Nitafute Nikufungulie Biashara

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,504
5,539
Habari za wakati huu,

Najua andiko langu linaweza kuwa na utata na kwa wale wanaopenda vya bure wakafikri sasa wamepata cha bure na kwa wale ambao huamini wakiitiwa fursa basi wao ni fursa wakajikuta wana sita kuitikia mwaliko.Hata hivyo kwa hili niko serious.Nimekualika nikufungulie biashara popote pale ulipo.Mimi na wewe tutakuwa wamiliki wa biashara hio au wewe mwenyewe unaweza kuamua kuwa mmiliki wa biashara hiyo Ili nikikufungulia haitakuwa ya kwangu peke yangu itakuwa ama yetu sisi sote au yako wewe mwenyewe.

Kwa nini nataka nikufungulie biashara?Zipo sababu nyingi lakini kubwa ni kwa sababu nataka na nina uwezo wa kufanya hivyo.Je nitakufungulie biashara hii bure?BURE itategemea na uwezo wako.Lakini jiulize kwa nini nikufungulie biashara bure ina maana mimi sizitaki hizo pesa mpaka nikufungulie wewe biashara BURE?Well nitakufungulia biashara BURE kwa kutegemea na uwezo wako.Kwanza itategemea na uwezo wako wa kuielewa biashara husika na kuiendesha.Pili itategemea na mtazamo wako kuhusu biashara husika.Tatu itategemea na uwezo na uhitaji wako.Vyovyote vile nitakufungulia biashara hii BURE kwa kutegemea uwezo.Ukiwa na uwezo mkubwa basi nitakufungulia BURE ukiwa na uwezo mdogo pia naweza kukufungulia BURE ila tutakuwa wamiliki wote.Nikupe angalizo tu kwamba hata nikikufungulie BURE bado utanilipa tu kwa sababu mimi binafsi siamini katika vitu vya BURE.So unapotaka kuifuatilia hii fursa hakikisha una UWEZO

Je unataka nikufungulie biashara?Usiogope wewe chukua hatua Mapema na unitafute.Usijali kuhusu mtaji wako,elimu yako,kazi yako,muda wako jinsia yako au hata kabila na dini yako bali Hakikisha kwamba ndani ya MOYO wako unataka kufungua Biashara.Kama jibu ni Ndio basi chukua hatua.

Sitaweza kumfungulia biashara kila mtu lakini nitajitahidi kwamba kila atakayetaka kufungua biashara anafungua biashara hata kama sitamfungulia hio biashara BURE.Siwezi kukufungulia kila aina ya biashara kwani sio kila biashara niko na interest nayo na pia sio kila biashara inafit lengo la mimi kutaka kukufungulia biashara kwani kuna baadhi ya biashara hazitakuwa n aimpact ambayo nimeilenga.So utahitajika uwe tayari kujifunza mambo mapya na kufanya mambo kwa nia tofauti na ulivo zoea.Hata hivyo haimaanishi kwamba sitakufungulia aina ya biashara ambayo unaipenda,nitajitahidi ili niweze kukufungulia biashara inayoendana na interests zako.

Sasa nikueleza hatu za kufuata ili niweza kukufungulia biashara yako.Hii itakuwa ni biashara yako na utawajibika katika kuhakikisha kuwa inakupa faida.Ili nikufungulie biashara hio ni lazima ufanye yafuatayo:

  1. Kwanza ni lazima utume maombi ya kufuguliwa biashara yako kwenda masokotz@yahoo.com ukielezea aina ya biashara unayotaka kufungua na sehemu unakotaka kufungua na key features.Biashara yako iwe scalable na inayotumia teknolojia fulani na ubunifu/upekee fulani.
  2. Biashara yako lazima uwe na uwezo wa kuisimamia na kuiendesha
  3. Biashara yako lazima iwe na uwezo wa kuzalisha ajira,kuhifadhi mazingira na kubadili jamii yako
  4. Biashara yako lazima iwe katika eneo unaloishi na rasilimali na soko liwe katika eneo unaloishi
  5. Biashara yako lazima iwe na uwezo wa kuzalisha faida ya kutosha kujiendesha na kukua
  6. Biashara yako lazima iwe mpya yaani hujaanza kuifanya na kama umeshaanza basi isiwe na zaidi ya miezi sita.
Kama biashara yako ikikidhi vigezo utapatiwa taarifa juu ya vigezo na mahitaji mengine kwa kutegemea aina ya biashara,mahali ulipo,uwezo wako na fursa zilizopo.USIOGOPE hili sio shindani la ujasiriamali na hivyo sio kwamba tutachuja wazo bora bali tutaangalia rasiliamali zilizopo na namna ambavyo zitaweza kutumika na kuwa na impact kubwa so USIOGOPE.

