Mchumba wangu anatoka na baba yake mzazi, nifanyeje?

Mleta mada unataka ushauri gani hapa? Huyo ni laana kabisa!! Vitabu vya dini kwa upande wa kikristo umeweka wazi kuwa ole wake auonaye u-c-h-i wa mzazi wake wa kumzaa na kufanya naye ngono ni laana hadi kizazi cha nne. Huyu akiolewa atatembea hadi na wanawe, house boy, dereva, mashemeji, majirani, baba mkwe, n.k. Is this a wife or what? Hata changudoa ana heshima kuliko huyu. Huhitaji kupoteza muda!!! I can imagine having love affair with my daughter/son? Lord have mercy!!!
 
Mwalimu mbona hatukuoni kwenye besdei?..au umepata evening class?
Halaf mkisemaga marinda nakumbukiaga suruwali zangu za miaka hiyo..
bwana weee kiranja mkuu kadai kipindi kiandaliwe muda si mrefu sasa tena si unajua hawa ndo wanaulizwagwa na wakaguzi siku wakija shule kukagua kama walimu wanahudhuria darasani imebidi niwe mpole tu ila asipoangalia namtwanga bora la home work hata kabla kipindi hakijachanganya!mi huyo besdeini!
 
Siongezi neno nitaharibu bure.......................

Who cares?

Maoni ya GTs yanatokana na kilichoandikwa na wala si ukweli wake. Iwe kweli au uongo lkn umeweza uona ni nini watu wanafikiri juu ya jambo kama hilo.

Lah kama umekereka kwa kuwa na wewe uliwahi kufanya mchezo huu, basi utusamehe. Na kama nia ni kutafuta sifa kwamba wewe ndio detective namba moja hapa, njoo kesho nitakusifia.

Ni maoni tuu.
 
In this life there are things that are difficult to explain, mi kuna mpenzi wangu anatoka na shemeji yake, i.e mchumba wa mdogo wake wa kumfuata. This things some time happen.
 
njoo leaders club tar 6 ujiliwaze umuone rick ross kwenye fiesta,the heavy weight mc
 
Back
Top Bottom