Mbowe na Slaa kutikisa Zanzibar kesho

Kumbe hiki ni chama cha watu wawili..nilikuwa silifahamu hili!
Wanataka kufanya kila kitu wao, hawataki kuwapa wengine nafasi! Kwa mtindo huu chama kitakua?
lazima uangaliwe mahala pa delegation to take place
 
Go Go Go CHADEMA ni wakati wa wazenji kufanya mabadiliko
 
Hii habari ingekua mzuri zaidi kama wangeweka neno 'Wanakuja kutembea' badala ya 'Kutikisa'! Halafu nimeshangaa sana kuona maneno 'Watahutubia maelfu ya wanachama wa Chadema'! Hivi Zanzibar mzima Wanachama wa Chadema wanaweza kufika 5000 licha ya jimbo moja!?

Nilikua Msimamizi mkuu (OPO) wa uchaguzi mwaka 2010 katika moja ya vituo vilivyomo ndani ya jimbo langu na Chadema haikufika hata kura 30 kwa kituo hicho! Ilikua kila chumba zinapatikana kura 3, 4, 2 na baadhi ya vyumba havikutoa hata kura moja!!!

Chadema wanakuja kupoteza muda, pesa na mwisho wa siku watamkodolea macho Mohammed Raza (CCM) akijinyakulia jimbo kiubwete na wao kuishia kulalamika na ZEC ya kwamba wameporwa! Ushauri wa bure:

Nawaomba mutakapokuwepo huku muchunge nidhamu, hule mtindo wenu wa kuwavua mabint Hijabu kwa Zanzibar utakuja kuwaweka pabaya na huku hata sehemu za kujificha hazipo maana mukijichimbia kwenye maspeaker (hii inanikumbusha Slaa) wanaume watayachoma moto. CCM OYEEE! CUF NGANGARIII!
 
Hii mpya! Hongereni kwa type ya wanachama mliyo nayo! Ndio maana kila mara mnabwagwa kwenye chaguzi!
Rejeo
Kumbuka kuwa kuna Waziri mkuu ( mtaafu kwa sasa) aliwahi sema kuwa ukitaka biashara zako zikunyokee peperusha bendera ya CCM otherwise hainyoki unadhani hawezi kupeperusha hiyo bendera ili hali siyo mwanachama wa ukweli Wanachama wengi mlionao si waukweli toka moyoni ndiyo maana mkaanza kuvuana magamba ili kuwa rejeshaea matumaini mapya

Chaguzi zipi za halali unazo sema fikiria kama wananchi kusimama kidete kutetea kura zao leo Chadema ingekuwa na hao wabunge 23 fikiria kilicho fanyika Mbeya, Tunduma, Mwanza Je kule ambako wananchi hawakutetea kura zao nini kilitokea
 
Lakini nyie CDM si ndio mnapinga muungano sasa mnataka nini Zanzibar?
 
Hii habari ingekua mzuri zaidi kama wangeweka neno 'Wanakuja kutembea' badala ya 'Kutikisa'! Halafu nimeshangaa sana kuona maneno 'Watahutubia maelfu ya wanachama wa Chadema'!

Hivi Zanzibar mzima Wanachama wa Chadema wanaweza kufika 5000 licha ya jimbo moja!? Nilikua Msimamizi mkuu (OPO) wa uchaguzi mwaka 2010 katika moja ya vituo vilivyomo ndani ya jimbo langu na Chadema haikufika hata kura 30 kwa kituo hicho! Ilikua kila chumba zinapatikana kura 3, 4, 2 na baadhi ya vyumba havikutoa hata kura moja!!!

Chadema wanakuja kupoteza muda, pesa na mwisho wa siku watamkodolea macho Mohammed Raza (CCM) akijinyakulia jimbo kiubwete na wao kuishia kulalamika na ZEC ya kwamba wameporwa! Ushauri wa bure:

