Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

jamani wadau naomba mnisaidie jinsi ya kuandika BUSINESS PLAN.... MCHANGANUO WA BIASHARA.....
 
Naomba ufafanuzi, je unataka uelimishwe ili ujiandikie ama unataka mtu akuandikie? Kama unataka ujiandikie ni vema ila najua siyo document rahisi. Inategemea na wapi unaipeleka. Wasiliana nami faoincredible@yahoo.com
 
Unataka kufanya business ya aina gani? Ok nitafute nitakusaidia no. yangu ni 0714099916
 
kazi gani hiyo ... au ni ile thread ya kipuuzi uliyopost ukiandika kwamba una-support Dr. Ulimboka kutekwa na kuteswa .... wewe si mtu mzuri

mpotezeeni huyu

umempa za uso huyo jamaa amenikera sana
 
Nipigie nina uzoefu nimeshaandaa michanganuo aina mbali mbali nikawawezesha wajasiriamali kupata mikopo ya sh. milioni 400 simu yangu ni 0755394701 blog yangu ni hii;Mshauri wa biashara
 
Kama anaweza ku-support ukatili, huyu si mtu mzuri kabisa. Na wala msipoteze muda wenu kumtafuta. Watu wenye calibre hii huwa sio reliable kwenye mambo ya biashara pia.

kazi gani hiyo ... au ni ile thread ya kipuuzi uliyopost ukiandika kwamba una-support Dr. Ulimboka kutekwa na kuteswa .... wewe si mtu mzuri

mpotezeeni huyu
 
usifikiri kuwa daktari ni kuelekezwa tuu
kuandika business plan hizo proffesn work kuwa watu wake
 
Ukome kuropoka ropoka ulijua watu hawana kumbukumbu vile,google uchukue sample za kidhungu hapa umekalia kuti kavu
 
Nina software flan (pirated) inaitwa PaloAlto Business Plan Pro, ni nzuri sana hasa kwa wasio na uzoefu, anaetaka aniPM nione namtumiaje
 
palo alto ni mwisho wa matatizo,kuandika biz proposal sio swala la kusomea,ni ujanja tu wa wengine kutengeneza pesa hapa mjini,itafute inapatikana kwenye torrent clients utaipata....alafu upeleke kwa mtaalamu afanye proof reading kama unaenda kuombea mkopo,ila kuwa makini sana,wengi wanachakachua wanaenda kujiombea wao.kila la kheri
 
umempa za uso huyo jamaa amenikera sana

Nyie wote ni wapuuzi na kwasababu mna vijipesa vyenu vya kujitibu katika private hospitals basi hamjali watanzania wengine milioni 40. Siungi mkono mgomo unaouwa watanzania ndio maana nasema wote walionyuma ya mgomo washughulikiwe vizuri. Serikali lazima iwe na meno bana.
 
Acha kuita watu wapuuzi wewe!
 
au download Bussines in a Box, pia iko bomba kw kaz hiyo na ina document zaid ya mia moja za ukweli na inatumiwa na ofis nyng tz! Search google new vision..
 
Back
Top Bottom