Nakutakie ahueni upone haraka. Daima mtangulize Mungu kwa kila hatua, tubu kama na wewe ulienda kwa waganga wa jadi kipindi cha uchaguzi, bila hivyo shetani atakuchezea kama mpira.
Namuombea sana apone na Mungu amsaidie. Tatizo langu ni kwa nini viongozi wetu watibiwe nje woooote kiasi cha kuona wao hawastahili kutibiwa ndani ya nchi? Tufunge hospitali zetu zote ili tutengeneze utaratibu wa watz kutibiwa India maana wote tunastahili kilicho bora. Hii ni dalili dhahiri kuwa viongozi sasa wako mbali na wanaowaongoza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.