Waziri Mhagama Ateta na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,897
941

Waziri Mhagama Ateta na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho ametembelea Ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma na kukutana na Katibu wa Chama Mkoa Ndg. Mohamed ally.

Waziri amefanya ziara hiyo tarehe, 16/03/2024 ambapo aliambatana na Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Songea Vijijini Ndg. Juma Nambaila na kufanya mazungumzo mafupi katika Ofisi za Chama Mkoa wa Ruvuma.

Mhe. Mhagama amepata wasaa wa kuzungumza na Viongozi wa Chama juu ya uratibu wa shughuli mbalimbali akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama katika Jimbo la Peramiho lilopo Halmashauri ya Songea Vijijini.

GIzIvQIXgAAew7Y.jpg
GIzIvQIXwAEicvn.jpg

GIzIvQPWYAApk0A.jpg
 
Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho, umaskini umekidhiri jimboni kwako,tena tangu uhuru hadi Sasa,unayo mikakati Gani ili kulikomboa Jimbo Hilo kwenye umaskini na sio kuomba kura na kupewa na kuhamia Dodoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom