Mchumba nimempata lakini...............!!!????

Haya mambo ya kuoneshana bado yapo kumbe hata karne hii? Nakumbuka zamani hizo ulikuwa ukimuendea mdada mkikubaliana anataka aone kwanza usipoonesha ajipimie basi umekosa.

Sasa kama wewe upo flesh na umempenda muoneshe tu kwani hatoichukua .
 
nini six days bana, one day inatosha tena kupitia kwenye simu.
hutaki kuamini!? muulize wakuchakachua atakupa stori yake
au nenda hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/101060-nimepata-jamani.html


Kisaikolojia unaposoma post ya mtu unaweza kupata at least picha na uelewa wa mtu yukoje, mfano akina MS, Mzee mwanakijiji, PakaJimmy n.k Kwa jinsi ulivyopresent hiyo thread yako inaonekana unahitaji darasa kidogo. Huwezi kuwa umewasiliana na mwanamke kama mara sita hivi kisha mkakubaliana eti muoane, ni jambo la ajabu na hapo ndipo ninapotilia mashaka uzoefu wako katika mahusiano.
Pia kushindwa kumuuliza mchumba wako jambo dogo kama hilo ni kitu cha kushangaza pia. Halafu hivi kwa mtu aliyeenda shule hata kama ni STD7 la ukweli ni lazima litakuwa limemkomboa kidogo hawezi kufanya mambo ambayo ni kama zilipendwa!!!!
Mwisho acha ubabaishaji katika masuala ambayo yatakugharimu karibu nusu ya maisha yako, mf ukioa/kiuolewa ukiwa na miaka 25-35 elewa kama Mungu amekujalia ukaishi miaka 45 -60 utaishi na mke/mme ambaye hukuwa naye lakini mmeridhiana kuishi pamoja hivyo ni budi awe mtu ambaye hatakukera na kuwa chanzo cha mfarakano. Shirikisha akili yako mpaka mwisho ili ikitokea ujue ni bahati mbaya. Uzembe una gharama lakini gharama ya uzembe mwingine unaauma zaidi!!!!!!!
NI MTAZAMO TU.
 
kwani problem ni nini? wewe muonyeshe hiyo kitu
kisha muombe na yeye akuonyeshe kitu yake

Wana JF mpo?
Nashindwa nifanye kipi niache kipi?
Yule mchumba ninayetaka kumuoa amenipa kali ya mwaka,
amenitembelea leo jioni,tukapiga story kwa cna tu,ila akataka kujua kitu kimoja kama nimetahiri au la.
Nikamjibu nimetahiri lakini yeye anataka nimuonyeshe kama kweli,mimi nikamwambia tukishaoana ndio atathibitisha,lakin amegoma anataka aone ,
sasa nifanyeje ndugu zangu?
 
Haya mambo ya kuoneshana bado yapo kumbe hata karne hii? Nakumbuka zamani hizo ulikuwa ukimuendea mdada mkikubaliana anataka aone kwanza usipoonesha ajipimie basi umekosa.

Sasa kama wewe upo flesh na umempenda muoneshe tu kwani hatoichukua .

mi niko flesh bana,ishu ya kumuonyesha ni ndogo tu,
ila ananipa maswal mengi cna,co pasua kichwa huyu??
 
kaka fungua zipu....shusha chupi....toa mzigo.
kwani akiona ataondoka nayo?
sasa na mimi naingiwa na wasiwasi na wewe......kibamia nini?

aah aah aah aah!,wewe eti kibamia,co bana, ni rungu kabisa lenyewe..
 
kaka fungua zipu....shusha chupi....toa mzigo.
kwani akiona ataondoka nayo?
sasa na mimi naingiwa na wasiwasi na wewe......kibamia nini?

aah aah aah aah!,wewe eti kibamia,co bana, ni rungu kabisa lenyewe..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom