Coza Mhando
Senior Member
- Dec 14, 2010
- 194
- 7
- Thread starter
- #41
hapa mi napita tu!sijasoma kitu kabisa hapa,kwaherini ya kuonana
lazima iwe hivyo,
kamila ketu katam bana!,
wanakaonea donge eeh?
hapa mi napita tu!sijasoma kitu kabisa hapa,kwaherini ya kuonana
harufu ya ban inasikika kwa mbaali, punguza jwaziba mtafuta mchumba, sasa wachumba si watakimbia kamaradi
sasa utaoa wawili au hako kabinti kengine inakuaje unazini tuu alafu wakiachaa???nazungumzia hicho kiburudisho jamani????but inshallah kheyr i wish u all dah best my boy,,,,,,,,,:A S crown-1:
Sasa hapo kinachokushtua nini?kwa mujibu wa maelezo yako unapewa,hakuna rape case hapo we kamilisha tu hiyo mila. Nadoubt kama kuna kitu kama hicho nway.
Jf bana
Kisaikolojia unaposoma post ya mtu unaweza kupata at least picha na uelewa wa mtu yukoje, mfano akina MS, Mzee mwanakijiji, PakaJimmy n.k Kwa jinsi ulivyopresent hiyo thread yako inaonekana unahitaji darasa kidogo. Huwezi kuwa umewasiliana na mwanamke kama mara sita hivi kisha mkakubaliana eti muoane, ni jambo la ajabu na hapo ndipo ninapotilia mashaka uzoefu wako katika mahusiano.
Pia kushindwa kumuuliza mchumba wako jambo dogo kama hilo ni kitu cha kushangaza pia. Halafu hivi kwa mtu aliyeenda shule hata kama ni STD7 la ukweli ni lazima litakuwa limemkomboa kidogo hawezi kufanya mambo ambayo ni kama zilipendwa!!!!
Mwisho acha ubabaishaji katika masuala ambayo yatakugharimu karibu nusu ya maisha yako, mf ukioa/kiuolewa ukiwa na miaka 25-35 elewa kama Mungu amekujalia ukaishi miaka 45 -60 utaishi na mke/mme ambaye hukuwa naye lakini mmeridhiana kuishi pamoja hivyo ni budi awe mtu ambaye hatakukera na kuwa chanzo cha mfarakano. Shirikisha akili yako mpaka mwisho ili ikitokea ujue ni bahati mbaya. Uzembe una gharama lakini gharama ya uzembe mwingine unaauma zaidi!!!!!!!
NI MTAZAMO TU.
ina visa, mikasa, vituko, vihoja....lol!
Wana JF mpo?
Nashindwa nifanye kipi niache kipi?
Yule mchumba ninayetaka kumuoa amenipa kali ya mwaka,
amenitembelea leo jioni,tukapiga story kwa cna tu,ila akataka kujua kitu kimoja kama nimetahiri au la.
Nikamjibu nimetahiri lakini yeye anataka nimuonyeshe kama kweli,mimi nikamwambia tukishaoana ndio atathibitisha,lakin amegoma anataka aone ,
sasa nifanyeje ndugu zangu?
kwani problem ni nini? wewe muonyeshe hiyo kitu
kisha muombe na yeye akuonyeshe kitu yake
Dah,ishu ya kumuonyesha bana......,?
Aah!
Haya mambo ya kuoneshana bado yapo kumbe hata karne hii? Nakumbuka zamani hizo ulikuwa ukimuendea mdada mkikubaliana anataka aone kwanza usipoonesha ajipimie basi umekosa.
Sasa kama wewe upo flesh na umempenda muoneshe tu kwani hatoichukua .
kaka fungua zipu....shusha chupi....toa mzigo.
kwani akiona ataondoka nayo?
sasa na mimi naingiwa na wasiwasi na wewe......kibamia nini?
aah aah aah aah!,wewe eti kibamia,co bana, ni rungu kabisa lenyewe..
sasa tatizo nini kumuonesha?
tena ukimuonesha sisitiza ashikilie kwa ka dakika 3 hivi majibu baada ya hapo niletee
kaka fungua zipu....shusha chupi....toa mzigo.
kwani akiona ataondoka nayo?
sasa na mimi naingiwa na wasiwasi na wewe......kibamia nini?
aah aah aah aah!,wewe eti kibamia,co bana, ni rungu kabisa lenyewe..
virungu vingine vinatosha kwenye key holders! l.o.l