Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Duh kwani kujiuzulu kwao ni kinga ya kutokufilisiwa??? Mi nadhani ingekuwa vyema nakupendeza kama inpofika mahala kiongozi anahitajika kuwajibika na kufilisiwa pia ikiwezekana avuliwe madaraka yote aliyonayo kumuondolea kinga ya kisiasa.....
 
Sasa hapa ndipo taifa litakapothibitisha kuwa sii watendaji wa rais Jk wanaowaangusha wananchi bali rais mwenyewe.
Wakati wa mzozo wa bunge na serikali kuhusu Epa, jk alishindwa kuwawajibisha mateule wake mpaka bunge likamlazimisha kwa kuiangusha serikali yake bungeni. Mara hii tena pamoja na kuwa tetesi za rais kubadili baraza lake la mawaziri za mda mrefu, ameshindwa kufanya hivyo mpaka sasa bunge linamlazimisha tena kupangua mawaziri wake. Maana yake ni kwamba sii rais anaeiongoza serikali bali bunge. Kweli waTz tuliingia choo cha kike kuwa na rais wa namna tulie nae sasa. Mungu lirehemu taifa letu.
.
 
Ngeleja yule hatokuja kujiuzulu hadi wazirimkuu naye awajibishwe..yule ni mbishi kama busha ..mtu gani yule hata hafai kwenye jamii utafikiri kazaliwa ili awe waziri au utafikiri akijiuzulu atakufa hapo hapo

yaani Mkuu HUYU MTU ANAYEITWA NGELEJA YAANI NGELEJA LAZIMA AONDOKE TENA AWE WA KWANZA JUMATATU TUSIMWONE BUNGENI. KILA MAHALI KATIKA NCHI HII NI MASHIMO, HAKUNA MADINI TENA NA BADO WATANZANIA NI MASKINI, NGELEJA STEP DOWN NOW
 
NAOMBA unijibu tafadhari..!
Kwahyo Chami Akiachia na NYARANDU si safari imemkuta...!?
Kama ndivyo ntakunywa soda kwa mara nyingine tangu X-mass..
Nahisi NYARANDU ni Tatizo kubwa kuliko huxu Chami


anasema wamarekani wanataka awe rais wa tz.........hahahaha huyu jamaa yaani haachii utapeli
 
Kudadadeki! Ukipanda mahindi inatoka rangi ganiiiiii!!!!!!....... Ukipanda mpunga inatoka rangi gani!!!!!......... Ukipanda mchicha unatoa rangi ganiii!!!!........ Ukipanda mti unatoa rangi ganiii!!!!........ Kudadadeki! Niwalambe, Nisiwalambeeeee!!!!!:yuck::yuck: Duh! MAGAMBA yameishiwa sera sijui kama kuachia ngazi yataweza....
 
Hivi bungeni wapo gombe wangapi ? Mbona hata Mzee Wa kura 70 naona Kama anafanania kuwa na uso wa ile mijamaa ya gombe?
 
Kama ni saba ...
... Kinachobaki kwenye baraza la mawaziri wa JKikwete kina maana gani ...doesn't this prove total failure to the whole cabinet? That means Rais naye ni bora AJIPIME!!!
 
ni kweli, na mkullo kama bado ana kazi huko dc inabidi atume email ya kujiuzulu coz hayupo nchini.
 
Inasadikika Mawaziri Waliojiuzulu ni Fedha, Mkullo, Afya, Mponda Chami na Nundu wa Uchukuzi
 
Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa leo Mawaziri wanne wa CCM wamejiuzulu kwenye kikao cha kamati ya uongozi ya CCM kilichofanyika na hata katibu mkuu kiongozi alishiriki na sasa ndio wanaenda kuwatangazia wabunge wa CCM kwenye kikao cha ndani.

CONFRIMED!!!!!!! BY BLACK BAT......kutoka DODOMA.
hutaki jinyonge
kama iligarimu uhai wa watu na na waziri Wa afya hakutoka hadi sasa.
 
Back
Top Bottom