa alshachomoa ako. Ila hafai hata kdogo ni kwel upendo hauvumiliki bt unatakiwa kuwa makin atakpa magonjwa bure maana hatumii kinga ndo maana daily anachomoa. Kimbia fasta Jombaaa huo ni moto wang

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
achana nae hafai huyo! mimba ya babamdogo, yababa mzazi grrrrrrrrr! tafuta mwingine
 
"bado niponipo kwanza" - Mwana FA, kibao hicho kikuburudishe mchana wa leo
 
Tuna miaka miwili tangu tuanze uhusiano,
Mwanzoni tulikuwa wapenzi wa kawaida ila baadaye tulikubaliana kuoana,
hivi karibuni nimemtambulisha kwetu kisha nikaanza maandalizi ya kwenda kwao
Ndipo nilipoanza kusikia maneno mengi kutoka kwa watu wa karibu na familia yao
mara eti huyu binti amewahi kutoa mimba ya babake mdogo,mara anatembea na baba yake!
awali niliyapuuza nikijua ni uzushi ila baadaye niliamua kumbana ili anipe ukweli,
ilichukua mda mrefu ila baadae alikiri kuwa na uhusiano na babake mdogo kijana aliyekuwa akiishi hapo kwao ila kwa sasa alishaondoka,pia alikiri kutoa mimba ya huyo baba mdogo ila anadai ni zamani kabla hatujafahamiana,alikana kutoka na baba mzazi,
Kwa kuwa nampenda naye anaonesha kunipenda nilisamehe ila siku moja wazazi wake walienda kwenye sherehe na kurudi saa 5 usiku mama akiwa amelewa ila baba yake hatumii kilevi,
Tulikuwa tunachart kwa sms na yeye ndiye aliyenifahamisha kila kitu,
Ilipotimu saa 6 usiku alidai anataka kulala hivyo tustop kuchat(ingawa kwa kawaida huwa anapenda tuchart mpaka saa 8)
tuliagana ila baada ya nusu saa niliamua kumpigia cm ili nimkumbushe kitu,
cha ajabu alipokea cm na kuongea kwa ukali huku akinieleza kuwa atanipigia baadae usiku huo!
nilianza kuhisi jambo baya hivyo nilikodi tax na kuelekea mtaa anapoishi,
nilipofika kwao nilienda mpaka kwenye dirisha la chumba chake ili nimgongee,
lakini kabla sijafanya chochote nilisikia sauti za watu wakifanya mapenzi!
nilijaribu kupiga cm yake akawa hapokei
nikaamua kurekodi sauti kupitia dirishani kwake!
mchezo huo ulidumu takriban DK45
ndipo nikapiga tena akapokea ila akawa haongei !
kwa jinsi nilivyompenda nilijipa moyo na kuondoka mpaka pembeni na nyumba yao nikakaa mpaka alfajiri ili nione nani atatoka ndani kwani niliamini aliingiza mtu bila wazazi kujua hivyo lazima atatoka mapema,
Lakn cha ajabu ilipotimu saa 11 alfajiri nikampigia tena cm akapokea nilipomweleza kwamba amenisaliti na kwamba nimeshuhudia nikiwa dirishani alianza kulia na kushindwa kuongea,!
mpaka kunakucha hakuna mwanaume aliyeonekana akitoka nje ndipo nilipoanza kuamini inawezekana alikuwa na baba yake mzazi kwani kipindi hiki hakuna kijana anayeishi hapo,
Kesho yake alikuja kwangu nikampa cm asikirize nilivyorekodi dirishani alisikiliza mwanzo mpaka mwisho akaanza kulia
akasema hakuwa na mwanamme ila alilala peke yake!
Kingine kinachofanya naamini anatoka na mshua wake:-
>yeye ni mtoto wa pili ktk familia ila anapendwa na baba kuliko watoto wote hata kadi za benki anatunza yeye!
>Haelewani na mama yake mzazi kila kitu ananunuliwa na babake!
>nyumbani wako waschana 3 ila wengine wanalala chumba cha pamoja yeye analala peke yake na chumba chake hakina mlango,
>Babake ni shabiki wa mpira mara nyingi akienda bar kuangalia mpira akirudi usiku wa manane humgongea dirisha huyu binti ndo amfungulie geti!
>Japo alikiri kutoa mimba ya babake mdogo inasemekana aliwahi pia kutoa mimba nyigine ya babake mzazi kwani majirani wanadai mimba ya kwanza alitoa akiwa form2 ya pili akiwa form 3 na hii ya mwisho ilijulikana mpaka shuleni na ilifika miezi mitano ila cha ajabu familia ilikuwa kimya!
>Maelewano ya kifamilia baina ya baba na mama yamepungua mpaka mama yake anataka kuondoka!
>watoto wote wanamtetea mama ila binti anamtetea baba na kusema mamake ana tabia mbaya!
Wadau mnaonizidi umri naombeni ushauri wenu,nampenda sana na nimeshajipanga kumwoa hata yeye ananipenda sana kwani alinivumilia nikiwa katika kipindi kigumu kimaisha, Ila katika hili niko njia panda...!

