Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
kwa taarifa ya sasa kutoka igunga kwa renatus mtabuzi anasema bado chadema inaongoza mjini na vijijini angalia itv saizi
 
CCM hapa haipiti, chadema lazima itachukua kombe.

wadau mbona ITV hawajaonyesha huko ilikoshinda ccm kwa kura nyingi ? haya yaliyopo huma ni source ya kuaminika ? hata wakichakachua kwa mjibu wa ITV sasa hivi chadema ndo wanaongoza, magamba jiulizeni sana , watanzania wamewachoka
 
ITV imerudi sasa hewani. Wameanza tena kutangaza matokeo; Mtoa habari wa ITV kutoka Igunga aitwaye Matabuzi anasema CDM INAELEKEA KUONGOZA VITUO VINGI !! Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema
 
Wamekimbia. Wamekuwa kama washabiki wa Arsenal ilipofungwa 8 na Man U. Maana hapa JF karibu majukwaa yote ni CDM na Igunga. Bora uchaguzi upite tujadili ishues nyingine za maana.
Kweli laggards hamkosekani!
 
Jamani tupeni na matokeo ya udiwani ktk kata mbalimbali nchini tuone domokrasia.
 
Hellow wadau mbona ITV wamestop kutujuza kinachojili Igunga??? Mi nafikiri waTZ wapo interested zaid kujua kinachoendelea huko Igunga kuliko vipindi wanavoendelea navyo sasa!!!

mbona matokeo wanatoa na wanasema sehemu kubwa cdm wanaongoza
 
Kwa hesabu ya haraka haraka jumla ya waliopiga kura Igunga haitazidi 20,000, na NEC ilitangaza wapiga kura 171,0000 jimboni humo. Hawa 150,000 wako wapi? NEC mnatia aibu sana mpaka mtu anataka kutapika!!! Mnajaza tu majina hewa na sababu ni kuyaingiza katika vituo hewa. Iko siku!!!!

Mkuu hii number umeitoa wapi?
 
ITV: Hali ya hewa sio nzuri, mvua inanyesha. Hii imesababisha utoaji wa matokeo kudorora. Labda kuanzia saa tisa au kumi alfajiri ndio kazi ya kuhesabu itakamilika.
 
kwa mujibu wa updates nilizonazo ni kwamba uchakachuaji kwenye uchaguzi wa jimbo la igunga ni mdogo sana hivyo matokeo yatakayokuja tuyaheshimu.wand wa igunga wameamua hivyo!tuwe na subira na tuheshimu matokeo,tusonge mbele huku tukiamini change is coming! Source:secret service

mungu awalinde watenda haki ili atakaetangazwa kuwa mshindi awe ni mpakwa mafuta na bwana haijarishi anatoka kutoka chama gani bali atusaidie tupate kiongozi atakayeongoza kwa faida za wananchi wote.
 
Wamenunua shahada kwa elfu 40,000/=per each
Kwa hesabu ya haraka haraka jumla ya waliopiga kura Igunga haitazidi 20,000, na NEC ilitangaza wapiga kura 171,0000 jimboni humo. Hawa 150,000 wako wapi? NEC mnatia aibu sana mpaka mtu anataka kutapika!!! Mnajaza tu majina hewa na sababu ni kuyaingiza katika vituo hewa. Iko siku!!!!
 
FF kamwambie bosi wako nape kuwa, ccm haiwezi kuwafanya watanzania kuwa wajinga muda wote!
 
ITV: Kata haina mamlaka ya kutangaza matokeo. Matokeo ni lazima yafikishwe halmashauri na kutangazwa rasmi na mkurugenzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom