Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Inasemekana na Manaibu Waziri watafuata mkumbo huo wapo saba wanaofuatia, Stay tune wana JF
 
Kama ni saba ...
... Kinachobaki kwenye baraza la mawaziri wa JKikwete kina maana gani ...doesn't this prove total failure to the whole cabinet? That means Rais naye ni bora AJIPIME!!!

kilichobaki ni vote of no confidence to President! Cabinet karibu yote imeprove failure!
 
Wadau najiuliza Ngeleja nae anasubiri azimio la bunge ili ajiuzulu? anataka sahihi zikusanywe?
 
afukuze wote labda atuachie
AGGREY MWANRY
MEMBE
TIBAIJUKA
NAHODHA
magufuli

hapo mbona nachanganyikiwa wakati kwa kuomba fedha nje mkulo huambatana na wizara ipi?afu mbona madudu ya maliasili kapuni na wakati bwana maige ni bingwa wa napotism na ubadhilifu wa fedha.nenda kamuone nduguye chuo cha maliasili mwanza na bado hao wengine wanaopachikwa na kuondolewa wachapakazi.
 
naona wille malecela ameandika pia kwenye face book naona kuna ukweli kwenye hili jambo
 
Ngeleja akiachwa workdone = 0,huyo amechezea akili na pia amewafanya hamnazo yeye na mzee wa moro Malima
 
welcome to the 21st century:
phones-wireless.
cooking-fireless.
cars-keyless.
food-fatless.
youth-jobless.
Leaders-shameless.
Relationships-meaningless.attitude-careless.
Feelings-heartless.
Education-valueless.
Am just speechless.
Everything has become less but still our hopes are endless!! Good 9tless.

umeweka. Waa
 
wabunge wanaotakiwa kujiuzulu kuwa ni pamoja na waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, Waziri wa Viwanda na Biashara, Cyril Chami, na Naibu wake, Lazaro Nyalandu, Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),George Mkuchika, Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu na Waziri wa Afya, Dk. Haji Mponda.

+ Nkya
+ Malima
+ Ngeleja
+ Kombani

Ahhhhh, limeoza lote bana fukuza wote, (bakiza magufuli, mwanri na Tibaijuka) kuanza upya sio ujinga Mrisho Mpoto alishasema.
 
Tatizo kubwa JF imeshakuwa polluted mno inageuka kijiwe cha porojo na mambo ya kijinga tu! zamani mtu ulikuwa ukisoma habari hapa jf ilikuwa ni kweli hakuna hata kuhoji chanzo siku hizi kila utumbo na takataka inawekwa hapa, mara sita kajiuzulu! mara lowassa atatoa maamuzi magumu! mara magufuli ahamia chadema! wote huo nio upuuzi JF hapaaminiki tena! tujirekebishe!1
 
Back
Top Bottom