Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Rogie

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
7,581
6,675
Wakuu,

NECTA wametangaza matokeo tayari.

Kuyapata matokeo (kama yalivyotangazwa tarehe 18/02/2013), tembelea:

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 - (Hosted by JamiiForums)

QT Results 2012 - JamiiForums
60% ya wanafunzi wafeli mtihani

Jumatatu, Februari 18, 2013

MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yametangazwa. Watahiniwa 240,903 sawa na asilimia 60.6 wamepata sifuri, huku wanafunzi 23,520 tu ambao ni sawa na asilimia 5.16 ndiyo waliofaulu na wengine 103,327 sawa na asilimia 26.02 wamepata daraja la nne.

Akitangaza matokeo hayo jana, Waziri wa Elimu Dk Shukuru Kawambwa alisema watahiniwa walikuwa 456,137, wa shule wakiwa 397,136 huku wa kujitegemea wakiwa 68,806.

Kwa mujibu wa matokeo hayo, watahiniwa waliopata daraja la kwanza ni 1,641, wavulana wakiwa 1,073 na wasichana 568, daraja la pili ni 6,453, wavulana wakiwa 4,456 na wasichana 1,997.

"Matokeo ya mwaka huu yamekuwa mabaya sana, Serikali tunasikitika kutokana na hali hii lakini tuna mipango mbalimbali ya kuhakikisha tunaweza kutatua hili tatizo," alisema Dk Kawambwa.
 
afu acheni kutupa pressa kwa kuandika uongo ili upte comment nyingi
 
waislam hawajafelishwa tena?maana wazazi wao waliwajengea mentality kuwa wanafelishwa na ndalichako nao wakabweteka hawakujiandaa na wamefeli wengi watawaambia wazazi tumefelishwa hahaahahahahah.what goes on must come around wazazi wakiislam mlikosea sana that time!
 
haya bana sarakasi zimeanza ngoja tusikie tena yale ya mwaka jana
 
Rogie thanks aisee ila mbona hawajatoa majina wameweka namba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom