Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
‎'breaking news live from igunga: Mh halima mdee muda mfupi uliopita, amekamata masanduku yenye kura feki huko choma! Pia aliyekuwa diwani wa igunga mama ngessy anashikiliwa na polisi kwa kukutwa nyumbani kwake akiwa na masanduku yenye kura feki! Vigogo wa ccm leo asb wote wametoweka igunga na kurejea dar!

yaani mpaka burudani hii inaitwa kaba mpaka giza hatoki mtu hapo leo..
 
Chadema endeleeni kulinda kura, hao wezi wanajifanya wameondoka ili mjisahau waibe kura. Mungu yupo pamoja nanyi.



News just coming in.......................

CDM is leading even in Rural areas.

More updates to follow.

Stay tuned buddies.

Wa Jikoni is always on the air!!


A bit of chai, but truth:
A car driven by CCM hooligans was well captured by Chadema boys and well driven to a nearby polisi post after which the CCM pundits emerged claiming to have been ambushed and their car was packed with 20 million Tshs. uchakachuaji wa kugawa mpunga wazimwa.
 
Vituo 12 vya mjini Igunga chadema inaonyesha kufanya vizuri ikifuatiwa na CCm.Hii ni kwa mujibu wa ITV.
 
Inasikitisha Star Tv wanachakachua matokeo,wanasema Msuguano ni mkubwa kati ya Chadema na Ccm wakati Mgombea wa Chadema yupo mbali anaongoza.
 
majina ya vituo sija yakamata vizuri
ila:
CDM 93 CCM 63
CDM 75 CCM 80
CDM 56 CCM 31
CDM 21 CCM 69
CDM 84 CCM 79
CDM 16 CCM 7
CDM 73 CCM 63
CDM 62 CCM 47
CDM 91 CCM 71
CDM 106 CCM 37
CDM 95 CCM 48
CDM 73 CCM 63
CDM 86 CCM 65
CDM 90 CCM 80
CDM 115 CCM 79
CDM 104 CCM 78
CDM 31 CCM 40

CUF sijaiweka maana ni uchafu,kura kama unahesabu ngamia tanzania.
 
CCM inaongoza..
Ni vituo vichache sana CDM imeshinda mpaka sasa. Na tofauti ni ndogo sana
 
Tunaomba Mungu atusaidie japo tukishinda Igunga itakuwa ni ishara ya ushindi dhidi ya udhalimu na unyanyasaji wa CCM under the carpet of Piece.huku wananchi wakizidi kutaabika na nchi ikizidi kudidimiatUNAOMBA MJI TAHIDI KUTUPATIA TAARIFA KWA DATA.Ji tahidini sana nyie mlioko huko Igunga.
Aluta continua
 
Ufoo kasema hivi

CCM 63 CDM 93 CUF 11
80 75 1
31 59 3
59 21 7
79 84 7
7 19 90
65 73 4
47 92 7
71 91
37 109 3
40 95 2
40 31 1
 
jamani mkumbuke kuna vituo zaidi ya 400. Tusibabaishwe na matokeo ya vituo 10 Mungu awalaani magamba.
 
Move on hadi manonga, mwamashimba, ziba na sehemu zingine ambazo ni rahisi kuchakachua.
 
kWAMINAJILI YA ITV, Chadema kinaongoza kwa kura 223, hii ni baada ya ufo Saro kutuma matokeo ya awali katika vituo 14.
 
1. Mtendaji 1

CCM 63
Chadema 73
CUF 6


2. tendaji 2

CCM 65
Chadema 86
CUF 8
DP 1

3. Ujenzi 1

CCM 80
Chadema 95
CUF 3
DP 2
Sau 1


4. Ujenzi 2

Chadema 111
CCM 76
Cuf 7
DP 1


5. Ujenzi 3
Chadema 104
CCM 70
 
tuvute subira wadau!! tusifanye propaganda huu si wakati wake. lets rely on true and reliable information
 
Wakuu taarifa nilizonazo ni kwamba matokeo yameanza kubandikwa baadhi ya vituo. Nafuatilia ITV, vituo vingi CHADEMA inaongoza. Kwa bahati mbaya cwezi kushika majina ya vituo. Kwa wanaofuatilia ITV watadhibitisha hili. Kwa kifupi chadema wanaenda vizuri ikifuatiwa na ccm, kisha cuf. Dua zenu ni za muhimu, uchaguzi Igunga ni indicator tosha kuwa saa ya ukombozi imefika! Hata kama CCM watashinda, ukombozi wa Nchi umewadia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom