CCM Juu, juuu, juuuuuuu zaidi. Magwanda mpooo? dakika za majeruhi.
hata ccm ikishinda igunga sio kipimo sahihi, mbona kwenye majimbo ya watu wenye akili hawashindi ?
CCM Juu, juuu, juuuuuuu zaidi. Magwanda mpooo? dakika za majeruhi.
Hizo ni za wana CDM tu!je we utakuwa unatumia nini sasa?
wamewaotea vipi mmechanuka saaafi wenyewe bila ubishiDah! Asante..kule Totenham wametuotea, lakini huku tumewagaragaza CDM vibaya sana!
Hivi nntaamka asubuhi salama kweli!!!?Mungu ibariki Chadema
Kwa nini?Niliwahi sema CDM hawawezi shinda Igunga, bado kdg tu ukweli utadhihirika
Matokeo rasmi bado vuta subira..
kwa mujibu wa updates nilizonazo ni kwamba uchakachuaji kwenye uchaguzi wa jimbo la igunga ni mdogo sana hivyo matokeo yatakayokuja tuyaheshimu.wand wa igunga wameamua hivyo!tuwe na subira na tuheshimu matokeo,tusonge mbele huku tukiamini change is coming!
source:secret service
Ondoa hizo fikra za kuibiwa mkuu!Naogopa kulala kwani akina Rejao wataiba kura za wananchi.
Wanatoa matokeo ya kata zilizobaki?ITV wamerudi tena
CCM Juu, juuu, juuuuuuu zaidi. Magwanda mpooo? dakika za majeruhi.