CCM wamekuwa na utaratibu huu kwa maeneo ambayo CDM wanaonekana kuongoza kwa asilimia kubwa ya kura kwa sasa.
Hakuna haja ya kusherehekea ushindi kwa sasa zaidi ya kuongeza Umakini kwa Timu iliyopo Igunga.
Mitandao ya Kijamii ni nyenzo kubwa kwa sasa kama sisi hapa tutaanza kujidanganya kushabikia na wananchi huko wanafungua simu zao za kihindi na kichina na kuanza sherehe huku CCM wakifanya kazi yao.
Huu ni mkakati kabisa, tangaz kwanza maeneo ambayo CDM wanaongoza ili na wao wakianza kuongoza tunabaki mdomo wazi.
maeneo kadhaa Igunga kwa sasa kuna Kimvua kinanyesha, na tunajua Ugonjwa wa Watanzania na Mvua. Wanaiogopa zaidi ya Kifo...hapo wataiacha mitaa wazi na CCM kufanya kazi yao.
Chondechonde umakini unahitajika zaidi ya kuanza kusherehekea kwa matokeao ya vituo ambavyo bado hata havijatimiza Kata 1.
CDM Igunga tia pamba masikio na hizi kelele za ushindi wa hisia za Mtu na simamieni kura, hatutaki hadithi ya Tarime. Hakuna cha Mzee wala Mwanamke ushindi ni muhimu
ADIOS
Mkuu, punguza munkari... Anamaanisha bakwata ile iliyopiga KAMPENI ZA SIASA kuwa watu wasikipigie kura chama fulani. Ulitakiwa uwaulize bakwata wenyewe kama wao ni chama cha siasa. Si umesikia hata mkw.re alipohutubia juzi hakukemea kabisa tamko lile la kampeni la 'hicho chama'. Tusisahau kuwa madudu yote yanayofanywa na taasisi zote kwa sasa yanaingia kwenye recorduna matatizo binafsi au!!!?????
kuna chama kinaitwa Bakwata???
usipende kuleta udini kama huna la kuongea heri unyamaze!
Siku yako inakuja we subiri tuu unashabikia ujinga!!!!!!!!!!!!Too late wenzako wanalia tu huko
Too late wenzako wanalia tu huko
Hapa ninmapata uhakika kuwa chadema ni washindi kwani kwa ucheleweshwaji huu wa matokeo inmaonyesha kabisa magamba wanashjinmikiza kitu fulani hapa. hainipi shida saana kujua kuwa matokeo ni kuwa magamba wamelazwa chali tu ila wanachelewesha sherehe kama ilivyokuwa huko arusha ubungo na kawe. chama oyeeee.