Iwapo unaamini kwamba uko tayari kufunguliwa biashara basi tuma email yenye maelezo ya msingi kwenda kwa email:masokotz@yahoo.com.Kumbuka mradi huu umedhaminiwa wan wadau mbalimbali na maamuzi ya mwisho yatafanywa na wadhamini wa mradi huu.

Kuhusu SISI

uhusu SISI

Masoko Consulting ni Strategic Consulting Firm (Washauri waelekezi wa Kimkakati) ambao tunatumia mbinu za kisasa na utaalam wa kisasa katika kuwasaidia wateja wetu kutambua fursa na kuzitumia kwa ajili ya kukuza biashara zao na kukuza faida.Lengo letu ni kuwasaidi wafanyabiasha wadogo na wakati kubadilisha na kuboresha mfumo wa uendeshaji na usimamizi wa biashara zao ili ziendane na dunia ya kisasa kwa kuwawezesha kufikia zana za kisasa,utaalamu wa kisasa na teknolojia katika kuendesha biashara zao.

Sisi tunatoa huduma ya usajili wa Majina ya biashara,kampuni,leseni,TIN number NGOs,Taasisi za Kijamii,SACCOS,Taasisi za KIDINI,Taasisi za ELIMU,Viwanda,UWEKEZAJI na pia tunatoa ushauri juu ya namna bora ya kuendesha biashara yako.Unaweza kupata huduma hizo kwa gharama nafuu.Baadhi ya huduma hizo ni pamoja na:
  1. Kwanza tutakushauri kuhusu muundo wa biashara yako faida na hasara pamoja fursa mbalimbali
  2. Pili tutakufanyia utafiti na ushauri wa Jina la Biashara yako kwa kuzingatia vigezo vya SOKO
  3. Tutakufanyia Taratibu zote za usajili kuanzia Uandaaji wa Nyaraka Mpaka Kukamilika kwa Usajili Kampuni,TRA,Mashine za EFD,Vibali vya TBS pamoja na leseni
  4. Tutakuandikia Company Profile ya Kisasa kwa Lugha ya Kiingereza na Kiswahili
  5. Kama unahitaji mkopo kutoka katika taasisi za fedha tutakusaidia kufanya mchakato kwa kuzingatia mahitaji yako na vigezo vya taasisi husika.
  6. Tutakutengenezea Website ya kisasa kwa ajili ya Biashara na huduma zako.
  7. Tutakutengenezea, Logo, Business Card,Letter Head pamoja na Nyaraka nyingine za Kibiashara
  8. Tutakupatia Mfumo wa Kutunza kumbukumbu kwa njia ya Mtandao au kwenye Computer yako kwa ajili ya kusimamia Biashara yako
  9. Tutakufanyia Initial Marketing kwa Wateja wako (Inategemea aina ya biashara )wa Mwanzo ili kuwa na customer base ya kuanzia
  10. Pia tutakusaidia Mchakato wa Kufungua Bank Account kwa kutumia jina la Biashara yako (Deposit Ya Kwako)
  11. Tutakuwa nawe katika mchakato mzima wa kuendesha biashara yako mpaka itakapokuwa stable na wewe kupata uzoefu wa kutosha katika biashara yako.

Huduma hizi zinapatikana kwa pamoja au kwa moja moja na mfumo wetu wa malipo ni nafuu na unazingatia matokea katika kila hatua.Kama unahitaji huduma zetu wasiliana nasi kwa email:masokotz@yahoo.com au kwa simu +255710323060.

Karibu sana
 
Back
Top Bottom