Mbowe na Slaa kutikisa Zanzibar kesho

Kama chama tunahitaji kufuta mawzo na fikra iliyojengeka miongoni mwa watu kuwa sie hatuna ushawishi znz but for the first tym wl show them the truth.
 
Nimeishasema Chadema wakishinda uwakilishi mie tatembea bila nguo kutoka Posta mpaka Kimara bonyokwa na kurudi.

Wewe utembee uchi mara ngapi wakati kila siku nakuona Magomeni Mapipa upo uchi umebeba makopo. Ingawa watu wanakuita chizi, mimi ninaekufahamu vizuri najua unaitwa Ritz wa JF!

AFP 14=0.2%, CUF 9158=90.9%, CCM 731 ,
JAHAZI 29=0.3%, NCCR-
MAGEUZI 7=0.1, NRA
8=0.1%, CHADEMA 12=0.2%!!! j
kweli majina mnajipa kulingana na tabia zenu
unajua hili jimbo lilikuwa linamiliwa na chama gani ? Mbona unachanganya madesa Hadi hapa hauaminiki kabisaaaaaaaaaaaaa
 
[/B]Hapo kwenye bold....kumbe unakubali kuwa CUF na CCM ni chama kimoja? nisikuone ukibisha tena

AGIZO: Mheshimiwa Hoja
hii isije ikachukuliwa
kisiasa isije
ikachukuliwa kuwa
imetolewa na Naibu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF)
lakini hoja hii ichukuliwe
kuwa imetolewa na
Mwakilishi wa Jimbo la
Mji Mkongwe,
Mheshimiwa Ismail Jussa, Mwakilishi halali
tunaomba hoja hii
isichukuliwe kisaisa hoja
hii ikichukuliwa kisiasa
itatugawa na tutaweza
kupoteza rasilimali na uwezo wa baraza la
wawakilishi kuisimamia
serikali. Ni maneno yake
Mwakilishi wa
Mwamtipura (CCM) ni
maneno ya maana sana na ya hekima kubwa
tunapaswa kuyaunga
mkono moja kwa moja
 
Kuandika uongo nao ni uendawazimu.Unamdanganya nani? CCM ndiyo ilishinda hili jimbo

kweli majina mnajipa kulingana na tabia zenu
unajua hili jimbo lilikuwa linamiliwa na chama gani ? Mbona unachanganya madesa Hadi hapa hauaminiki kabisaaaaaaaaaaaaa

Kuna jamaa hapo juu kataka nimpe matokeo ya kura kwa jimbo nililokuwepo mimi nikiwa kama (OPO), na ndio hayo hapo! Tafadhali musikurupuke kujibu kabla ya kupitia comment zilizotangulia!
 
Hapo kwenye bold umenichekesha sana mtu wangu!....kumbe umekubali kwa kinywa chako kuwa CCM na CUF = na chama kimoja.

Msisitizo nimeuweka mimi kama mimi na sijawasemea Wazanzibari wengine! Na nimeweka maelezo yale kwa sababu mimi ni CCM/CUF; Uchaguzi wa 2010 kura ya Muungano nimempa Dr. Kikwete na Zanzibar nimempa Maalim Seif=CCM+CUF.
 
Kuna jamaa hapo juu kataka nimpe matokeo ya kura kwa jimbo nililokuwepo mimi nikiwa kama (OPO), na ndio hayo hapo! Tafadhali musikurupuke kujibu kabla ya kupitia comment zilizotangulia!
unapaswa specific watu tunaanga uzi unahusu nini we unaandika tu mambo yako ni bora unge reply with quote yake tu tungejua maana yako
 
Kuna jamaa hapo juu kataka nimpe matokeo ya kura kwa jimbo nililokuwepo mimi nikiwa kama (OPO), na ndio hayo hapo! Tafadhali musikurupuke kujibu kabla ya kupitia comment zilizotangulia!

jimbo gani la Zanzibar lenye uwezo wa kumpa mwakilishi kura elf 9? Hakika hamna.Majimbo yote na kura zake ninazo hapa.Wenyeviti wa vitongoji hapa bara wanachaguliwa na watu wengi kuliko wawakilishi wa Zanzibar
 
Ni kweli kabisa mkuu! Sidhani kama kuna jimbo znz lenye wapiga kura 9000! Kura alizopata Lema jimbo la Arusha ni sawa na kura za majimbo 6 huko znz! Kura jimbo la ukonga na Segerea ni sawa na wakazi woto wa znz! Upuuzi mtupu!
 
Back
Top Bottom