Nawaomba mutakapokuwepo huku muchunge nidhamu, hule mtindo wenu wa kuwavua mabint Hijabu kwa Zanzibar utakuja kuwaweka pabaya na huku hata sehemu za kujificha hazipo maana mukijichimbia kwenye maspeaker (hii inanikumbusha Slaa) wanaume watayachoma moto. CCM OYEEE! CUF NGANGARIII!
hata Igunga ilikuwa ni dash kabisa lakini matokeo uliyapata

tuliambiwa ulikuwa matanndio na si hijabu kama ulivyo aminishwa
 
Nani kakudanganya hivyo
fuatilia vizuri Chadema inataka muungano wa serikali tatu mkuukwa kusemahivyo haimaanisha muungungano hautakiwi
 
hata Igunga ilikuwa ni dash kabisa lakini matokeo uliyapata

tuliambiwa ulikuwa matanndio na si hijabu kama ulivyo aminishwa

Najua nimepig nyuki ndimu lakini kua na ustahmilivu mkuu! Kumbuka Watanganyika sio sawa na Wanzanzibari, huko ikifika Uchaguzi ukiwa na vijipesa unaweza kuwahadaa watu kwa; pombe, kanga, pilau, ubwabwa, 'Sadaka', takrima, 'kifuta machofu' na kulichukua jimbo kiurahisi na ama kuwapata wananchi wengi wa kukuwekea kura lakini tofauti kwa Wazanzibari.

Wazanzibari kwao siasa ni Ukombozi na hawakubali kununuliwa kiurahisi kwa vitu vya kimaajabu majabu, kwao wao siasa imo ndani ya damu yao! Kitu chengine umesema yule mama alivuliwa mtandio na sio hijabu! Hoja sio hijabu mtandio au kilemba bali ni jinsi walivyomkashifu yule mwanamama!
 
ila cdm wanamoyo japo wanajua hawatashinda ila wapo tu

dj mbowe na padri slaa wamefuata posho tu ya laki 6 per day

Hao wanachama wa CDM maelfu wametoka wapi zanzibar? Au mwandishi alikuwa naandika tu kujifurahisha?

This story, is what the fools want to hear although it lacks substance !

Kumbe hiki ni chama cha watu wawili..nilikuwa silifahamu hili!
Wanataka kufanya kila kitu wao, hawataki kuwapa wengine nafasi! Kwa mtindo huu chama kitakua?

Hii mpya! Hongereni kwa type ya wanachama mliyo nayo! Ndio maana kila mara mnabwagwa kwenye chaguzi!

Hawa watu kila kitu wanafanya wao wenyewe!! Wakizidiwa sana wamtafuta mtu wa North awasaidie!!

Nimeshaiona hapo juu nikaichunia! Hukuwa na haja ya kui-repost!
Duh!! ni kama mmefinguliwa nendeni mkamtetee rais wenu kule kwenye thread zingine anavuliwa nguo.
 
Hii habari ingekua mzuri zaidi kama wangeweka neno 'Wanakuja kutembea' badala ya 'Kutikisa'! Halafu nimeshangaa sana kuona maneno 'Watahutubia maelfu ya wanachama wa Chadema'!

Hivi Zanzibar mzima Wanachama wa Chadema wanaweza kufika 5000 licha ya jimbo moja!? Nilikua Msimamizi mkuu (OPO) wa uchaguzi mwaka 2010 katika moja ya vituo vilivyomo ndani ya jimbo langu na Chadema haikufika hata kura 30 kwa kituo hicho! Ilikua kila chumba zinapatikana kura 3, 4, 2 na baadhi ya vyumba havikutoa hata kura moja!!!

Chadema wanakuja kupoteza muda, pesa na mwisho wa siku watamkodolea macho Mohammed Raza (CCM) akijinyakulia jimbo kiubwete na wao kuishia kulalamika na ZEC ya kwamba wameporwa! Ushauri wa bure:

Nawaomba mutakapokuwepo huku muchunge nidhamu, hule mtindo wenu wa kuwavua mabint Hijabu kwa Zanzibar utakuja kuwaweka pabaya na huku hata sehemu za kujificha hazipo maana mukijichimbia kwenye maspeaker (hii inanikumbusha Slaa) wanaume watayachoma moto. CCM OYEEE! CUF NGANGARIII!
Kwani aliyeshinda kwenye jimbo hilo alipata kura mia ngapi vile!!!
 
Nimeishasema Chadema wakishinda uwakilishi mie tatembea bila nguo kutoka Posta mpaka Kimara bonyokwa na kurudi baada ya apo nakunywa sumu nakufa.
 
Back
Top Bottom