Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Hata mi nimeona kwenye post ya zitto kabwe kule twitter, nenden mkaone post yake kule twitter au mi cjaelewa. Amesema mawazir wameresign
 
jamani mi nimependa sana kipengelea cha habari kwa kina ambazo zinarushwa na star tv juu ya watoto wa mitaani usiku wameibua issue moja sensitive saana endapo serikali itaifuatialia kwa makini kwa namna moja ama nyingine wimbi la watoto mitaani wanaweza kulidhibiti...fuatilieni kesho kwenye habari yao ya saa kumi na mbili na saa nne asubuhi.
 
[h=6]Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa leo Mawaziri wanne wa CCM wamejiuzulu kwenye kikao cha kamati ya uongozi ya CCM kilichofanyika na hata katibu mkuu kiongozi alishiriki na sasa ndio wanaenda kuwatangazia wabunge wa CCM kwenye kikao cha ndani.[/h]
Kama ni hivyo mimi naona wakuonewa huruma ni wananchi wa Tanzania wanaoteseka kwa maisha magumu kuliko wakati wote katika historia ya Tanzania.Mawaziri hata wajiuzulu wadanganyika hawawezi kupata nafuu yoyote ya maisha zaidi ya kuletewa mapanya wengine ili nao wafaidi mali za nchi zisizo na mwenyewe.Binafsi naichukia sana serikali ambayo iko goigoi kama hii.Labda ni kweli wanafanya makusudi ili baada ya miaka mitatu ijayo wawaachie watu wengine watawala.Hata wafanyaje mali zetu zote zitarejeshwa tz.Hakuna hata mali moja itakayobaki nje ya nchi.Kama wana busara wamrudie Mungu sasa na kurejesha mali zetu bila masharti.Makeve aga!
 
Welcome to the 21st century:
Phones-wireless.
Cooking-fireless.
Cars-keyless.
Food-fatless.
Youth-jobless.
Leaders-shameless.
Relationships-meaningless.Attitude-careless.
Feelings-heartless.
Education-valueless.
Am just speechless.
Everything has become LESS but still our hopes are endless!! good 9tless.
kitufe cha like sikioni...lol. Hiyo ndiyo Bongoless
 
jamani mi nimependa sana kipengelea cha habari kwa kina ambazo zinarushwa na star tv juu ya watoto wa mitaani usiku wameibua issue moja sensitive saana endapo serikali itaifuatialia kwa makini kwa namna moja ama nyingine wimbi la watoto mitaani wanaweza kulidhibiti...fuatilieni kesho kwenye habari yao ya saa kumi na mbili na saa nne asubuhi.
Hata mm nimeiona mkuu.
Kilichonisikitisha ni full ufisadi.
 
GOOD BUT tunataka hatua zaidi zichukuliwe dhidi yao tumechoka kuibiwa na baadae wnatufanyia matanuzi mtaani na pesa zetu wavuja jasho.
 
Back
Top Bottom