Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake

Pole sana Selesini uugue pole hiki kitakuwa ni kipindi kigumu sana kwako kama utakuwa umepoteza watu wote hao muhimu katika maisha yako hatari kweli kweli
 
- Great Mungu ni mkubwa sana amepona maana ameweka ujumbe kule Facebook, hope Viongozi wengine wataiga mfano wa communication anapunguza majungu na maneno maneno, ndio maana ni muhimu sana viongozi wetu wakawa kwenye Facebook na twitter, I mean wote tunakuwa na habari ile ile hakuna nafasi ya majungu!

- Mkuu wangu Selasini, saafi sana na Mungu akubarikie na kule blog tumekurusha kama ulivyosema ujumbe wako, MUNGU AKUTANGULIE MKUU NA MUCH RESPECT URUDI TUREKEBISHE TAIFA, WENGINE KUTOKEA CHADEMA NA WENGINE TUNAKUJA KUTOKE CCM, TAIFA MBELE SANA!

William.
 
pole sana wanafamilia,ila nakumbuka kipindi cha hukumu ya lema kuna mtu alileta taarifa hapa jf kwmba baba yk mh selathisini ambaye alikuwa diwani wa ccm kipindi cha nyuma,napata utata alitoka kumtoa baba yake mdogo/mkubwa au mzazi? Maana nimeshtuka kuona kwenye post kwmb yy na baba yk wamenusurika. Tuendelee kumwombea aweze kupona mapema na kurudi kwny majukumu yake ya kujenga taifa.
Mkuu baba yake Mh Selasini ni mzima. Yule jamaa aliyeleta zile habari za kizushi sijui aliota nini! Binaadam ndivyo tulivyo.
 
OMG!!! alaze roho za marehemu pema peponi na amjalie kamanda wetu Selasini apone haraka . AMEN
 
Pole sana mh Selasini,kweli tukio hili la ajali ni la pili kwake baada ya ajali aliyoipata wakati wa Kampeni 2010, Jah is great!
 
Pole sana Mhe.
Waliotangulia mbele za haki Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi
 
Back
Top Bottom