Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Naam, kwa mujibu wa ITV/Radio-1, hivi punde, katika vituo takriban 12 ambavyo Ufoo Saro amepitia, CHAMA CHA TAIFA - CHADEMA kinaongoza zaidi ya 60% na 40% iliyobakia wanagawana VYAMA CHOVU CCM na CUF, vikiwepo 'mikia' kama kawa..aminia!, PAMOJA DAIMA.... :)
 
CCM inaongoza..
Ni vituo vichache sana CDM imeshinda mpaka sasa. Na tofauti ni ndogo sana

hhaaa haaa mpaka cha kuandika umeishiwa, asante kwa kuchangia JF mkuu, mpaka umekuwa Premium Member twende kazi
 
CCM
71
37
41
40
63
80
31
59
79
7
65
47
Jumla 620


CHADEMA
91
109
95
47
63
75
59
21
84
19
75
92
Jumla 830
Hivyo ni vituo 12 hadi sasa ,,usiwe mbali mkuu na JF kwa matokeo zaidi,,,source ni ITV na Reinfredy masako na Ufoo Chaloo.
 
Kana kwamba ninauhakika chedema wanashinda igunga
ukiwa kama ndugu rafiki kipenzi cha wengi nakukaribisha kwenye shereehe
za kumpongeza mbunge mtarajiwa wa igunga kuanzia mida ya saa nane na nuusu usiku
pale ruico mbezi garden ..usalama umetayarishwa rasmi kwa wale watakaokuwa tayari
kushangilia ushindi wetu
Kila la Kheri
Bwana ametoa Rostam Chadema wametwaa!!!
TAFADHALI NI PM UKITAKA KUSHIRIKI PAMOJA NAMI
 
BREAKING NEWS LIVE FROM IGUNGA! KATA YA SIMBO-KITUO CHA UMOJA SS -CCM 3, CDM 84, CUF 1. KITUO CHA USHIRIKA CCM 26 CDM 86, KITUO CHA ZIBA CCM 42 CDM 400. HUKO SIMBO WAMESHACHINJA NG'OMBE WATATU MATOKEO MENGINE NTAENDELEA KUWAPASHA! LKN CCM IMESHINDWA VIBAYA!
kwa mujibu wa diwani wa ARUSHA aliyeko Igunga
Nanyaro Ephata
Tumemkamata mgambo akiwa kwenye foleni ya kupiga kura huku akitoa rushwa ya shs 5,000/= kata ya Swingizi, baada ya kumweka chini ya ulinzi, tukamkuta na shs laki saba, kwa sasa anashikiliwa na polisi, anasema alitumwa na viongozi wa CCM

Nchemba anapita kila kituo anamwita msimamizi na kumpa hela, kwa sasa amedhibitiwa na vijana wetu
 
CHADEMA inaongoza katika kata ya serengeti karibia vitou vyote vya serengeti. Nape alijichimbia huko kufanya kampeni

Nape yupi tena? maana alizuiwa? alienda huko msibani na akaambiwa asikanyage?
 
Mhhhh Nasikiliza Mliman TV MBona Hamis Dambaya ametaja matokeo ya vituo kama 8 hivi na vyote CCM wanaongoza Mbona nshaanza kuchanganyikiwaaaaaaa:::
 
Data please!

By Ng'wanangwa

News just coming in.......................

CDM is leading even in Rural areas.

More updates to follow.

Stay tuned buddies.

Wa Jikoni is always on the air!!


A bit of chai, but truth:
A car driven by CCM hooligans was well captured by Chadema boys and well driven to a nearby polisi post after which the CCM pundits emerged claiming to have been ambushed and their car was packed with 20 million Tshs. uchakachuaji wa kugawa mpunga wazimwa.​

 
Mpaka sasa Chadema inaongeza Igunga kwa mujibu wa live broadcast ya ITV.
Msicheze mbali, CCM ni wezi professional wa kura. Kabeni hadi kivuli tuung'oe ufisadi na mizizi yake Igunga.
Mkuu mimi nakuaminia, nimekupatia jukumu la kukaba hadi penati kama ulivyokuwa BACCA.
 
Chadema wakishinda mm niko tayari kuacha siasa na kujiuzulu nafasi yangu

naamini cdm kamwe hawashindi
 
Nimeona picha za video Startv zikionyesha misururu ya vijana wakienda kupiga kura jioni kabla ya muda wa upigaji kura kumalizika. Kuna redio moja ya serikali, tbc2 na tbcfm walikuwa wanachekelea kuona na kudai kuwa vijana hawakujitokeza kupiga kura. Bila shaka walikuwa wanafurahia wakijua ccm itashinda kwa sababu vijana hawakujitokeza kupiga kura.

Sasa wameshangaa kuona mida ya mchana na kuelekea jioni vijana wakipanga foleni kwenda kupiga kura. hapa ccm ndo itatia adabu kwani si wanajua vijana ndio kiboko yao na ukizingatia ccm wasivowapenda vijana na wanavyowaogopa kwa kuwa wanajua hasira walizonazo dhidi ya ufisadi wao. Na kama ilivyotarajiwa, matokeo ya awali ndo hivyo ccm inaanza kulala chali yenyewe kabla hata haijatekenywa. Tusubiri tu formalitie maana jimbo linarudi kwa wenyewe, na wenyewe ndio cdm.

Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez!!! Jibu pauwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Kwa utaratibu huu,kuna uwezekano mkubwa sana nikajiunga na CDM.Very inspiring!Kama kweli wananchi hao wataachana na chuki zilizopandwa za kidini nk.Basi ina maana wananchi wameamka.It is very encouraging.Kwa kweli wakishinda nitajiunga na CDM.

Igunga ni zoezi tu, kimbuga kinakuja 2015!! We are tired with this shit brother, makosa yaliyofanyika 2010 hayatajirudia, this time hata wakishinda hapo Igunga CCM lakini CDM wameonyesha nia nzuri.
 
jaman kati ya vituo kumi na mbili cdm ina kura 837 na ccm kura 602 utofauti wa kura 235
 
BREAKING NEWS LIVE FROM IGUNGA! KATA YA SIMBO-KITUO CHA UMOJA SS -CCM 3, CDM 84, CUF 1. KITUO CHA USHIRIKA CCM 26 CDM 86, KITUO CHA ZIBA CCM 42 CDM 400. HUKO SIMBO WAMESHACHINJA NG'OMBE WATATU MATOKEO MENGINE NTAENDELEA KUWAPASHA! LKN CCM IMESHINDWA VIBAYA!
kwa mujibu wa diwani wa ARUSHA aliyeko Igunga
Nanyaro Ephata
Tumemkamata mgambo akiwa kwenye foleni ya kupiga kura huku akitoa rushwa ya shs 5,000/= kata ya Swingizi, baada ya kumweka chini ya ulinzi, tukamkuta na shs laki saba, kwa sasa anashikiliwa na polisi, anasema alitumwa na viongozi wa CCM

Nchemba anapita kila kituo anamwita msimamizi na kumpa hela, kwa sasa amedhibitiwa na vijana wetu
Sante. Tutafika tu! Mungu ibariki tz! Mungu ibariki Chadema!
 
It's pettering and nervious few hours b4 final results. Endeleeni kutujuza watukuka. We all hope CHADEMA will come top for the better.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom