Mbowe, Kunahitajika mkakati wa haraka Bungeni

Simbachawene naye ananena. Anawajibu Abwao na Mchungaji wa Karatu. Anasema polisi waendelee kufanya kazi yao. Kazi ya polisi ni kulinda silaha na kujilinda yeye ukisogea huku ana silaha anakuwasha!! Wananchi msidanganyike kwenda kufanya maandamano mkavunja sheria mkauawa. Kwa hiyo tuheshimu sheria na mamlaka. Dawa ni kuheshimu sheria na mamlaka
 
upuuzi mtupu,lazima spika awe anaongea kwa nidhamu,kama kanuni zimevunjwa afate sheria asifoke kugeuza watu watoto.bora liwe bunge la vurugu tu!
 
simbachawene amegeuka kuwa upande wa serikali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Rais ndie kielelezo cha serikal LEGELEGE
Simbachawene anawatoa nishai wapinzani kinomanoma kwamba allegations zao kuwa eti serikali hii ina vitisho ni hoja ya ajabu kabisa. Anaendelea kusema kwamba duniani kote hajawahi kuona serikali pole na Rais mpole kama Mh. Kikwete, Rais ambaye mtu yeyote yuko huru kumtukana na kumwita majina mabaya ypote apendayo na kesho yake akawa huru kabisa anadunda mitaani bila kukamatwa ama kuchukuliwa hatua za kisheria.
<br />
<br />
 
lusinde hana proper thoughts just like Simbachawene alietoka kuongea sasa hivi. Lakini wajue kuwa wa tanzania tumeamka na tuko nyuma ya CHADEMA kwa asilimia mia moja.
 
CDM, NI TUMAINI LETU, HONGERENI MAJEMBE YETU MJENGONI.
The Gambaz wamewehuka. . . . Vilaza dot com
 
Mpumbavu,mshenzi mkubwa apimwe yeye kwanza,this is a provoking statement ingefaa wamchape mabao halafu wakipimwa tutaelewa,
Sawa wewe,, huna lugha nyingine zaidi ya matusi tu? wa wapi wewe usiyejua kujenga hoja na kukalia matusi tu?? Ninyi ndiyo mnaipaka picha mbaya CDM
 
spika anatoa majibu kama nani? Wako wapi wanaharakati tulipue viongozi wa bunge kwa ushabiki wa wazi na kuharibu mijadala.aache mawaziri wafanye kazi yao!
 
Ukianzia mjadala sema mama Abwao kaongea nini sasa kuna haja gani kutuhusisha bila kutuambia kaongea nini?
 
Muongozo kuhusu kupimwa akili: Kanuni haitoi maelekezo kupima akili za wabunge hivyo spika akiona inafaa ataamua lakini yeye kama mwenyekiti hawezi kuita madaktari kupima wabunge.

Kuhusu mdhibiti wa nidhamu ya wapinzani kutolewa nje ni hatua gani zichukuliwe: Naona Mwenyekiti kasahau kutoa muongozo.
 
abwao kawachana live mrema na cheyo kuwa ni mawakala wa ccm!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tunauliza mama kasema nini na nyinyi mnaleta porojo hapa,hakuna wa kutujuza facts za mama yetu jamani
 
Kazi ya Wabunge wa ccm ni kuongea upumbavu ! Wakati kazi ya Cdm ni kuisimamia serikari na kuhakikisha haki za raia zinalindwa.
 
wanaosema bunge la sasa hivi limekosa heshima lazima wana maslahi binafsi na CCM na kwa hali hiyo wanataka kuwapumbaza watanzania ili tuichukie CHADEMA.Nasi kwa moyo mmoja twasema,hatutarudi nyuma ng'oo.
 
Back
Top Bottom