Mbunge Sumari azidiwa, anapelekwa India leo

Mungu akujaile uzima, ukirud salama inshaalah ujitahid uachie ngaz mzee wangu ili upate muda wa kupumzika na kuacha mambo ya siasa.
 
Nakutakie ahueni upone haraka. Daima mtangulize Mungu kwa kila hatua, tubu kama na wewe ulienda kwa waganga wa jadi kipindi cha uchaguzi, bila hivyo shetani atakuchezea kama mpira.
 
Namuombea sana apone na Mungu amsaidie. Tatizo langu ni kwa nini viongozi wetu watibiwe nje woooote kiasi cha kuona wao hawastahili kutibiwa ndani ya nchi? Tufunge hospitali zetu zote ili tutengeneze utaratibu wa watz kutibiwa India maana wote tunastahili kilicho bora. Hii ni dalili dhahiri kuwa viongozi sasa wako mbali na wanaowaongoza
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom