Mbowe, Kunahitajika mkakati wa haraka Bungeni

Nimekuwa ni Mfuatiliaji Mzuri sana Bunge linaloendelea. Mheshimiwa Job Ndugai amekuwa analiendesha Bunge kama kamati kuu ya Serikali, Hawapendi Wapinzani, anawachukia wapinzania, na naamini kama angeweza kuchukua Hatua ya Kuwafukuza Moja kwa Moja angeweza. Makinda ni Mbovu but Ndugai is Worse.

Wananchi wanaona namna Ndugai anavyoendesha Vikao vya Bunge kama Wakala wa Serikali na Ndio maana Mawaziri wanapoomba Muongozo wao hutoa hotuba lakini ikiwa hivyo wa Wapinzani jamaa huwa anakuwa Mkali kweli. Amefanya hivyo kwa Wabunge Kadhaa kama Machali, Lema, Mdee, Lisu na wengine.

Ndugu Ndugai nikueleze ukweli Wananchi wanachukizwa na Namna Unavyoendesha Bunge unafanya wananchi waichukie CCM na Usipokuwa Makini basi wewe Utakuwa ni LANGO LA ANGUKO LA CCM. I hate you and you make me hate CCM more than Ever.

Namchukia sana huyu jamaa, lakini siwezi kumlaumu sababu ndio kazi aliyotumwa na wakubwa zake, pamoja na thinking capacity yake imefikia hapo na ukiangalia uwezo wake labda hata perfomance ipo above average..

Nimekuwa ni Mfuatiliaji Mzuri sana Bunge linaloendelea. Mheshimiwa Job Ndugai amekuwa analiendesha Bunge kama kamati kuu ya Serikali, Hawapendi Wapinzani, anawachukia wapinzania, na naamini kama angeweza kuchukua Hatua ya Kuwafukuza Moja kwa Moja angeweza. Makinda ni Mbovu but Ndugai is Worse.

Wananchi wanaona namna Ndugai anavyoendesha Vikao vya Bunge kama Wakala wa Serikali na Ndio maana Mawaziri wanapoomba Muongozo wao hutoa hotuba lakini ikiwa hivyo wa Wapinzani jamaa huwa anakuwa Mkali kweli. Amefanya hivyo kwa Wabunge Kadhaa kama Machali, Lema, Mdee, Lisu na wengine.

Ndugu Ndugai nikueleze ukweli Wananchi wanachukizwa na Namna Unavyoendesha Bunge unafanya wananchi waichukie CCM na Usipokuwa Makini basi wewe Utakuwa ni LANGO LA ANGUKO LA CCM. I hate you and you make me hate CCM more than Ever.

Dodoma ndo iwe ni mbeya mwanza nk ninaimani mjengo ungevamiwa na wananchi kwa maandamano

mwacheni ajaribu na yeye mama Ana kajaribu kaona mambo magumu ndo na yeye kamuachia kaka Job ajaribu bahati yake..

hivi lile li mama lipo wapi ...... same same story

big shame ....!

god bless .... we need fair practice in the house

Wakuu,

Naona kila dalili kwamba wabunge wa CHADEMA na wale wa NCCR - Mageuzi wapo pamoja na naona ushirikiano wao ni mzuri sana bungeni. Kinacholeta tatizo ni huyu mwenyekiti wa NCCR - Mageuzi ndugu Mbatia ambaye bado ana donge la kushidwa ubunge wa kawe na Mh. Halima Mdee kiasi kwamba hata kesi aliyofungua dhidi yake amegoma kuifuta.

Ukimwondoa Mbatia katika NCCR - Mageuzi wanaobaki ni wapiganaji na wanatetea maslahi ya watanzania kama walivyo CHADEMA. Naomba ushirikiano huu uendelee hata huko Igunga ambako tunajiandaa kuchukua Jimbo basi tuite " CHADEMA & NCCR MAGEUZI OPERATION CHUKUA JIMBO". Pongezi zangu ziende kwa wabunge wote wa NCCR - Mageuzi kweli nyie ni wapiganaji wenzetu. Sisi wananchi wanyonge tunafarijika sana tukiona mnakuwa kitu kimoja.

ref: Hotuba ya Mbuge kijana wa NCCR (jina limenitoka) alivyoguswa kwa kutolewa bungeni kiuonevu kwa Mh. Wenje jana.
Vijana wanaguswa sana na corrupt na hiyo ni self superiority tofauti na hawa wakongwe

Sisi wengine tunamfahamu tangu siku nyingi sana kwamba huyu kijana mwenzetu ni tundu bovu lisilozibika CCM.

Kwa kifupi, huyu ndiye mmoja kati ya vijana wengi ambao Mhe Joseph Sinde Warioba alikua akiwazungumzia; vijana waliozeeka akili na kufikiri kiubovu zaidi kuliko hata mababu zao. Huyu bwana siku zote ishu inapojitokeza na kuhitajika kutete maslahi ya Watanzania walalahoi kwa ujumla wetu, kwake yeye kanisa lake na msikiti huwa kwanza ni kwa CCM.

Ovyo kabisa, hamna kitu pale!!!!!!!!!

Amejishushia imani kwa watz walio wengi maana ameonesha wazi kuwa anachuki binafsi na CDM sasa amejipalia makaa I hate him ever. CCM KAMA NDO KAZI MLIOMTUMA BASI MMETUMA M2 ASIYE NA BUSARA NA MTAACHWA NA WENGI SANA KWA AJILI YA HUYO ndugai.

Yani bora ya ndugai na makinda. Sitta ndo hafai. Angekuwa anawatoa yeye mwenyewe. Sitta awe upande wako utapenda ila si dhidi yako

nimesikitishwa sana na kitendo cha yule mwanamke anayeongoza bunge jioni kwa kumwonea mweshimiwa chiku abwao, kumkalisha chini kila wakati na kumdhalilisha kutokana na ukweli anoongea mweshimiwa huyo./
kwa kweli najisikia vibaya sana

Back
Top Bottom