Mbowe na Slaa kutikisa Zanzibar kesho

Jimbo la uzini linakaliwa na waluguru wengi, hivyo ukitaka kupita sharti uwasiliane na mzee Mkude
 
Acheni kujidanganya Chadema haiwezi kupata maelfu ya wanachama Zanzibar,Kwani hujui mtaji wa Chadema ni upi?ni Kanisa Katoliki ambao Zanzibar wapo asilimia 1 % ya Wanzanzibar wote.Mnatakiwa kufanya uchambuzi wa kina mnapoingia katika siasa sio ushabiki! ina maana hujui kuwa maeneo ambayo Chadema ina nguvu kuna Waumini wa Dini gani?
 
Ni kweli kabisa mkuu! Sidhani kama kuna jimbo znz lenye wapiga kura 9000! Kura alizopata Lema jimbo la Arusha ni sawa na kura za majimbo 6 huko znz! Kura jimbo la ukonga na Segerea ni sawa na wakazi woto wa znz! Upuuzi mtupu!

Johmba nimeona maelezo tu lakini hoja YAKO sikuijua, hapa ulitaka kuelezea kitu gani hasa?
 
as a strategic move with long-term objectives, yes; otherwise it is just another one of those participatory democratic processes where the results are always too predictable to be ignored...
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CDM) kesho kitazindua kwa kishindo kampeni za Uchaguzi mdogo wa Uwakilishi jimbo la Uzini ambapo chama hicho kimejizatiti kuchukua kiti hicho na kuandika historia mpya ya chama hicho huko Zanzibar.

Taarifa ya CDM imesema vinara wakuu wa chama hicho Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa watawaongoza maelfu ya wanachama wake wa Zanzibar hapo kesho katika uzinduzi unaotarajiwa kuwa wa kihistoria.

Taarifa zaidi kutoka Zanzibar zinasema tayari Dr Slaa amewasili tangu jana kupanga mikakati ya mwisho mwisho.Pia kuna taarifa kwamba kuna shamrashamra za hapa na pale za wafuasi wa CDM.

Habari zaidi:Tanzania Daima.

Mbowe na Dr Slaa sio maarufu kihivyo zanzibar jamani tusikuze mambo kimagazeti tuwe wakweli kwa upende wa bara sina mashaka wako juu kiupinzani
 
Jimbo la uzini linakaliwa na waluguru wengi, hivyo ukitaka kupita sharti uwasiliane na mzee Mkude

maneno yako ni alama ya siasa za kikabila. Unataka kusema na kuthibitisha kuwa chadema wanaweza kutumia kabila kujijenga?
 
Kazi ya gazeti ya Tanzania Daima la chadema ndio inatuhangaisha hapa kukuza ushabiki!!!!!!!!!!! Mlioko Zenji tafadhali mambo yakiiva turushie picha tuone aibu ya mwaka. Kujisifu kwingi mwisho ushuuzi
 
jimbo gani la Zanzibar lenye uwezo wa kumpa mwakilishi kura elf 9? Hakika hamna.Majimbo yote na kura zake ninazo hapa.Wenyeviti wa vitongoji hapa bara wanachaguliwa na watu wengi kuliko wawakilishi wa Zanzibar

Sasa majimbo ya Tanganyika ooooops sorry! Tanzania Bara kua na watu wengi na ya ZANZIBAR kuwa na watu kidogo ndiyo inasaidia na au kupunguza nini? Hebu niweke sawa hapa!
 
Nimeishasema Chadema wakishinda uwakilishi mie tatembea bila nguo kutoka Posta mpaka Kimara bonyokwa na kurudi baada ya apo nakunywa sumu nakufa.

:eyebrows::eyebrows:
mh! upeo wako wa kufikiri umeishia hapo, bora utapia mlo wa mwili kuliko utapia mlo wa mawazo , pre machua brn\
 
Acheni kujidanganya Chadema haiwezi kupata maelfu ya wanachama Zanzibar,Kwani hujui mtaji wa Chadema ni upi?ni Kanisa Katoliki ambao Zanzibar wapo asilimia 1 % ya Wanzanzibar wote.Mnatakiwa kufanya uchambuzi wa kina mnapoingia katika siasa sio ushabiki! ina maana hujui kuwa maeneo ambayo Chadema ina nguvu kuna Waumini wa Dini gani?
unaakili sana m2wangu ka vile za zero brain
 
CDM kukata tamaa mwiko!!

2010 Parliamentary Election Results ?
Region KUSINI UNGUJA
District KATI
Consituency UZINI

Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
MUHAMMED SEIF KHATIBU
CCM
6,651
81.96
ALI MBAROUK MSHIMBA
CHADEMA
617
7.6
ABDI MOHD ADEYOUM
CUF
524
6.46
LUSIANO BENEZENT MAREKANO
SAU
46
0.57

SPOILT VOTES

277
3.41
TOTALS

8,115
100

matokeo mazuri sana haya.Kumbe cuf imeanza kufa huko Zanzibar? Hakika Mungu ni mwema.Asante Mafilili kwa kuwadhalilisha ccm b
 
Acheni kujidanganya Chadema haiwezi kupata maelfu ya wanachama Zanzibar,Kwani hujui mtaji wa Chadema ni upi?ni Kanisa Katoliki ambao Zanzibar wapo asilimia 1 % ya Wanzanzibar wote.Mnatakiwa kufanya uchambuzi wa kina mnapoingia katika siasa sio ushabiki! ina maana hujui kuwa maeneo ambayo Chadema ina nguvu kuna Waumini wa Dini gani?

Wenye mitaji yao ni CUF, Igunga ilikuwa 10000, Uzini ni udini 99% haya bana shindeni tu nyie yakhe!!!
 
khaaa !!! CHADEMA ipo juu ya CUF basi kazi imekwisha tayari jimbo tunalo huko visiwani Asante Mungu kwa hili
Mkuu,hata mimi nimeshangaa sana nilipoiona ile form iliyopostiwa na MAFILILI! yaani CDM ilishika nafasi ya pili baada ya ccm? siamini macho yangu.
 
Back
Top Bottom