Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Emma Lukosi, Sep 18, 2010.

 1. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #1
  Sep 18, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani wana jamvi wezangu naombeni mawazo yenu. Tuko vijana wawili tunataka kuanzisha kiji kiwanda cha kukamua mafuta ya alizet mkoani Dodoma. Tulipo fikia ni kwamba tunajua bei za machine ambazo zinaitajika pamoja na bei zake. je kuna mtu ana some experiance juu ya maswala haya ili tuweze kujuzana na tupate mwangaza.
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,204
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Kwanza sahihisha hapo pekundu. Sema tunataka kuanzisha kiwanda. Pili hongereni sana kwa kujua kuwa mnaweza kuanzisha kiwanda. Tatu,nawashauri tafuteni nauli kidogo halafu mwende pale Singida mjini mtaa wa SIDO,ili mkajionee viwanda vilivyopo pale, pale mtaona aina nyingi sana za mashine na mtajifunza kwa kuuliza na kuona. Kuna viwanda vingi sana pale ni vema mkajifunza kupitia vitendo zaidi kuliko nadharia.

  Ikibidi mfanye kazi kama vibarua hata kwa mwezi ili mjue siri zaidi za operation. Huu ni mtizamo wangu.
   
 3. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tulifika SIDO Dar es salaam, wakatushuri, wakatupa pamoja na bei za machines. pia waliyupa ushauri unaotaka kufanana na wakwako ila wao walituambia twende Morogoro pia kuna viwanda vingi around SIDO. BTW ahsante kwa ushuri.
   
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,204
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Usifanye ajizi,fanyia kazi uamuzi wako. Muda wako ndio huu,na kesho huijui. Halafu usidhani mwenye wazo hili uko peke yako,wako wengi. Tofauti ni action plan na time frame zetu, vinginevyo nikutakie mafanikio.
   
 5. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,144
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mkuu hongera, mimi niko kwenye biashara ya alizeti tayari. Je unataka business plan ili ukope au ni kwa ajiri ya upembuzi yakinifu ktk kutaka kujiridhisha na kuona kuwa biashara inalipa?

  Nakushauri usome website hii: www.entrepreneurmag.co.za

  Watakusaidia sana katika kuandaa huo mchanganuo na vitu vingine vingi
   
 6. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #6
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu Nashukuru sana kwa msaada wako hasa katika link ambayo umenipatia.
  Hata mimi niko kwenye biashara ya mafuta ya alizeti, lakini ni kwa level ya uuzaji wa rejareja. tumekua tukichukua mafuta viwandani Dodoma kwa jumla kuanzia dumu 50 na kuyapaki upya kwenye vyombo vya lita moja na lita tano na kuyauza hapa mjini Dar. lakini kila tukienda kuchukua mafuta nimekua nikitamani sana ku grow katika hii industry hata nikafikia hatua ya kumiliki kiwanda na kuanza kukamua mwenyewe kwani kule viwndani bei zao haziko stable. Elimu yangu ni kidato cha sita sina uzoefu sana katika kuandaa na kuandika mchanganuo ndo maana nimejitokeza ili niweze kupata mwanga kwa ambao mna uzoefu juu ya maswala kama hayo. ili nijiandae kutafuta source of funds. -Ahsanteni
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 6,992
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mkuu nakupongeza sana nami niko njiani kuanzisha kitu kama hicho, elimu yako ni kubwa sana kwa ujasiri ulionao don't let down yourself.
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,200
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  sina ushauri hapa imma wish u all the best.
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,223
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  namshauri IMMA amtafute WOS hata kwa PM atampa clues ya anachokitaka
   
 10. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #10
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Samahani sijakupata Hapo Who is WOS?
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,200
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Kuna dada mmoja hapa JF anaitwa WOS..( women of substance)
   
 12. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,609
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Na mimi nakutakia mafanikio.
   
 13. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mimi niko interested sana na hii business, probably tunaweza kuunganisha mawazo. Nitumie PM ili tupange utakapokuja Dar tuonane.
   
 14. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  The website is sooooo good, thank you for sharing.
   
 15. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #15
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ambassador Unakaribishwa,
   
 16. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,819
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  WOS ni mtaalamu wa michanganuo?
   
 17. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #17
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbona simpati
   
 18. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,743
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  naomba mwenye business plan yoyote naomba anisaidie..nataka kuangalia sample.niko naandaa ya kwangu lakini nimwekwama sehemu..

  please inbox me..:A S-alert1:
   
 19. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,235
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tafuta hii software Palo Alto Business Plan. Hii software ni the mother of all softwares when it comes to business plan everything SWOT analysis break even na kuna samples za plan za indrustries zote ambazo you can update it kwenye net..., nilikuwa nayo kipindi fulani ingawa inauzwa ila am sure kuna pirated copies..., try ask invisible au uliza mtu ambaye anayo... hii ni website for more info au google for Palo Alto Business Software Business Plan Software and Marketing Plan Software — Palo Alto Software
   
 20. P

  Paul S.S Verified User

  #20
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,841
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mkuu kama unaharaka nayo google tu, andika "business plan samples" utazipata za kumwaga
  Au check na link uliyopewa hapo juu
   
Loading...