Oa ili akuambukize ugonjwa wa kutoka na binti yako
 
Sasa unasubiri nini mpaka leo kama una ushahidi huo wote? Kupenda gani huku mpaka manakuwa vipofu? Piga chini haraka kweni wanawake wameisha?
 
Mh jamani kuna watu wana mizigo ya dhambi ulimwengu huu! Mungu wape uhai mpaka kufikia kutubu dhambi zao

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Pole sana. Dah yan nmejikuta natetemeka kuandika. Hiyo hali ipo na kuna binti flan wakati nasoma a-level, yeye ilikuwa live na alikuwa akimtukana mamayake na kugombana nae kama mke mwenzie,na kadri siku zilivoenda,akahamia kwenye apartment yake na dady wake ndo alikuwa akilipa. Nasikia kaolewa na ana watoto now.
Back 2topic: ingawa binti anaonekana mapepe,Tumia hekima na busara,Kaa nae umwonye tena,then kama unandugu zake unaelewana nao em ongea nao wakusaidie,then kama unania nae muhame mkoa kabisa,nadhan angalau itasaidia,then after najua utakuwa ushapata njia on how to-mdhibiti yeye.

Hakuna laana mbaya kama kuona ama kuchungulia utupu wa mzazi wako, jaribu kufikiri inakuwaje mbele ya muumba; baba na binti wanapoamua kwa ridhaa yao kuvuana nguo na kuanza kupeana uroda. Huo ni ushetani uliovuka mipaka na naamini hiyo laana haifutiki katika kizazi hicho asilani.

Ndugu yangu kama hayo yamekukuta na umeyashuhudia, naamini hutakuwa na uwezo ama hekima ya kumbadilisha huyo binti kwani ameshajinajisi yeye mwenyewe na familia yake. Unachoweza kufanya kwa sasa mshukuru mungu wako kwa kufunulia jambo hilo mapema na umuombe akufunulie mtu mwingine ambaye mtaweza kujenga maisha yenu kwa amani na utulivu.
 
Bila shaka na wewe ulishawahi kufanya mchezo huu na babaako sio bure. Ni busara gani ulioiona kwenye upuuzi alioandika Swts?

Hivi ktk hali ya kawaida huyo mwanamke akienda kwao hata msibani wewe huku nyuma unabaki na amani kweli? Bila shaka nyinyi wa njia moja, si bure wallah! Kwa hiyo unampenda Swts kwa kuwa unajua ukishabanjuliwa huko anakuhamishia mji mwingine, huko nako ukibanjuliwa anakuhamishia mji mwingine hivyo hivyo mpk mnatokea kuzimu kwa UKIMWI

Great Sinker!! No wonders...ukute we ndo huyo binti. Pole shost ndo maisha. .usiwe mdananda,kudandia magari ya formula one kwa mbele, uwe unasoma vitu unaelewa,hakuna linaloshindikana chin ya jua, hadi kuja kuomba ushauri,pima saikoloj yake uelewe ye anahtaj nin! Siyo kukurupuka hafai. Sisuport direct,after al uamuzi ni wake. Kila mtu anatoa ushauri kwa mtazamo wake,usiwe vumbi fata upepo. Jitahidi kidogo kuwa na maamuz binafsi,otherwise utakuwa mpuuzi zaidi ya ulouona nmeutoa.
 
Last edited by a moderator:
mhn! nina hasira utafikiri nimefanyiwa:yo: mimi piga chini!!!!!!!!!!!
 
unadai umepruv ana dou na ddy wake sasa unataka ushauri wa nn tena,kama kusoma hujui hata picha jamani!!
 
Kama hayo ni ya kweli na unataka kuishi maisha yasiyo na manung'uniko badae huyo mwanamke hakufai maana hilo doa la kutembea na mzazi wake haliwezi kufutika kirahisi. Jitahidi kukaa mbali nae hakufai huyo.
 
Back
Top Bottom