Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Ninaandika michanganuo ya biashara(business plan),pamoja na michanganuo ya miradi(project proposal),kwa gharama nafuu sana pia natoa na ushauri wa ziada,walengwa ni wafanyabiashara wote,unaweza ku ni pm au tumia simu 0753584428,hii ni kwa wale wanaotaka kukopa kwaajili ya kukuza biashara au kwa wale wanaobuni miradi inayohitaji ufadhiri(grants)
 
Wataalamu wa business plan nawatafuta (kampuni)
Nimeshaiandika nataka tu wataalamu wa kuihakiki na kuifanyia marekebisho kidogo msaaada kwa wenye kujua wanijulishe

Take care wengine watatumia nafasi hiyo kuchukua IDEA yako na kuuza kwingine.
 
itume kwa email niliyo ku pm then ntakurekebishia free of charge pia kuna ushauri wa ziada ambao utanilipa pesa kiduchu,namba yangu ni 0753584428
 
Range ni 20,000 to 300,000, inategemea na aina ya business, majadiliano yapo. kama huna hela nipigie tuongee zaidi.
 
Mimi nimebobea kwenye uandishi wa Business Plan lakini hata bado nikiwa bado najifunza sijawahi kuandika business plan kwa kati ya 20,000 na laki mbili. Serious business plan lazima iendane na feasibility study hata kama unazotemplates za kutosha. lazima ujiridhishe unachooandika kinaendana na reality on the ground so nadoubt kubwa sana na the so called Proffessional Business Plan kwa kati ya 20,000 na laki mbili
 
aksante kwa kutuokoa. Mimi nilikuwa nataka business kama ya flour milling industry size ya kati. Inaweza range kama ngapi nisaidie kujua ili walau nipate nguvu ya kukutafuta pili business iko Nje ya mipaka yetu ya nchi. For a continuing business ili iweze kuexpand
 
Back
Top Bottom