Kwa wanafahamu kuandaa Mchanganuo wa biashara (business plan ) na wenhe business sample Mtusaidie hapa

Mayor Slum

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
751
1,121
Kwa wale tulio soma somo la ujasiriamali chuoni nadhani wengi mnafahamu jinsi ujasiriamali unafundiahwa chuo yaani hakuna vitendo

Awali ya yote nilikuwa naomba watu wenye ufahamu wa kuandaa business plan (Mchanganuo wa biashara ) mnisaidie mm nauwasaidie wengi ,kuhusu kuandaa business plan ( mkitoa na business sample itasaidia zaidi)

Kati harakati zangu nyingi za ujasiriamali nimekuwa nakutana na taasisi nyingi zinazotoa ruzuku grant (fund) lakini changamoto ya kuandaa business plan imekuwa kubwa sana kwangu ambayo inachangia mm kukosa grant .hapo kuwa naweza kuandaa kidogo ila mimi nashindwa kuwa mtaalamu .

Nilikuwa naomba wale wanaofahamu kuhusu kuandaa (Mchanganuo wa biashara) Business plan watupatie. Business plan sample hapa

Kazi nikubwa sana kuandaa financial plan ,balance sheets , cashflows table personal tables

Je nitumie njia gani kuandaa business plan kwa urahisi na kwa ufasaha zaidi.

Naomba msaada mtusaidie katika harakati za ujasiriamali wadogo zenu kwa wale mlofanyikiwa huku mambo ya business plan .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuandaa hiyo kitu ni taaluma ni sawa na mtaalamu wa kuchora ramani za majengo ambavyo anatumia ujuzi wake.Kama ulishawahi kufanya dissertation kwenye masuala ya fedha haitakusumbua sana.Inaweza kuwa na kurasa 50 hata zaidi kutokana na aina ya biashara.Kwa ushauri,tembelea wataalamu uwalipe wakutengenezee hiyo plan.
 
Back
Top Bottom