Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Rogie simu yake imezimwa na hajanitafuta ndugu zake wako shule simu zimezimwa,ya mama yake nimeipoteza so hapa nasubiria kusikia
 
Last edited by a moderator:
Huyu Dr Joyce Ndarichako anawaujumu sana waislamu,lazima tuandamane ili ajiuzuru na sisi waislamu tupumue!
 
Hii matokeo, ndhani skulimeti wangu Asprin haitampedeza kabisa:

[h=3]
S0135 MOSHI TECHNICAL SECONDARY SCHOOL DIV-I = 9 DIV-II = 21 DIV-III = 28 DIV-IV = 43 FLD = 65 [/h]
 
Last edited by a moderator:
Duh! kwa khali hii inabidi serikali ijipange sana kwa ajili ya kuzikomboa shule za sekondari zinazomilikiwa na serikali maana matokeo yao ni mabovu kupta maelezo.
 
Haya matokeo wameyatoa vizuri ili kina fulani wasiandamane kuwa sababu sisi ni kina fulani ndio maana wameweka namba
 
Kama watu hawasomi unategemea nini, wanakaririshwa elimu a***a wameachana na elimu....

Mbona lsramic knowledge wanafumua sana wanapa A+ lakini NECTA wanawafanyia mizengwe na kuwawekea D na F
 
Si tumeambiwa shule za seminary zimeongoza, vipi hii tena?
 
Back
Top Bottom