Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Mkuu Naomba hizo thread za watu wanaolenga kupiga wenzao risasi zisipewe nafasi. Uchochezi haufai nashukuru mko makii sana katika hili Mkuu
 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB) leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa na QT.

Jumla ya watahiniwa waliofaulu kwa Mujibu wa Matokeo hayo ni 23520 kuanzia daraja la I hadi la IV huku katika mchakato huo wasichana waliofaulu katika mchakato huo ni 7178 na wavulana ni 16342.Aidha Waziri Kawambwa amesema kuwa waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 1641, daraja la pili ni 6495 na daraja la tatu ni 15426 na walio feli ni 24903.

Shule bora ni pamoja na St. Francis Girl ya Mbeya, Marian Boys ya Bagamoyo, Feza Boys Dar es Salaam, Marian Girls Bagamoyo na Simini,hizo ndizo zilizopo kwenye tano bora huku shule nyingine ni Kanosa, Jude, St. Mary.
 
Safari hii wameweka namba majina yamefichwa, tangia mlipomzomea Mwanaasha alipopata Division III kule Feza huenda NECTA walipigwa mkwala.
 
Matokeo kidato cha nne matokeo kidato cha nnematokeo kidato cha nne matokeo kidato cha nne
matokeo kidato cha nne matokeo kidato cha nnematokeo kidato cha nne matokeo kidato cha nne
matokeo kidato cha nne matokeo kidato cha nnematokeo kidato cha nne matokeo kidato cha nne
matokeo kidato cha nne matokeo kidato cha nnematokeo kidato cha nne matokeo kidato cha nne


matokeo kidato cha nne yametoka ...source nect.go.tz
 
naona wametoa bila kuandika majina ya watahiniwa bali namba zao tu, au hii imekuja baada ya matokeo ya watoto wa watu fulani fulani (Mwanahasha?) kutia aibu katika matokeo yaliyopita?
Kama ni hivyo basi tusitegemee matokeo ya maana katika elimu yetu kwa maana siasa bado zina nafasi pana ndani yake!
 
huyo mwanaasha kasoma shule gani?
Jamii inteligence tunataka tumjue!
 
Back
Top Bottom