TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,765
- 4,033
Ni PM nikusaidie!Wataalamu wa business plan nawatafuta (kampuni)
Nimeshaiandika nataka tu wataalamu wa kuihakiki na kuifanyia marekebisho kidogo msaaada kwa wenye kujua wanijulishe
Ni PM nikusaidie!Wataalamu wa business plan nawatafuta (kampuni)
Nimeshaiandika nataka tu wataalamu wa kuihakiki na kuifanyia marekebisho kidogo msaaada kwa wenye kujua wanijulishe
Wataalamu wa business plan nawatafuta (kampuni)
Nimeshaiandika nataka tu wataalamu wa kuihakiki na kuifanyia marekebisho kidogo msaaada kwa wenye kujua wanijulishe
chaji ni asilimia moja tu ya mkopoBei nafuu ni kiasi gani?
Range ni 20,000 to 300,000, inategemea na aina ya business.
chaji ni asilimia moja tu ya mkopo
project proposal ni asilimia 0.5,article of association na memorandum huwa siandikiwt about project proposals????? articles of association and memorandum??
Mimi nimebobea kwenye uandishi wa Business Plan lakini hata bado nikiwa bado najifunza sijawahi kuandika business plan kwa kati ya 20,000 na laki mbili. Serious business plan lazima iendane na feasibility study hata kama unazotemplates za kutosha. lazima ujiridhishe unachooandika kinaendana na reality on the ground so nadoubt kubwa sana na the so called Proffessional Business Plan kwa kati ya 20,000 na laki mbili