Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake

pole sana mh. Kwa kufiwa na mama mpendwa na wewe ugua pole...hivi alikua chama gani.?
 
Ilikuwa mida ya saa moja jioni maeneo ya Boma Ng'ombe ambapo Mh Joseph Selasini wakati akiendesha gari hilo akitokea Arusha, ghafla aliona mwendesha pikipiki wakati akijaribu kumkwepa ndipo gari lake likapinduka.

Watu wengine akiwemo mbunge huyo na mke wake alifahamika kwa jina la Digna Kavishe waliojeruhiwa katika ajali hiyo, wako katika hospitali ya Boma Ng'ombe hali zao zinaendelea vizuri na muda mfupi nao watapelekwa katika hospitali ya KCMC kwa matibabu zaidi.
 
Poleni sana...
Mung apumzishe peponi roho za waliopoteza maisha katika ajali hiyo.
 
pole mbunge wangu ...lakini hivi kwanini mnapenda kuzurura bana..hivi hamna ipad muwe mnakaa mnasoma vitu na kuplot stratergies za kutatua matatizo ya wananchi ...aghhh

inamaana wewe Kigogo ukiwa mbunge hupaswi kwenda kumchukua baba yako kutoka hosp? Na je umeelewa vizuri taaarifa iliyotumwa na pro wa chadema?
 
Last edited by a moderator:
Afya yangu iko murua kabisa ndugu Gobegobe.....:A S angel:......Amen

Pole sana Mhe. Selasini kwa ajali na kwa kupoteza sehemu ya familia yako.

sijaelewa wewe ndio mhusika yaani mh. Selasini.??
 
Last edited by a moderator:
pole sana mh. SELASINI, Mungu atakuponya. Mungu awarehem marehem. ajali haina kinga...sijui lakin ndo ivo
 
Ilikuwa mida ya saa moja jioni maeneo ya Boma Ng'ombe ambapo Mh Joseph Selasini wakati akiendesha gari hilo akitokea Arusha, ghafla aliona mwendesha pikipiki wakati akijaribu kumkwepa ndipo gari lake likapinduka.

Watu wengine akiwemo mbunge huyo na mke wake alifahamika kwa jina la Digna Kavishe waliojeruhiwa katika ajali hiyo, wako katika hospitali ya Boma Ng'ombe hali zao zinaendelea vizuri na muda mfupi nao watapelekwa katika hospitali ya KCMC kwa matibabu zaidi.
Mkuu EMT mke wa mh.tayari amekimbizwa KCMC. Kuna mtu tumemtuma kucheck huko KCMC kujua hali yake ikoje.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
pole sana wanafamilia,ila nakumbuka kipindi cha hukumu ya lema kuna mtu alileta taarifa hapa jf kwmba baba yk mh selathisini ambaye alikuwa diwani wa ccm kipindi cha nyuma,napata utata alitoka kumtoa baba yake mdogo/mkubwa au mzazi? Maana nimeshtuka kuona kwenye post kwmb yy na baba yk wamenusurika. Tuendelee kumwombea aweze kupona mapema na kurudi kwny majukumu yake ya kujenga taifa.
 
Poleni sana kwa ajali Mungu awajaliye majeruhi afya njema wapone, Waliofariki Awape Pumziko la Milele, Amina.
 
pole mbunge wangu ...lakini hivi kwanini mnapenda kuzurura bana..hivi hamna ipad muwe mnakaa mnasoma vitu na kuplot stratergies za kutatua matatizo ya wananchi ...aghhh

Leo hii hii watu watano wamekufa hapo hapo na wengine watano kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea asubuhi wilayani Maswa. Hawa pia walihitaji Ipad? Hayajakukuta wewe na Ipad yako.
 
Mbunge wa Rombo, Mhe. Joseph Selasini kapata ajali mbaya sana muda si mrefu.

Ajali hiyo imemtokea akiwa safarini toka Arusha kwenda Rombo na ni eneo la Bomang'ombe mjini.

Watu watatu akiwemo mamake mzazi wamekufa papo hapo.

Mhe. Selasini amepekimbizwa Hospitali ya wilaya ya Hai pale Bomang'ombe; hali yake si nzuri.[/QU

Tu edit hapo kwa "mh selasini ametoka kumtoa baba yake hospitali" ukweli ni kwamba, Mbunge alikua ametoka kwenye mazishi ya Padri mmoja anaitwa Padri Mahoo, na kwenye gari ndio hivyo, mke wake, mama yake, na mama yake na marehem Padri na m baba mmoja ndio wamefariki dunia, na Mh. Mbunge hali yake bado sio nzuri, Tuwaombee wapate kupona na kuipokea misiba hiyo iliyo fungamana....
 
Namuomba Mungu amponye haraka pamoja na majeruhi wote na pia azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.
 
Pole sana mh. Selasini.Kazi ya mungu haina makosa. Tumwomba mwenyezi mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi. Mh.and our dad get well soon.
 
Back
Top Bottom