CDM Inaongoza kwa matokeo ambayo yameishapatikana kwa mujibu wa Mutabuzi ITVtupeni Data
Kaka watu mwengine wanakera sana, potezea.siasa siyo uadui acha hizo
CCM hapa haipiti, chadema lazima itachukua kombe.
Kweli laggards hamkosekani!Wamekimbia. Wamekuwa kama washabiki wa Arsenal ilipofungwa 8 na Man U. Maana hapa JF karibu majukwaa yote ni CDM na Igunga. Bora uchaguzi upite tujadili ishues nyingine za maana.
chadema bdo wanaongoza kwenye vituo vingi.
ITV
Hellow wadau mbona ITV wamestop kutujuza kinachojili Igunga??? Mi nafikiri waTZ wapo interested zaid kujua kinachoendelea huko Igunga kuliko vipindi wanavoendelea navyo sasa!!!
Kwa hesabu ya haraka haraka jumla ya waliopiga kura Igunga haitazidi 20,000, na NEC ilitangaza wapiga kura 171,0000 jimboni humo. Hawa 150,000 wako wapi? NEC mnatia aibu sana mpaka mtu anataka kutapika!!! Mnajaza tu majina hewa na sababu ni kuyaingiza katika vituo hewa. Iko siku!!!!
eee aisee upepo umegeuka tena chadema wapo ju tenachadema wanaongoza radio one wapo ewani sikiliza
kwa mujibu wa updates nilizonazo ni kwamba uchakachuaji kwenye uchaguzi wa jimbo la igunga ni mdogo sana hivyo matokeo yatakayokuja tuyaheshimu.wand wa igunga wameamua hivyo!tuwe na subira na tuheshimu matokeo,tusonge mbele huku tukiamini change is coming! Source:secret service
Kwa hesabu ya haraka haraka jumla ya waliopiga kura Igunga haitazidi 20,000, na NEC ilitangaza wapiga kura 171,0000 jimboni humo. Hawa 150,000 wako wapi? NEC mnatia aibu sana mpaka mtu anataka kutapika!!! Mnajaza tu majina hewa na sababu ni kuyaingiza katika vituo hewa. Iko siku!!!!
Sa ndo umejuaje wametishiwa?Mbona hueleweki ka unatoa taarifa ama unauliza swali au kama ni tetesi ungeainisha kabisa!