Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Picha zimeonyesha vizuri kazi zake - si kukata tepe tu, bali pia kupanda miti ya kumbukumbu, kuweka mawe ya msingi/kuzindua miradi. Kumbe hata mimi naweza tu kuwa Makamu wa Rais!

Pia ni reserve President. Mfano JOYCE BANDA wa Malawi
 
"Dr Bilal ni SHABABY hasa" JK (2010)
Aliitoa hii kauli ktk kampeni zake za urais. Kumbe ushababy wake ni kukata utepe, kufanya uznduz na kutembea na mikasi.
 
Jk akirudi atapinga kujiuzulu kwao kwenye kikao cha wazee wa Dar es salaam na kuwalaani walioanzisha chokochoko. Bonge la presid! Saa hizi anapanga ratiba ya mazishi kule Malawi na anaandaa b/fast na Maximo

Sintashangaa kama Kiwete akirudi na kupinga maamuzi yaliyofikiwa na wabunge wa ccm kwani hao mawaziri ndio anaowatumia kuliibia taifa rasilimali zake!! Kama tulivyoona kwenye kashfa ya Jairo, ni vigumu sana kwa kiwete kuwaadhibu watu ambao wanafahamu siri za uovu wake yeye binafsi na katika hili naona kama itamuwia vigumu sana kukubali kuondoka kwa mkullo kutoka wizara ya fedha!!
 
Sintashangaa kama Kiwete akirudi na kupinga maamuzi yaliyofikiwa na wabunge wa ccm kwani hao mawaziri ndio anaowatumia kuliibia taifa rasilimali zake!! Kama tulivyoona kwenye kashfa ya Jairo, ni vigumu sana kwa kiwete kuwaadhibu watu ambao wanafahamu siri za uovu wake yeye binafsi na katika hili naona kama itamuwia vigumu sana kukubali kuondoka kwa mkullo kutoka wizara ya fedha!!

Tokea lini wabunge wa CCM wakawa na mamlaka ya kuwafukuza mawaziri?
 
Vipi? mbona wote wapo?

Niliwaambia wacheni hii nyuzi ipelekwe kwenye udaku.
 
Prof maghembe awe wa kwanza hakuna wizara aliyofanya vizuri hata moja halafu jk anamkumbatia kila mara naye anatamba kuwa jk ni rafiki yake

Mkuu kwani Prof. Maghembe kakosea nini, tatizo wizara ya kilimo ni watendaji wake, hao ndiyo JK anapashwa ku-deal nao kwa nguvu zake zote - hawa watu hawampi ushirikiano wowote Prof; wanafanya watakavyo TU. Matatizo mengi ya wizara nyingi wakuondolewa na watendaji wake wakuu, wamejisahau mno na wengine hawana utu hata kidogo, wamegehuka wafalme mtu uwezi kuamini wanayo yafanya; wanajali maslahi yao tu.

JK ana kazi ya ziada kusema ukweli, mawaziri wengi wanayo semwa mengi hawahusiki ni watendaji WAO, Prof. Maghembe ni lini kaingia pale Wizara ya Kilimo si juzi juzi tu; can he move mountains on his own bila kuwa na wasaidizi ambao wako committed kumsadia bila ya kumu-sabotage-ni vugumu, inahitaji msaada wa ziada kusema ukweli, Mungu atamsaidia.

JK awe anawateuwa Mawaziri tu, watendaji wakuu wa Wizara na wakurugenzi wake awachie Mawaziri au Waziri Mkuu ndio wawe wanawateuwa, hii italeta nidhamu kazini na uwajibikaji, na hapatakuwepo mambo ya kutuniana misuri; hili lisipo pewa kipa umbele ndiyo tunayo yashuhudia kwenye Bunge - unakuta Wizara moja inatoa kauri tofauti kwenye swala linalo ihusu: Waziri anasema la kwake naibu la kwake na katibu mkuu la kwake, yaani mtu mwenye akili unajua hapa kuna tatizo kubwa katika mawasiliano yao, hii inaweza kuwa interpreted kwamba awafanyi kazi zao kwa ushirikiano i.e hawaelezani ukweli/wanategeana! This's not health for our NATION.
 
Wadau nini kinaendelea kwa sasa kuhusiana na mawaziri kujiuzuru? Maana habari zimekuwa zikichanganyachanganya watu hasa Mh. Waziri Mkuu alivyosema atatoa maelezo leo.
 
Waziri Mkuu hata toa tena tamko lake na hatajiuzuru wazili hata mmoja, si unajua Pinda na Kikwete wanavyotofautiana na Kikwete. Anzia ishu za Jairo, Posho za wabunge na ..............
 
Ebana eti tung'atuke alafu tujivue gamba tukishajivua gamba watumuvuzishie na huu ubunge du!ngoja tuone nani atakua wa kwanza?
 
Back
Top Bottom