Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

jamani mbona hamna kitu kwenye necta lakini we Rogie mbona kutudanganya? watu tokea asbh tuko hapa kwenye net tunasubiria matokeo hola!
 
jamani mbona hamna kitu kwenye necta lakini we Rogie mbona kutudanganya? watu tokea asbh tuko hapa kwenye net tunasubiria matokeo hola!

Mkuu,jaribu baadaye kwa sasa server zipo busy,nimefanikiwa kuona ya mtoto wa dada yangu.
 
Ahsante mkuu,naona huo utaratibu wa majina sijauelewa mkuu,kuna miaka wanaweka namba na miaka mingine wanaweka majina.

hata mie nimeshangaa sana maana nilitegemea kuona watu fulani ila nimekosa na inaonesha this year wengi wamefail sana
 
mselewe hbu niambie jamani mm sioni kitu naingia kwenye website ya necta then result then nikiangalia chini hakuna form four 2012, nyie mnaonaje? give me a lead pls hapa roho inadunda kweli kwlei. mtoto anafanya mtihani mimi BP iko juu.
 
Attachments

  • Necta.jpg
    Necta.jpg
    137.3 KB · Views: 508
Hayo matokeo ni ya wale walio list! Ila nawaomba kabla hujapost!pitia kwanza hiyo and Then unaiweka hadharani! Ili Tuipe Jf sifa yake! HOLLAAA
 
Hayo matokeo ni ya wale walio list! Ila nawaomba kabla hujapost!pitia kwanza hiyo and Then unaiweka hadharani! Ili Tuipe Jf sifa yake! HOLLAAA

Sio kuwa na wewe unatakiwa kuthibitisha kuwa hakuna kabla hujabisha!!!
 
Back
Top Bottom