Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Kwa utaratibu huu,kuna uwezekano mkubwa sana nikajiunga na CDM.Very inspiring!Kama kweli wananchi hao wataachana na chuki zilizopandwa za kidini nk.Basi ina maana wananchi wameamka.It is very encouraging.Kwa kweli wakishinda nitajiunga na CDM.

Hii mbona ilishakuwa wazi toka chaguzi za awali za Tarime, na uchaguzi mkuu kwa ujumla wake? Tunacho chama kimoja tu ktk nchi hii ambacho kinatimiza ndoto na utabiri wa Baba wa Taifa kuwa 'Chama Dhaifu huzaa Serikali Dhaifu' ambacho hufa muda sii mrefu, na 'Chama Makini huzaa Serikali Makini' - ndio CHADEMA! Bado upo CHAMA CHA KUFA - CCM? Pole...Chukua hatua haraka....not too late!
 
Ufoo Saro ametangaza tena muda kama dkk kumi hivi bado chadema wanaongoza katangaza karibu vituo kumi na mbili,ngoja tusubiri,tunaomba walioko Igunga au kama kuna mtu anamawsiliano ya moja kwa moja basi atuhabarishe kwenye JF
 
Mkuu na wewe uwe unatupa matokeo ya arsenal na spurs
Mkuu mtannange ni mkali kwelikweli, hapa Arsenal kavaa jezi Nyekundu na nyeupe vile vile Spurs Kavaa uzi Mweupe na Blue vyote vinaashiria ushindi kwa CDM KWA SABABU YA JEZI ZAO.
 
majina ya vituo sija yakamata vizuri
ila:
CDM 93 CCM 63
CDM 75 CCM 80
CDM 56 CCM 31
CDM 21 CCM 69
CDM 84 CCM 79
CDM 16 CCM 7
CDM 73 CCM 63
CDM 62 CCM 47
CDM 91 CCM 71
CDM 106 CCM 37
CDM 95 CCM 48
CDM 73 CCM 63
CDM 86 CCM 65
CDM 90 CCM 80
CDM 115 CCM 79
CDM 104 CCM 78
CDM 31 CCM 40

CUF sijaiweka maana ni uchafu,kura kama unahesabu ngamia tanzania.

Ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaa!
 
Mchuano katika vituo ya Igunga mjini ni mkali sana, lakini vijijini kwenye watu wengi hali ni tofauti kabisa
 
Matokeo ya awali ya mjini ni faraja kubwa kwa CCM ambapo ilitegemewa CDM ingeongoza kwa margin kubwa sana, kumbe ni ndogo,, sasa yale ya vijijini ndipo CDM watakiona cha moto, na muwe wavumilivu kupokea matokeo. Uchaguzi ni huru na wa haki
 
Ndugu washabiki wa vyama vya siasa, nina kaswali kamoja. Hii tume inayosimamia uchaguzi ni ipi?
Ni ile ya Lewis makame na Kiravu? au imeundwa tume huru ya uchaguzi?
 
Nimeangalia Star baada ya thread yako lakini nikakuta wanazungumzia mpira,je ulicheki saa ngapi?Anyway achaneni nao ngoja tusubiri tu maana mambo ndo yameanza,ila ninachokiona watu wachache watakuwa wamejitokeza.


Mkuuu alikuwepo Yahya Mohamed ila kwa sasa wamepumzika kusubili matokeo zaidi na hata ITV wamepumzika kwa mda kwa ajili ya kusoma taarifa ya habari ya saa 12 ili wasubili matokeo zaidi,,,nawasilisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom