Mbowe, Kunahitajika mkakati wa haraka Bungeni

mama anatisha ana msimamo!!!!!!!!!!!!!!!
Amekalishwa chini sasa. Kimyaaaaa!! Na Lusinde ameomba mwongozo wabunge wawe wanapimwa akili kabla ya kuapishwa na mwenyekiti amekiri mwngozo huo kuwa ni wa ukweli na wa nguvu
 
huyu lusinde nae anaumwa et anaomba muongozo et wabunge wapimwwe akili!!!!!!! phew
 
mama abwao katapika kilichokuwa kinamsumbua, sasa nadhani roho yake imetulia!!!!!!! kanifurahisha anasema pasipokuwa na haki nidhamu hakuna!!!
 
aomba mwongozo wa mwenyekiti baada ya Chiku Abwao kuchangia hotuba ya wizara ya mambo ya ndani, mwingine wa cuf asema wao si wapinzani!
 
huyu mama ni soo...nimemvulia kofia...najivunia kura nilizowapa CDM
 
Nadhani Lusinde inabidi apimwe kwa kuwa kaomba mwongozo hewa!! Hajasema kwa nini wabunge wapimwe akili. Sijui alikuwa akimdhihaki Mama Abwao. Abwao kasema vyema tu sasa kupimwa akili kunatoka wapi? Bunge kweli ni makusanya!
 
Kitendo hiki cha wabunge wa CHADEMA na NCCR-MAGEUZI kuwa pamoja bungeni kimenipa faraja kubwa.Tunawaomba waheshimiwa muendelee hivyohivyo.NCCR akiondoka Mbatia tu basi,upiganaji utakuwa mzuri.Kila la kheri!!1
<br />
<br />
Pongezi kwa ushirikiano huo.
 
Simbachawene anawatoa nishai wapinzani kinomanoma kwamba allegations zao kuwa eti serikali hii ina vitisho ni hoja ya ajabu kabisa. Anaendelea kusema kwamba duniani kote hajawahi kuona serikali pole na Rais mpole kama Mh. Kikwete, Rais ambaye mtu yeyote yuko huru kumtukana na kumwita majina mabaya ypote apendayo na kesho yake akawa huru kabisa anadunda mitaani bila kukamatwa ama kuchukuliwa hatua za kisheria.
 
Back
Top Bottom