Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
1. Mtendaji 1

CCM 63
Chadema 73
CUF 6


2. tendaji 2

CCM 65
Chadema 86
CUF 8
DP 1

3. Ujenzi 1

CCM 80
Chadema 95
CUF 3
DP 2
Sau 1


4. Ujenzi 2

Chadema 111
CCM 76
Cuf 7
DP 1


5. Ujenzi 3
Chadema 104
CCM 70

thanks mdau for information!!
 
Kuvua gamba si tija kwani nyoka na sumu yake si yule yule,dawa ni kumuua kabisa
 
Excellent! Excellent! Kama Igunga wataamua kubadilika basi tutashuhudia kuanza kuanguka kwa banda la ssm!!
 
star tv wanatoa matokea ya vituo, cdm wanaongoza balaa. Ngoja nianze kunywa bia kwa furaha.
 
Nimeangalia Star baada ya thread yako lakini nikakuta wanazungumzia mpira,je ulicheki saa ngapi?Anyway achaneni nao ngoja tusubiri tu maana mambo ndo yameanza,ila ninachokiona watu wachache watakuwa wamejitokeza.
 
kituo cha katibu tarafa igunga(kituo namba 5)
ccm=87
chadema=84
cuf=3
DP=1

kituo namba nne
ccm=61
chadema=88
cuf=6
DP=1
source star tv

Bring the datas!

Watu tunataka kuanza kusherehekea ushindi wa CHADEMA huko Igunga.
Peeeeeeeeeeeopleessssssss.................Poooooweeeeerrrrrrrrrrrr!!!!!

CCM mtajiju mwaka huu na 2015. Kudadadekiiii!!!!!!!!!!!!!!!
 
nimesikiliza kupitia itv...vituo 5 vilivyotangazwa cdm imeongoza vyote.....peoplessssssssssssss
wamekata umeme hakuna live kwenye tv,nadhani wanachakachua matokeo,wafuateni hukohuko,hapa tunashangilia,mi ndo mtangazaji kwa sasa kwani natumia laptop,watu wamenizunguka,
tupieni matokeo hapa,mwishowe watu wananiita magamba kisa nimechelewa kuwapa matokeo
 
kuna jitu (siyo Wassira) moja la CCM huko lina roho mbaya, silipendi maana lenyewe linajua ushindi kwa CCM tu hata kama watu wafe. hili ni jitu baya sana ambalo kwa kweli linatakiwa kupelekwa The Hegue likabanwe naniliu na plaizi.

Namsubiria yule Fisadi aliyesema atakunywa sumu, sijui ameshanunua ile sumu ilie anywe tuchukue jimbo jingine
 
majina ya vituo sija yakamata vizuri
ila:
CDM 93 CCM 63
CDM 75 CCM 80
CDM 56 CCM 31
CDM 21 CCM 69
CDM 84 CCM 79
CDM 16 CCM 7
CDM 73 CCM 63
CDM 62 CCM 47
CDM 91 CCM 71
CDM 106 CCM 37
CDM 95 CCM 48
CDM 73 CCM 63
CDM 86 CCM 65
CDM 90 CCM 80
CDM 115 CCM 79
CDM 104 CCM 78
CDM 31 CCM 40

CUF sijaiweka maana ni uchafu,kura kama unahesabu ngamia tanzania.

asante mkuu
 
Magamba watatoka tu, kwa style hii ya mitandao, tutakuwa tunapata majibu kabla ya wao kuchakachua, na hapo ndo kutachimbika 2015, I will be back in my country ready for changes.
 
Haya, ninachokiona hapa matokeo katika vituo kadhaa vya mjini Igunga yanaonyesha CHADEMA inaongoza na hali ni shwari sasa ila viongozi wengi wa CCM wameondoka hapa mjini igunga kila ukupita mitaani sasa ni CHADEMA mwendo mdundo. Mjini ndio kuna wapiga kura wengi hapa Igunga.

CCM wamekimbia mji hoteli waliyofikia vigogo ipo kimya. Kwa sasa nasubiri vituo vya vijijini.

A TIP:
Matokeo Igunga yaanza kutiririka, CHADEMA Yaongoza | Fikra Pevu | Kisima cha busara!

List inafuata punde:

Other updates:
Kwa utaratibu huu,kuna uwezekano mkubwa sana nikajiunga na CDM.Very inspiring!Kama kweli wananchi hao wataachana na chuki zilizopandwa za kidini nk.Basi ina maana wananchi wameamka.It is very encouraging.Kwa kweli wakishinda nitajiunga na CDM.
 
Wamesahau kuwa simu nazo zina redio na hizo redio zimejiunga na tv live
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom