Mchumba wangu anatoka na baba yake mzazi, nifanyeje?

toka na mama yake mzazi
uone kama ujaunganisha familia ikapendeza
 
UTAJIRI HUU UTATUMALIZA!!! Mwashangaaaa nini!!!! Hamjui biashara za kariakooo ndio CATALYST yake hii? Tena ma maza wanakubaligi kabla ya bintiu na Faza hajaanza kuchakachua! (Ndio sharti hilo atiiii! Lazima WIFE ajue na kukubali!) Chezea kuendesha BMW X6 MUJINI!!! Jua kali sana bongo ila KUKU KULA MAYAI YAKE NI NOMAAAA! Hapo familia wanajua kila kitu ila ndo kuvumilia , chezea KIPUPWE cha HAMMER?!!! Wewe kaka sepa unless you are interested in MONEY!!!! (THINGS PEOPLE WILL DO FOR MONEY!!!!!)
 
Swts mi penda wewe una maneno ya busara sana

Bila shaka na wewe ulishawahi kufanya mchezo huu na babaako sio bure. Ni busara gani ulioiona kwenye upuuzi alioandika Swts?

Hivi ktk hali ya kawaida huyo mwanamke akienda kwao hata msibani wewe huku nyuma unabaki na amani kweli? Bila shaka nyinyi wa njia moja, si bure wallah! Kwa hiyo unampenda Swts kwa kuwa unajua ukishabanjuliwa huko anakuhamishia mji mwingine, huko nako ukibanjuliwa anakuhamishia mji mwingine hivyo hivyo mpk mnatokea kuzimu kwa UKIMWI
 
Last edited by a moderator:
Mungu ana makusudi yake kukufanya ujue UCHAFU huo.ni juu yako sasa kuishi katika uchafu huo ama kuukimbia. Mmekuwa mkiishi ktk zinaa(ambayo ni chukizo kwa Mungu) lakini bado Mungu amekuonesha wema wake. Usipo tubu na kimbia tena bila kutizama nyuma basi LAANA YA MUNGU unaikaribisha wewe mwenyewe! Usidanganywe na kujiliza kwake,hayo ni mapepo yanayojiliza ili usiyaache jehanam. Yanapenda muwe wote jehanam!
 
Amekusaliti wakati mkiwa wachumba; ni kosa ambalo linafaa kuvunja uchumba kabisa IMO
Mbaya zaidi anatembea na baba yake mzazi, sidhani kama anaweza pata shida kutembea na mtoto wake wa kiume.

Huwezi kumzuia kwenda kwao na wala huwezi mzuia baba yake kuwavisit pindi mko pamoja, hivyo hiyo laana itaendelea endelea na kuendelea.

Maisha yako chaguo ni lako.
 
Kwani haujafikiria kuwa bado ataendelea kulala na baba zake akiwa mkeo? Huyu baba mdogo awajaacha ni kahama tu.

Jamani hii inafunza kuwa tusidharau maneno yanayosemwa kujifanya tunajua. Sasa wewe unabahati umeambiwa na sababu ya msaada ndo unataka kumuoa achana nae utakoma ndoani mwako. Maana atakuambia si unajua kabla hujanioa kuwa nalala nao... Utafanyaje hapo?

Ni tendo la aibu muache aendelee kulala na baba zake, songa mbele.

Ila wewe mwisho bado analala nae sio kwamba imetokea zamani na wewe bado unataka kuwemo. Duh!!!!
 
Hapo hakuna dem, yan ametembea na baba yke mdogo pia anatembea na mshua wke nakuhakikishia ukimuoa atatembea na baba yko cz inaonekana ni tabia yake, achana naye shetan kabsa..!
 
mmmh,mapenzi gani hayo umelogwa?na kama upo obsess na huyo binti,umechati nae,mara umesahau kitu,umempigia simu,eeeh siku hiyo hiyo ukamfata,halafu mara ukakesha usiku kucha kumsubiri nje,na mbu walikung'ata.na yooote hayo etiunampenda.mmmh.pole wee,na dushelee lako linasimama kabisa ukiwa na huyo binti
 
UTAJIRI HUU UTATUMALIZA!!! Mwashangaaaa nini!!!! Hamjui biashara za kariakooo ndio CATALYST yake hii? Tena ma maza wanakubaligi kabla ya bintiu na Faza hajaanza kuchakachua! (Ndio sharti hilo atiiii! Lazima WIFE ajue na kukubali!) Chezea kuendesha BMW X6 MUJINI!!! Jua kali sana bongo ila KUKU KULA MAYAI YAKE NI NOMAAAA! Hapo familia wanajua kila kitu ila ndo kuvumilia , chezea KIPUPWE cha HAMMER?!!! Wewe kaka sepa unless you are interested in MONEY!!!! (THINGS PEOPLE WILL DO FOR MONEY!!!!!)

Duh.. Sijui familia yako itakuwa ya aina gani. Mtu mzima una mentality za ovyo hivi.
 
ww jamaa utakuwa inlove mbaya na najua hutaki kumuacha,ila kwa vile kazini nje ingekuwa ni mimi ningemuacha
 
Hii story naona kama ni ya kucopy and paste angalia hizo sign mstari wa 3-9 toka chini.............siku njema


Halafu ni ya uwongo kabisa!. Mwishoni anasema kuwa binti ndiye anayefungua Geti siku dingi akirudi kutoka kutazama mpira. Yeye usiku huo alipoenda kumrekodi Binti ni nani alimfungulia Geti? Kumbuka kuwa mama kalewa, hajiwezi na Dingi wakati huo anadoo na binti. Nani alimfungulia Geti?
 
Una umri wa miaka mingapi? Maana umesema wanaokuzidi ndo wakushauri sema km tunakuzid tukushauri
 
Baada ya kushuhudia hili tukio,

Sijui kama unaweza kujiuliza tena kama uendelee naye au la?

Ni dhahiri kuwa unatakiwa kufikia mwisho wa uhusiano haraka.
 
Hilo ni laana kama kula nyama ya mtu. Ni lazima ataendelea na huo mchezo hata akiwa kwenye ndoa. Achana nae na umtoe kwenye akili yako kabisa.
 
Back
Top Bottom